mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Sabaya amekuwa mfano mzuri wa wanaojifanya kutumwa na mamlaka za juu. Wengine kaeni mguu sawa

    Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo. Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kumfunga Sabaya huku mamlaka zikimtetea Paul Makonda hii haikubaliki

    Habari, Mimi ni miongoni mwa watu wachache tuliokuwa tukiuchukia uongozi wa Magufuli. Matendo maovu na viburi kutoka kwa wateule wa Magufuli akiwemo Sabaya na Makonda ndivyo vilichochea zaidi kuichukia serikali ya Magufuli. Hawa vijana waliojizolea utajiri kwa kutumia mamlaka yao hawafai...
  3. Mindi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka iliyomteua Sabaya na kutomtumbua, inahusika pia na hukumu hii

    Sabaya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa ujambazi wa kutumia silaha. Katika kujitetea, mara nyingi amesema kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka iliyomteua. Kwa maoni yangu, hata bila utetezi wake huo, kitendo cha mamlaka ya uteuzi kunyamazia vitendo vyake vya ujambazi, ni kuhusika...
  4. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tunajua Mengi tunanyamaza, Lissu kudharau Mamlaka ya Ikulu kumefanya kufifisha juhudi zilizopangwa na Rais Samia kuleta maridhiano

    Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Kazi ya shule ya uongozi itawafurahisha wenye mamlaka, ukiona unataka kuruka na mimi kwenye mtandao ujue wewe sio kiongozi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Humphrey Polepole amesema hayo kupitia kipindi cha Shule ya Uongozi ambapo alisema ni kipindi kinachofanya kazi ya kusema ukweli, jambo ambalo linaendana na kauli maarufu ya Chama Cha Mapinduzi inayosema "Nitasema kweli daima...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Mamlaka hizi zilikuwa zinapeleka wapi toto hizi kutoka kwenye mafuta?

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (tozo ya miundombinu), Mamala ya Mapato Tanzania (tozo ya kuchakata taarifa), Shirika la Viwango Tanzania (tozo ya kupima ubora wa mafuta kwenye meli na gharama ya uwekaji wa vinasaba kwenye mafuta),” Wakala...
  7. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa wenye mamlaka

    Ili kwajengea vijana na taiga kwa ujumla msingi wa kujitegeme na kujiajiri. Yafuatayo ni maoni yangu kwenu mnaoweza kusema iwe na ikawa. 1. Somo la Stadi za Kazi; lifanyiwe marejeo na kutengenezewa mtaala mpya na maalumu. Mafunzo yaambatane na vitendo. Kuwe na msisitizo wa somo hili kuanzia...
  8. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
  9. msela wa mbagala

    JamiiForums Tanzania Kama Mo kajiuzulu amepata wapi Mamlaka ya kuteua?

    Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua? Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
  10. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Dawa na Chakula Tanzania mnaliona hili?

    Nimekua nikijiuliza sana,hivi walifikiria nini kwamba, anayeuza dawa hata panadol tu lazma awe na kibali maalum na mlolongo kibao wa masharti, lakini anayeuza sumu za panya anaachwa huru kabisa tena katikati ya umma na vispika vya matangazo......"Panyaaa huyoooo tunauza sumu ya panya viroboto...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

    Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie? kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Kumbe viongozi wa dini wameamriwa kuwaombea wafalme na wenye mamlaka

    1 TIMOTHEO 2 Mafundisho kuhusu sala 1Kwanza kabisa, nawasihi muombe dua, msali na kumshukuru Mungu kwa ajili ya watu wote, 2kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema. 3Jambo hili ni jema na lampendeza...
  13. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mamlaka yakosolewa baada ya kisa cha utekaji nyara wa Wanafunzi 70

    Jitihada zinaendelea kujaribu kuwaachilia zaidi ya wanafunzi 70 wa shule ya upili waliotekwa nyara Jumatano katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. Kisa hiki cha utekaji nyara wa wanafunzi 73 kutoka shule ya upili ya Kaya na watu wenye silaha ni miongoni mwa mlolongo wa visa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Malalamiko dhidi ya Polisi yanazidi, Muswada wa Mamlaka ya Kusimamia/Kuwachunguza Polisi unahitajika haraka

    Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari. Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima alifuata ushauri wangu kukataa kujibu maswali ya kamati ya bunge. Bunge halina mamlaka hayo

    Siku moja kabla Askofu Gwajoma hajahojiwa na kamati ya bunge niliibua uzi unaosema bunge halina mamlaka ya kumuhoji alichoongea kanisani. Hivyo nikashauri Gwajima akatae kujibu swali lolote atakaloulizwa. Nilisema wazi ninampinga Gwajima msimamo wake wa kutotaka watu wachanjwe kwani mimi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Wenye madaraka na mamlaka tendeni haki

    Haya yanayozungumzwa juu ya ukosefu wa haki yanatia doa na dosari nchi yetu. Jeshi la polisi limekuwa ni mtuhimiwa namba moja kwa ajili ya uonevu. Ipo mifano hai huko barabarani jinsi rushwa ilivyotamalaki. Lakini pia kuna vituo km Oysterbay na Central DSM, kule wamejaza mali za watu kama...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania China haijarekodi maambukizi ya ndani kwa mara ya kwanza tangu Julai, 2021

    Mamlaka ya Afya Nchini humo leo imesema kwa mara ya kwanza tangu Julai, hakuna maambukizi ya ndani ya COVID-19 yaliyoripotiwa, hali inayoashiria huenda mlipuko wa hivi karibuni umedhibitiwa. Tangu Julai 20 zaidi ya watu 1,200 walithibitishwa kupata maambukizi ya Virusi vya Corona China. Hata...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Bunge halina mamlaka kumhoji Askofu Gwajima alichoongea na waumini wake

    Askofu Gwajima, Kwanza sikubaliani na wewe katika suala la kukataa chanjo ya Corona kwa kadiri unavyowahubiria waumini wako. Binafsi nimeshachanjwa na ninahimiza watanzania wote wachanje tofauti na unavyohubiri katika kanisa lako. Hivyo, dawa pekee ya mimi kukupinga ni kwenda kuchanja na hivyo...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya Dkt. Gwajima hana legitimacy ya kubaki kwenye hiyo Wizara

    Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive. Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio hekima kama waziri,msomi na mtaalamu kuzungumzia mambo binafsi ya mtu mwingine. Hivi work ethics za...
  20. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

    Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui...
Back
Top Bottom