manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amtolea uvivu Feitoto kwa kuomba pesa

    Akimtolea uvivu Feisal Salum baada ya kiungo huyo wa Yanga SC kuomba kuchangiwa pesa kwa ajili ya kulipia gharama za kufungua jalada la kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) Ni aibu kubwa kwa Nchi ni fadhaa na kulikosea Taifa hili, Kwa mara nyingine tena Fesal Salum anashiriki...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

    Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Haji Manara akijenga hoja na kujipinga mwenyewe

  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

    Hutaki unaacha 🤣🤣🤣
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

    Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya. Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa...
  6. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wakati manara anatutukana mashabiki wa Yanga akujua vice president wakati huo ni shabiki wa yanga

    Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete. Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania mama yetu ni shabiki wa yanga je na yeye Ile kauli inamuhusu. Haji manara inabidi utuombee samahani...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo amchana Haji Manara vibaya sana

    Dah huyu Mwakinyo. ==== "Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna...
  8. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Sijawahi kumtukana MO

    "Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah. Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Haji Manara vs Ahmed Ally na Ally kamwe, nani ameweza kujaza uwanja wa Mkapa?

    Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji Manara kwenye uhamasishaji Yuko vizuri kuliko Ahmedy Ally na Ally kamwe Ahmedy Ally kwenye...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe, Haji Manara, Injinia Hersi na wana Yanga SC mlisema hamtawaiga Simba SC. Je, hiki mtakachofanya kesho siyo Kuwaiga?

    "Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio ya Kuhamasishana na Kufundishana jinsi ya Kushangilia" amesema Ali Kamwe Msemaji wa Yanga SC muda...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mengi, Mrema, Msuya, Mwaka na Manara, wote walikosea wakafunga Ndoa badala ya kuoa

    Sikuwa na lengo ka kuanzisha uzi katika muda mbovu kama huu, ila nimeshindwa kujizuia. Kelele nilizoziona kwa wingi ni juu ya kufunga ndoa au kutokufunga ndoa; lakini je, tunataka watu wafunge ndoa au waoe? Ni kwanini mtu afunge ndoa badala ya kuoa? Au kwanini mtu aoe badala ya kufunga ndoa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wa Manara, Rushyna asema "Kwani Haji Manara ana hela? Hana pesa, sikwaziki na mambo ya kijinga"

    Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara. Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa Manara kumepooza soka bongo.(Tanzania)

    Kazi iendelee. Kuna hali Fulani ya kushuka kwa soka bongo inaonekana hasa katika kipindi hiki ambacho Alhaaji Bingwa gwiji Haji Manara kufungiwa kujihusisha na soka. Mimi sio mfuatiliaji sana wa soka ila kwa sasa hapa bongo ukiondoa Mayele na Chama hakuna tena amsha amsha ya soka bongo...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa sheria za nchi, Manara na bi mdogo bado ni mke na mume, ndoa huvunjwa mahakamani. Manara mahakamani mkaanikane ya ndani

    Kwa sheria za nchi, ndoa ya Manara na bi mdogo wake waliyevurugana bado ni halali, talaka, kwa sheria za Tanzania, inatolewa mahakamani baada ya mahakama kujiridhisha na sababu za kuomba talaka. Yale mambo ya kumtamkia mke hayatambuliki kisheria. Kama gari za Manara lina breki za upepo mpaka...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa Yanga, kamfata Haji Manara

    Ni rasmi Diamond Platnumz sasa ni shabiki wa mabingwa wa Tanzania, Dar Young Africans. Diamond ameamia Yanga akimfata supastaa namba moja wa michezo East Africa, Haji Manara. Kabla ya hapo Diamond alikuwa shabiki wa timu inayosuasua ya Simba SC. Timu ya Yanga ambayo ndio club kubwa na yenye...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ubingwa alioupoteza Haji Manara ni upi?

    Kumekuwa na sintofahamu kuwa hivi sasa Manara tangu tu alipoenda Dubai amepoteza kabisa ubingwa wake, hali iliyopelekea mke wake mdogo kumkimbia. Ikumbukwe kuwa Haji manara ni balozi wa wasafi bet hivyo yeye na mkewe walilipiwa gharama zote za safari kwenda na kurudi malazi vyakula vilipwa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipa Siku zote tu yuko jirani na Manara na Matajiri wa Salamander Posta mnategemea asituumize Kimakusudi?

    Mwambieni kama akitaka kufanya Utafiti wa mwana Simba SC gani ANAMCHUKIA/ HAMPENDI kwa Upuuzi wake anaotufanyia kwa Kutumika na Maadui zetu Wakubwa mwambieni Mimi GENTAMYCINE ni Mmoja wao na tena naweza hata kuwa ni Kinara. Kazi Kubwa anayoijua na kuiweza ni Kumroga tu Kipa Mwenzake kwa Mganga...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Akina Kamwe, Manara na Privadinyo waliokuwa 'Wakitupostia' Picha za Miquissone Kipindi cha Usajili mbona sasa wako kimya?

    Mlifanikiwa kweli kweli 'Kuwaokota' Mashabiki wenu wenye Mapungufu ya Asili ya Akili na Kufikiri huku Wakirandaranda Mitaani na Kutamba ujio wake wakati kumbe zilikuwa ni Ndoto za Mchana tu. Kama kwa sasa tu Mshahara wa Aziz Ki wa Shilingi Milioni 23.5 kwa Mwezi unawatoa Jasho na Mchezaji kila...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amewahi kucheza Soka?

    Huyu Mwamba amewahi kucheza Soka enzi zake?
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ashakum si matusi, Haji Manara atakimbiwa na mwanamke yeyote yule. Huu ndiyo ukweli

    Asalaam, Kijamii inafahamika nisiongee mengi mind clustering haiwezi kumsaidia hata asemeje kwa akili ya kawaida yule mwanamke sio yeye hata mwingine akimkubali Manara ni Kwa ajili ya kumvaragiza tu. Manara aache kelele nyingi yeye anajulikana yuko kundi gani sasa aache kulia lia ajikubali...
Back
Top Bottom