manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mimi kama muislamu najiuliza, Haji Manara alienda Macca au Makambako?

    Kwenda macca kwa jambo la kiimani ni ishara kubwa sana kwa muislamu yoyote yule, na lazima tabia zake pia ziakisi heshma ya Macca na uislamu. Haji Manara alikuwa mwalimu wa madrasa, na amepiga sana madufu na ngoma za daku usiku kucha. Lakini tangu atoke Macca amekuwa mtu wa hovyo sana, na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makonda ni muovu. Kama siyo muovu kwanini hajaenda Mahakamani kuwashitaki Lissu, Haji Manara, Clouds Media na Serikali ya Marekani?

    Makonda hata ajifarague na kujibaraguza vipi mbele ya watanzania, yeye ni jambazi, mtekaji, mporaji na muuaji. Niliowataja hapo juu walitoa shutuma za uhalifu wa Makonda hadharani kabisa. Cloudsmedia walirusha kwa masaa 3 kwenye TV, shutuma za uvamizi wa Makonda kwenye jengo lao la matangazo...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye Haji Manara atangaza ndoa rasmi na ZaiyLissa. Mastaa kibao akiwemo JB wameunga mkono

    Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hakiwezi kufichika . Inaonekana Zainabu fundi sana naona ndugu yetu Haji Manara kakolea na penzi analopewa na Zai mpaka kaamua kuvunja kiapo chake cha kutooa tena mpaka anaingia kaburini. Halafu imekuwa ghafla sana aisee hata miezi mitatu haijaisha Bugati...
  4. JamiiForums Tanzania Uzushi na uongo wa Haji Manara kumhusu Fabrice Ngoma

    Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na hizo taarifa ila sikuzifuatilia. Manara mara zote hizo amekuwa anasema alimshuhudia kwa macho yake...
  5. JamiiForums Tanzania Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

    Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini. Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa. Haji...
  6. JamiiForums Tanzania Nyie Manara TV acheni kutuongopea

    Kuna huyu mtangazaji wa Manara TV anayehoji watu kwa kifaransa, leo alimuhoji mchezaji wa ASEC Mimosas. Watu wamekuwa wanamsifia sana huyu dogo kisa ufahamu wake wa lugha ila ukiangalia inaonyesha hajawahi kupitia mafunzo yoyote ya uandishi wa habari kwa sababu kuna vitu vingi anavikosea ikiwemo...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

    Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!! Aliyepewa kapewa. Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli. --- Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika...
  8. JamiiForums Tanzania Manara ni limbukeni wa mapenzi kitakachomkuta kwa Zaiylissa asiseme hatukumwambia

    Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake. Zai anajulikana ni mwanamke mapepe sana na mjanja mjanja mno haswa kwa mtu mshamba sa mapenzi kama Manara anachokitafuta atakipata na...
  9. JamiiForums Tanzania Manara alimvaa Makonda mwaka 2022 katika sakata la GSM

    Ni kumbukumbu ya kilichotokea mwaka 2022 baada ya sakata la Makonda na GSM. Ajabu ni pale ambapo Haji Manara bila kueleweka alikotokea, aliamua kuingilia ugomvi usio muhusu. Alimuanika Makonda mchana kweupe na kumdhalilisha vibaya mno. Ni baada ya Makonda kuweka wazi hofu yake juu ya usalama...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Haji Bin Manara. Ni nini Kinamsibu?

    Moja Kati Ya Interviews za ajabu ambazo amewahi kufanya ni hii ambapo amefikia hatua Kusema kuwa Yeye Hawezi tena Kuizungumzia Taifa Stars...! Taifa Stars...! Nini tena atazungumzia? Akaisemee Kenya? Uganda? UK? au USA..? Wapo Watu Wanatafuta nafasi Waizungumzie Nchi yao Kupitia Stars, bado...
  11. JamiiForums Tanzania Pole sana Haji Manara japo sasa uko Huru na Unajitahidi mno Kuinadi Yanga SC na Kujikomba Kwao, ila Wamekutosa Kiaina na Kukushtukia pia

    Najua tokea urejee katika Ziara zako nchi za Nje na kuwa Huru kutoka katika Adhabu yako na TFF ila kwa sasa umekuwa Ukiilaumu mno Yanga SC na hasa Kumlaumu Swahiba wako Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na usiulize GENTAMYCINE nimejuaje ila jua nimejua. ULIJIFANYA MJANJA ILA MCHEZO HUU...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa JWTZ usifanye jukumu hilo kama mwanasiasa

    Miaka ya nyuma hili jeshi ilikuwa ni nadra sana kusikia wanatoa matamko kwenye vyombo vya habari, na ikitokea kutoa taarifa basi itakuwa ni taarifa ambayo ni nzito sana na kila mwanachi anakuwa na shauku ya kuisikia. Pia walikuwa wakitoa taarifa au tamko basi ni mara moja na hutaona wakirudia...
  13. JamiiForums Tanzania Haji Manara soma alama za nyakati kabla haujastaafu kwa aibu

    Zama za Haji Manara zinaelekea mwishoni. Kwa sasa awepo au asiwepo kwenye jambo hakuna kinachoongezeka wala kinachopungua. Sasa ameamua kupambana na wakati hataki kuonekna yeye ni ziada. Anatumia njia zile zile za miaka yote kukanyaga vichwa vya wenzie ili yeye apande juu. This time naona...
  14. JamiiForums Tanzania Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

    Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate. Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja.. This is true of Haji in the USA, akifika...
  15. JamiiForums Tanzania Haji Manara alalamika Serikali kukaa kimya sakata lake na TFF ilhali ni mwanaCCM na 'Pro Government'

    Aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara amelalamikia Serikali ikiwemo mawaziri kukaa kimya na kuruhusu yeye kuonewa ilihali ni 'Pro Government' na mwanaccm aliyesomeshwa na chama. Manara amehoji kama yeye anafanyiwa hayo, vipi kwa watu wa kawaida? Nimejiuliza, kuna tabaka katika hii nchi sheria...
  16. JamiiForums Tanzania Manara amepotosha, Bandari ya Dar ilikuwepo siku zote, Mreno na Muarabu wameikuta

    Kuna upotoshaji mkubwa umefanywa na Manara ukishabikiwa na madalali wa kugawa bandari zetu kwa muarabu. Kuweka kumbukumbu za kihistoria sawa hapa JF nitaweka ufafanuzi kumjibu Manara. 1. Bandari ya Dar imekuwepo karne nyingi sana kabla ya wavamizi wageni kutoka sehemu mbali mbali duniani kuja...
  17. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

    Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu; " Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu." Haji. Alichoandika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

    Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki...
  19. JamiiForums Tanzania Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

    Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
  20. JamiiForums Tanzania Haji Manara akijenga hoja na kujipinga mwenyewe

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…