manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

    Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makampuni yaliyo na mikataba na Haji Manara yaifute kwa udhalilishaji wa wanawake

    Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana. Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe. Natoa rai mikataba yake itenguliwe
  3. F

    JamiiForums Tanzania MANARA na wake zake wawili. Mbinu nzuri ya kulinda brand yake isipotee kipindi amesimamishwa kazi yanga

    Haji manara albinoz mjanjaz Baada ya Manara alipewa adhabu na TFF asingekuwa mjanja tungeshamsahau. Maana usemaji wake ndio kazi inayomfanya aonekane na kupata dili zingine. Mbinu yake ya wake wawili inambeba asisahaulike
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Kama Manara kaachwa kumbe tatizo sio pesa

    Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli. Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!! Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

    Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao. Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila...
  6. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Orodha 10 ya machawa, Manara chawa mkongwe

    😁 1. Haji Manara 2. Haji Manara 3. Haji Manara 4. Haji Marana 5. Haji Manara 6.Mwijaku 7.Baba Levo 8. H.Baba 9. Aristote 10. Lokole Hawachawa wanasifia mpaka wanakera, Kwa nini siku hizi kuwa chawa kunagombaniwa? Wenye machawa wanatafuta nini kwa chawa?
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hakika Haji Manara hakukosea kuwaita wana Yanga SC 'Hamnazo' kwani leo wamelithibitisha hilo kwa vitendo

    KAULI YA MKUU WA MATAWI YANGA SC MKOA WA DAR ES SALAAM..... 'Kwa tulichofanyiwa na Azam FC juu ya Mchezaji Fei Toto ni Uhuni usiovumilika hivyo nitawahimiza wana Yanga SC wote nchini Kususia kununua Bidhaa zozote zile za Azam" KAULI YA YANGA SC KATIKA USAJILI WA DIRISHA HILI DOGO LILILOPO...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama Umaarufu unalipa nini kimemfanya Haji Manara akose Kura CCM inayohusishwa na Yanga SC Kimahusiano?

    Kazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Barbara na MO wakiziujulu Manara atarejea Simba?

    Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi. Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba kunaweza kumrudisha Manara Simba? Kwanini arudi Simba na kwani aendelee kubaki Yanga?
  10. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: CCM yawateua wagombea Ujumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)

    HAWA HAPA KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Manara: Yanga msishiriki CAFCC ni kombe la losers

    "Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile." Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video hapo juu ni moja ya sababu. Mmeacha watu wenu wanaropoko kama wehu, halafu leo mnataka tuwaombee...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Manara kwamba wanaoshiriki Kombe la Shirikisho CAF ni "Losers" itaendelea au ataifuta kesho?

    Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la "Losers" na kwamba mabingwa wote wapo CAF Champions League. Ikumbukwe wakati anatoa kauli hiyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Manara: Heshima ya Yanga itatokana na matokeo!

    Matokeo yameshatoka heshima ya yanga kwishney!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ampinga bosi wake Ali Kamwe, ni dharau kwa wana Yanga

    Kwani huyu jamaa anajiona yeye nani? Bosi wake Ally Kamwe keshasema Yanga ni timu kubwa ina wachezazji wakubwa ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal ambayo ndiyo kwanza inajitafuta kuweka sawa muonekano wao. Wewe ni nani upinge bwana? Yaani Yanga iende Sudan kama underdog? Hii ni dharau kwa...
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

    Sasa ni Rasmi Manara ni Ashura cheupe 🤣🤣 Hivi ile kauli ya kuwa pale Yanga sc wenye akili ni wawili ina ukweli wowote?
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mke mpya wa Manara avunja ukimya, "Sijafata Pesa"

    Mke mpya wa Haji Manara Rushaynah Bugati amevunja ukimya kwa wanaomshambulia kudai kwamba amefuata pesa kwa Manara jambo ambalo amelikana na halina ukweli wowote. Rushayna amesema alianza kufanya kazi na Manara kwa muda mrefu na anamjua vizuri hana pesa yoyote tofauti na watu wanavyomfikiria...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi wa EFM Wilson Prima: Msemaji Ally Kamwe kaanza vibaya Haji Manara siyo na hatokuwa Mshabiki wa Yanga SC

    "Ally Kamwe Msemaji mpya wa Yanga SC anapata wapi Uhalali wa kusema Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ni mwana Yanga SC Kindakindaki wakati Baba yake Mzazi Mzee Sunday Ramadhan Manara akiwa hapa hapa EFM alisema na kutuhakikishia kuwa Mwanae ni Simba SC lia lia pamoja na Dada yake'...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kumbe manara hakua pekee yake?

    Huyu ni pacha wa manara ,wasaliti waliokimbia Simba kwa kuhongwa bahasha za kaki
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hattrick ⚽⚽⚽, Haji Manara aongeza mke wa tatu

    Hattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka. Kwa utamaduni wa kiafrika walizoishi mababy zetu na kwa dini ya kiislam inaruhusiwa kuoa hata wake wanne kwa sababu wanaume wengi...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Jenerali Manara, wanayanga wanasubiri wito na amri yako kuhusu Morrison kufungiwa

    Huu uonevu hadi lini jamani? wanayanga wanahoji huko mtandaoni haswa facebook... wanadai mechi ya ihefu iliahirishwa kimkakati ili Bm 3 aikose simba Kwani ratiba ya international games haikujulikana kabla? wanahoji mbona Inonga hadi leo hajafungiwa? Jenerali manara,wana yanga ni watiifu sana...
Back
Top Bottom