Mapacha walioungana walipwa mshahara wa mtu mmoja

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
207
Reaction score
713
Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34. Wakati wanasoma chuo walikuwa wanalipa Ada (college fees) kila mtu yake. Baada ya kupata ajira wanapokea mshahara wa mtu mmoja.

Abby na Brittany Walimaliza chuo muongo mmoja uliopita walisomea walimu asa hivi wanafundisha elementary school.

_20250727_150157.JPG
 
Tumbo ni moja ila mabichwa ndo mawili.

Ukila unakula kwenye tumbo moja, mishahara miwili ni matumizi mabaya ya kodi. Walipwe mtu moko.

Changamoto itakayotokea ni pale ambapo mmoja anataka sambusa halafu mwingine anataka biriani, wanafakamia jumla jumla vitu vinajichanganya tumboni.

Mungu nifundishe kunyamaza.

Kichwa kimoja kikatwe ili tuelewane vizuri. Niko OVESI mjukuu wangu.

Cc: Intelligent businessman Extrovert Kalpana dronedrake Busu la Kenge
 
Huyo ni mtu mmoja mwenye vichwa viwili
Kila mmoja ana moyo wake, uti wa mgongo wa peke yake, mapafu ya peke yake, na pia kila mmoja ana tumbo lake na hula kwa wakati wake.
Mguu mmoja ni wa Abigail, na mguu mwingine ni wa Brittany. Na mikono pia, mkono mmoja ni Abigail na mkono mwingine ni wa Brittany
Kwa namna hii huwezi sema ni mtu mmoja.
 
Tumbo ni moja ila mabichwa ndo mawili.

Ukila unakula kwenye tumbo moja, mishahara miwili ni matumizi mabaya ya kodi. Walipwe mtu moko.

Changamoto itakayotokea ni pale ambapo mmoja anataka sambusa halafu mwingine anataka biriani, wanafakamia jumla jumla vitu vinajichanganya tumboni.

Mungu nifundishe kunyamaza.

Kichwa kimoja kikatwe ili tuelewane vizuri. Niko OVESI mjukuu wangu.

Cc: Intelligent businessman Extrovert Kalpana dronedrake Busu la Kenge
Ukweli upo OVESI Mkuu..
Mimi sikupingi
 
Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34. Wakati wanasoma chuo walikuwa wanalipa Ada (college fees) kila mtu yake. Baada ya kupata ajira wanapokea mshahara wa mtu mmoja.

Abby na Brittany Walimaliza chuo muongo mmoja uliopita walisomea walimu asa hivi wanafundisha elementary school.

View attachment 3420599
Hivi Hawa ni mapacha au ni mtu mmoja mwenye vichwa viwili?
Hata sielewi
 
I will ask Ai nijue hawa watu wanaishije na itakuaje mmoja akifa.
 
Back
Top Bottom