Manara alimvaa Makonda mwaka 2022 katika sakata la GSM

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,551
Ni kumbukumbu ya kilichotokea mwaka 2022 baada ya sakata la Makonda na GSM.

Ajabu ni pale ambapo Haji Manara bila kueleweka alikotokea, aliamua kuingilia ugomvi usio muhusu. Alimuanika Makonda mchana kweupe na kumdhalilisha vibaya mno.

Ni baada ya Makonda kuweka wazi hofu yake juu ya usalama wa uhai wake.

Ndipo Manara, ambaye sio familia ya GSM na wala hana share yoyote, akaibuka na kusema, "Makonda kwenda zako wewe, nani akuue wewe. Rudi kwenu Kolomije ukavue dagaa," haya pamoja na dhihaka nyingi. Manara alidhamilia kumdhalilisha Makonda, ilionesha kuwa anachuki naye sana na alikuwa anatafuta upendo wa kutapikia nyongo yake.

Hiki kilikuwa kipindi ambacho watu wengi walimkimbia bwana Makonda. Hata rafiki yake na Chawa namba moja, Lemutuz Mobimba, alikuwa tayari amemkimbia na kumuanika vibaya.

Naamini hata yeye angekua hai leo tungemkumbusha.

Manara kwa siku za karibu amekuwa na mikosi sana, baada ya kukimbiwa na wanawake zake na kufungiwa na mamlaka za mpira. Siku chache zilizopita aliibuka kulialia kama mtoto huku akitaka watu wamhurumie.

Uzi huu ni maalum kumfahamisha kuwa Ndugu Paul Makonda sasa amefika Kolomije.
 
Tukianza kumjadili Manara kwa mitazamo na hulka zake tutakuwa hatuna tofauti na wasengenyaji kitaa kwakuwa haathiri jumuiya kwa maneno yake
Tumakimike tusije tukaangukia kwenye ule usemi usemao small minds discuss people

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini kauli hii au andiko hili hukulitoa wakati ule Manara alipoandika la kumkashifu Makonda?
Au mkuki kwa nguruwe ila sio kwa binadamu?
 
Mbona kama mipasho sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwenezi Mpya Kama aliweza kutapeliwa nyumba yake akiyokuwa anajemjengea mchipuko na Tena kipindi Magufuli yupo na yeye alikuwa RC yule jamaa ni mshikaji tu alikuwa anasimamia ujenzi na mwishoni alimtapeli
Nyumba alikuwa anajenga Sehemu inaitwa Kwa mbondole gongo la mboto ndani ndani

So watu wanaona cheo Cha mwenezi Kama cheo kikubwa Sana nikutojua tu kuwa huyo jamaa ni mtu dhaifu ambaye Hana strategeies so naona wanamkuza tu hana political mileage yoyote
 
Mbaya zaidi huyo "Kabunya" alikuwa na malengo ya kurudi tena kwenye siasa za CCM uchaguzi Mkuu ujao.
 
Back
Top Bottom