Al-Mamlaka (Arabic: المملكة, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.
Naweza kuwa nimepitwa na habari kutoka Mamlaka zinazodhibiti gharama za usafirishaji. Hivyo, naomba kufahamu endapo Kuna tangazo la Mamlaka yeyote kutangaza ongezeko la nauli za mabasi nchi Tanzania.
Hali imekuwa mbaya, Kuna makampuni ndani ya wezi huu wamepandisha nauli Mara mbili.
Nawasilisha
Ninawasalimia wenzangu wanajukwaa
Nimekosa usingizi muda huu nakuamua kutumia fursa hii kufikisha ujumbe wangu.
Je mamlaka husika zifahamu kwamba wapo baadhi ya wanachuo hadi mwaka unaisha tangia kufunguliwa vyuo mpaka sasa wapo baadhi ya wanachuo ambao hawajapewa fedha ya kujikimu?.
Maswali ya...
Nimekkuwa nikiona katika sherehe muhimu za Kitaifa majeshi yetu yanaonyesha vifaa vyao vya kivita na umahiri wao katika fani zao. Katika sherehe hizi tunakuwa na wageni mbalimbali na wengine wametoka nje ya nchi yetu na huwa wanashuhudia yote yanayofanywa na majeshi yetu katika sherehe hizi...
Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora .
Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
Kuna ufisadi Mkubwa unafanyika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA). Ufisadu huu unafanywa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi AUWSA, Eng. Justine Rujomba kwa kushirikiana na Waziri wa Maji Ndg. Juma Aweso na Katibu Mkuu Engineer Sanga.
Kuna Mradi wa Ujenzi wa...
Mheshimiwa Rais Samia tunaomba utujuze hata kiasi hivi Kalemani alikosea nini pale nishati?
Ukweli ni kwamba wananchi wengi hawajakuelewa kwa dhati kuhusu ufukuzwaji wa yule jamaa pale nishati.
Ifahamike Kalemani pamoja na mapungufu yake lakini watendaji pale Tanesco alikuwa anawamudu kabisa...
Hivi karibuni Babu Tale alizungumza juu ya sanaa kwa mapana yake, alidai kuwa watanzania tuwe mstari wa mbele kuwapongeza wasanii kwa kazi zao vilevile wasanii wajikite zaidi kwenye muziki na sio mabishano yasiyokuwa na tija katika tasnia ya muziki
Hatahivyo alitaja idadi ya watu wanaotakiwa...
Umoja wa Mataifa umetoa rai kwa China kumwachia huru Zhang Zhan (38) ambaye alihukumiwa kifungo baada ya kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia mlipuko wa COVID19.
Zhang alisafiri kwenda Wuhan Februari 2020 ambapo aliripoti kuhusu janga la Corona kupitia simu yake ya mkononi. Alikamatwa Mwezi...
CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika usimamizi wa mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa;
1. Kutokuwepo kwa Hati za Umiliki wa ardhi zenye thamani ya TZS. 1.14 trilioni katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa 27, kutokana na uzembe wa menejimenti za Halmashauri husika kutokupima ardhi...
Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka.
Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke...
Wakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge.
Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na...
Habari za muda huu wanabodi,
Bila kuchelewa naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Hapa nchini Tanzania tunayo Mamlaka ya Usafirishaji nchi kavu iliyoundwa miaka ya karibuni kuratibu na kusimamia usafirishaji kwa nchi kavu. Mamlaka hii ndiyo yenye jukumu la kupanga na kusimamia gharama za...
Sijui kama utaratibu huu upo au haupo, natamani kungekua na sehemu rasmi au kama ni kituo cha polisi au kwingineko ikitokea mtu akiokota kitu ambacho hamjui mwenyewe aende kukupeleka au kukabidhi hapo.
Apewe stakabadhi maalumu kuonesha kuwa kakabidhi.
Hii itasaidia watu waliopoteza vitu vyao...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi.
Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo.
Katika...
Ninaitwa JEROME ERNEST MMASSY ni mkazi wa kata ya Olasiti jijini Arusha.
Wakati Mh.Rais Magufuli akizindua mradi mkubwa wa maji jijini Arusha nililazimika kuacha kazi zangu zote za siku ile na kuungana naye katika hafla ile nikijua tumepata ukombozi ndani ya jiji la Arusha.
Pamoja na kuwa...
Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa;
Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753
Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
Habari zenu wakuu,
Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio.
Hebu tuangalie nchi...
Msomi Nguli Mwalimu Lwaitama amefunguka yenye kujenga, kwake Mheshimiwa Rais:
Yawezekana kuganga yajayo kwani yaliyopita si ndwele.
Hoja ya Mwalimu Lwaitama ina mashiko.
Hoja ya Mwalimu Lwaitama ni yenye kuzingatia katiba ya sasa na hasa uwepo wa ule mhimili uliojichimbia zaidi.
Habari za...
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa...
Wasalaam wakuu,
Kwa sisi wafugaji hasa wa kuku hivi karibuni tulipata afuheni ya chanjo mara baada ya kuingia sokoni kwa chanjo ya kuku ya tatu moja ambayo kwa maelezo inatoa kinga kwa magonjwa matatu Newcastle, mafua na ndui ambayo hapo awali ilihitajika uingie gharama kununua chanjo hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.