Hellow wakuu,
Hili ni swali muhimu sana kwa watu wenye mipamgo mirefu, pia linanufaisha kiuchumi kwa mtu mjanja.
Mfano mwaka 2007 wilaya ya KAHAMA ilikuwa ni wilaya ya kawaida sana maeneo mengi ya pembeni ilikuwa ni vichaka leo hii miaka 15 imepita hakuna tena vichaka ni majumba tu wajanja...
Wasalaam
Miaka michache ilikuwa ukiingia mkoa Wa Iringa utakuta mji ni msafi hadi unavutia. Hili Leo ni story. Wiki nzima nimekuwepo Iringa hususan stendi ya zamani, inasikitisha.
Matakataka kila kona. Uchafu umetapakaa, stendi mabarabarani no body cares. Hata maeneo ya wazi kabisa ni hatari...
Hali si shwari ndani ya baraza la madiwani la Manispaa ya Moshi ambako madiwani wamekuja juu wakimtaka meya wao, Juma Raibu kujiuzulu fasta baada ya clip moja kusambaa mitandaoni ambako amesikika akiunga mkono mapenzi ya jinsia moja.
Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye...
Naeleza niliyoyashuhudia,
Nilipokea simu toka kwa Binti wa dukani kwangu, kwamba amekamatwa na anapelekwa Manispaa kwa kufanya biashara bila leseni. (Binti wa dukani alikuwa mgeni na Leseni ililipiwa,leseni inatolewa ndani ya siku tatu za kazi baada ya kulipiwa.
Zoezi la ukaguzi wa leseni...
Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
"Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa...
Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa.
Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...
Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
Ni habari ya kusikitisha mpaka nyakati izi bado utekelezaji WA mambo mbali mbali KATIKA ngazi za serikali yanahusisha ujamaa na sio mifumo IMara.
Habari iliyopo ni kwamba manispaa ya Temeke bado hawaoni umuhimu wa maagizo ya wanasiasa kwenye utendaji wao si Kwa uadilifu walio nao ivyo pengine...
Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume
Hamdullah Nomany amesema Taliban imeona kuna haja ya kuzuia Wanawake kufanya kazi kwa muda. Ni kizuizi kingine kuwekwa dhidi ya Wanawake...
Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana.
Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
Habari wadau,
Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke umeeleza kuchukizwa kwake na kitendo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nzasa kumualika Amber Rutty kama Mgeni rasmi na kuongea na Wanafunzi.
Pia soma > Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua...
Kumekuwa na tabia endelevu kwa wakurugenzi kujirimbikizia Mali au kuiba fedha za serikali ambazo ni jasho la walipa kodi na watoa michango kwa ajili ya maendeleo ya nchi!
Hii hali haikomi?
Kwa mfano, zimepita siku kadhaa tumeshuhudia aliyekuwa mkurungenzi wa Temeke, Bw. Mwakabibi akiburuzwa...
ccm
chato
debe
halmashauri
katibu mkuu
katibu mkuu uvccm
manispaa
mitandaoni
mkuu
rais samia
samia
tanzania
teuzi
uteuzi
uvccm
wakurugenzi
wakurugenzi wa halmashauri
wapiga debe
wilaya
OFISA Mifugo Manispaa ya Shinyanga, Velan Mwalukwa, ametiwa mbaroni kwa kumtolea lugha chafu Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, na Ajira.
Mwalukwa, ametiwa Mbaroni jana wakati wa mkutano wa Mbunge Katambi, Kata ya...
Mh. Rais, umekamilisha teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya. Na sasa bado nafasi za wakurugenzi wa Halmashauri, miji, manispaa na majiji.
Teuzi zilizotangulia, zilikuwa ni teuzi za ulaji na shukrani kwa sababu kimsingi wakuu wa wilaya na mikoa, tangu enzi za mkoloni, walitumika kama vikaragosi wa...
Habari wadau!
Jana nilipata nafasi ya kwenda wilaya ya Temeke kupiga misele baada ya jamaa yangu kuniomba nimtembelee nikapafahamu anapoishi kule Mtoni Kijichi Temeke.
Binafsi kutokana na taaluma yangu ya uhandisi ni mpenzi sana wa ubunifu wa kihandisi ,hivyo jamaa yangu aliniomba anitembeze...
Halmashauri ya tatu kwa ukusanyaji mapato Tanzania. Halmashauri inayomiliki timu ya mpira ligi kuu Tanzania. Sasa ni mwezi wa sita watumishi wengine wanaanza likizo wakati huo huo kuna watumishi walioenda likizo mwaka Jana bado hawajaipwa nauli zao.
Nauli ya likizo sio hisani ni lazima kila...