mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuna balozi huwa "zinaajiri" waandishi wa habari ili ya kuwapa taarifa za mambo yanayohusu nchi zao katika vyombo vya habari, hii pia ni espionage

    Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo. Ila sijamsema Sugu na Bongo flavor honour
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kada wa CCM Mbeya: Ukivamia mikutano ya CCM umekubaliana na kuumia au kufa, tanapotafuta nafasi roho zetu zinabadilika

    Wakuu, Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni. Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa vyama pinzani walikuwa wamepanga kuvamia mikutano ya CCM na hivyo iwapo vijana hao watavamia...
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mambo ayo, mambo sasa

    Unamuomba mtu hela anakwambia hana, Unaanza kushangaa kwanini hana hela!! Lakini wewe hujishangai kwa nini huna hela?
  4. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Tupac Amaru Shakur (1971-1996)

    MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996) Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza itikadi ama legacy kubwa mno pamoja na kuacha historia ndefu mno na alifariki akiwa na miaka 25...
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa ya Tupac Amaru Shakur enzi za uhai wake (1971-1996)

    MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996) Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza itikadi ama legacy kubwa mno pamoja na kuacha historia ndefu mno na alifariki akiwa na miaka 25 tuu😃...
  6. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Broxn family & Mez B - Mambo yote

    BRONX FAMILY - MAMBO YOTE. "Huu ni mwanzo wa chimbuko wa Hip Hop ya Bongo walikuwepo Gwm, niggers 2 public na k wa kwanzania , Mic walishika wakiwa ma mc wenye vipaji ingawa kuna wengi walipinga na vikwazo kuviweka hawakusita kwa fikra zenye kugusa vichwa vya maadui toka 90s mawingu studio...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni madude makubwa, washabiki wake wanaongozwa na imani, ni vyema kuwa makini pale tunapogusa mambo yake

    Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo, huwa hawana sababu. Ni sawa na dini. Pole Saidi Mtanda, mnyama akiwa mawindoni, kaa mbali
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza RC Mtanda unamchonganisha Rais na mashabiki wa Simba kwa mambo ya hovyo kabisa, Omba radhi yaishe

    Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia? Hihi kweli RC wangap...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa mawili yanayomsumbua Tundu Lissu wiki hii!!

    1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao vilikuwa vinaendelea baina yake na viongozi wa chadema Huku Tundu Lissu wakimuacha kwa makusudi kwa...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mume wa zamani wa Diva anampiga vyombo ndio maana mambo yanamuandama?

    Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala SegereMatata? Ukiangalia insta page yake, na hata watumishi wenzake, ni kama jamii inampigia yowe...
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania Hawa wanajifunzia wapi haya mambo?

    https://www.facebook.com/reel/901390448542878
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tunaowaita waheshimiwa nchini, tunawaita hivyo kwa kulazimishwa au kwa sababu wanafanya mambo yanayostahili waitwe hivyo?

    Heshima ni neno la kawaida tu la kiswahili, lililotakona na neno la Kiarabu kuonyesha hadhi anayopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake. NI namna ya kumwonyeha mtu huyo kwamba utu wake una thamani, hasa kwa jinsi anavyoshughulika kuhusu watu wengine, kutia ndani matendo na kauli zake. Kwa...
  13. mzeewangese

    JamiiForums Tanzania Serikali kuna haja kuomba msaada kwenye kampuni za uchimbaji madini Maana wana uzoefu Mkubwa na mambo kama hayo

    Kuna umuhimu mkubwa wa kuhusisha kampuni kama Barrick Gold au nyingine za uchimbaji madini ambazo zina vifaa vya kisasa na utaalam wa kushughulikia shughuli za kufukua vifusi kwa haraka na kwa usalama. Kampuni kama hizi zina vifaa na uzoefu unaoweza kuwa msaada mkubwa, hasa katika hali kama hii...
  14. econonist

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana

    Naomba nishauri ya kwamba vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana na sio kwenye mambo ya kijinga. Kwa muda mrefu vyombo vya Dola vimewekeza akili na vifaa kwenye kupambana na vyama pinzani. Kuteka, kuua na kunyanyasa wapinzani. Ila akili ya kupambana na maafa ni zero. Tuliona kwenye...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

    Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista Wasabato anena mambo mazito kwenye msiba wa Mafuru

    Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
  17. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya ovyo katika Soka letu

    Kwanini kuifunga Simba Tabora wapewe Milioni 50 wakati wameifunga Yanga wakapewa Milioni 20? - Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameweka wazi kwamba utaratibu wake kwa Timu ya Tabora United huwa anawapa motisha ya Tsh Milioni 10 kila mchezo wanaoshinda..ila walipoifunga Yanga aliongeza mara...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua utaratibu wa kuwa afisa usalama mahali pa kazi Kuna mambo mengi nayashuhudia mazuri na mabaya ila nimekosa platform

    Habari wadau ni utaratibu upi unatumika kuwapata Hawa watu( maafisa usalama katika ngazi mbalimbali) Naihitaji hii kazi kwa namna yoyote ile na najua nitaitendea kazi kisawasawa Mwenye kujua anipe mwongozo
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Wagombea wetu wote warejeshwe, tuendeshe mambo kwa misingi ya haki

    Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe. Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 09 Novemba, 2024 Kiongozi wa Chama chetu alitoa rai kwa Rais wa Jamhuri ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

    Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha. Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Back
Top Bottom