mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Papa anafanya yananifikirisha sana

    Mtu inabidi amwambie huyu Papa feki kwamba Yesu alizaliwa, alilelewa, aliishi na alikufa kama myahudi aliyeishi Judea. ====================================== Pope Francis unveiled the annual nativity scene at the Vatican on Saturday, which this year featured baby Jesus dressed in a Palestinian...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  3. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu nimekuwa nikishirikiana na huyu member mambo ya Siasa za Mashariki ya Mbali sasa basi

    Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba lao Russia na China. Nimegundua tulikuwa tunafanya propapaganda za kitoto na zisizo na ukweli au...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Gamondi anapenda mambo ya Kiswahili

    Sikuile tumepigwa 2 na wale wa Sudan, yeye akapost kutuaga na kuonesha kuwa anaikubali sana Yanga. Leo saa chache kabla ya mchezo kaposti eti anacheza golf ila ukiangalia kwa makini nikama anacheka na ukitumia jicho la kiroho ni kama anamzomea mtu. Namsihi master Gamond asipost tena mpaka...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo 6 niliojifunza nikiwa kwenye biashara kwa miaka 12

    1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu awe na share zake il nidhamu iwepo maana mtu ukimuajiri hawezi kujua uchungu wa wewe Kula hasara au...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tunamhitaji Mbowe, Zitto, Lipumba na wapinzani wengine wote kusimama imara kwa umoja kuna mambo hayaendi sawa nchi hii

    Sisi ndio tutakaoteseka kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa hapa nchini. Kwa kweli tumerudi nyuma mno kwenye masuala ya uongozi na usimamizi wa utendaji wa watumishi wa serikali na rasilimali zetu. Huu ndio wakati muafaka sana kwa viongozi wa upinzani kuungana na kuwa sauti moja...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

    MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUCHELEWA KWENYE MAISHA KAMA TAYARI UNAMPANGO WA KUFANYA JAMBO HUSIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Leo sitawachosha ndugu zangu. Nitashusha vitu kisha nitawaacha mkitatafakari kwenye weekend hii. Kwenye akili yako kuna mambo yanaendelea, kuna mambo unayawaza kuhusu...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  9. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

    Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini. Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili. Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote. Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani? Halafuu, hayo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kiuongozi yanayomfananisha Rais Samia Suluhu Hasan na hayati Julius Kambarage Nyerere

    1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global" 3. Mafundi wa...
  11. Dfw_1k

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtamu ila mchungu kwenye mahusiano

    1.Wanaume wengi huondoka katika mahusiano ikiwa atashindwa kupewa sex na mwanamke 2.Asilimia kubwa ya wanawake hukimbia mahusiano kama mwanaume hampi hela.. 3.Huyo anayekuambia "siwezi kuishi bila wewe"ataweza kuishi bila wewe na atakuacha ... 4.Wanawake wenye mvuto..kama sura ..shepu...
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Man city wanapaswa kujifunza kutoka kwa Yanga, Waonane na Eng. Hersi kabla mambo hayajazidi kuharibika

    Kwa kawaida baada ya timu kupitia mafanikio makubwa mfululizo huwa kuna hali ya wachezaji kurelax na kucheza kwa mazoea wakiamini ubingwa unapatikana kirahisi, Ukiachana na suala la umri wa wachezaji ambao mara kadhaa hutumika kama kisingizio, Ila ukomavu kifikra na uzoefu wa mchezaji ni jambo...
  13. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani aliwahi kukilalamikia Kituo cha Polisi Gogoni mwaka 2019

    Mwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini; Waziri wa @WizaraMNN Kangi Lugola leo Juni 23, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza Kituo cha Polisi Gogoni, Wilaya ya Kipolisi...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Katika kuwalinda watoto, mambo kama haya mitandaoni ndio ninayoyapiga vita Kila siku

    Inawezekana likawa ni suala ambalo watu mmelizoea mitandaoni na kulichukua poa tu lakini Kwa maoni yangu Binafsi ni jambo la hatari linaloharibu watoto ambao ndio kizazi cha kesho. Narudia kama tutashindwa kuweka mikakati ya kuwalinda watoto dhidi ya upuuzi Huu unaoendelea, ni wazi tutakua na...
  15. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mambo manne yatakayokusaidia kudili na mambo usiyoyatarajia

    Kama wanadanamu hatuwezi kuishi kila siku kwa namna moja au kuwa na furaha muda wote au kuwa na mambo mazuri siku zote, bali kuna nyakati ambazo tunakutana na mambo ambayo hatuyatarajii kabisa Sasa haya mambo ambayo hatuyatarajii ingawa tunajua yanaweza kutokea muda wowote ule basi nakuletea...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mambo gani hupelekea kampuni kubwa kubadilisha jina mara kwa mara?

    Kibiashara nini kinaweza kusababisha kampuni kubwa kama tigo kubadilisha jina mara nyingi hivyo(mara nne)? Zipi faida na hasara kibiashara kufanya hivyo?
  17. nipo online

    JamiiForums Tanzania Ila mambo ya kuoa na kuolewa ni magumu mno

    Imagine watu mnakutana ukubwani hapo kila mtu kakulia mazingira tofauti. ndio maana huu mtaa naoishi kuna wanawake kadhaa wanamiliki Mali ila hawana waume ila wana watoto. Nahisi ujuaji umewaweka hapa, mmoja nilimsikia anasema haya maisha ni bora uishi tu single mambo ya kunyenyekea mtu ni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM: Lazima mkubali mambo yanabadilika na humuwezi kuwadanyanya watu siku zote

    CCM ni chama kikubwa chenye historia kubwa ndani ya nchi na nje ya nchi lakini nashauri yafatayo! CCM kwenye chaguzi kuanzia 2019 imekuwana na woga kushindana na vyama vingine na kupelekea watu wengi kuona zoezi la uchaguzi halina maana CCM itambue kizazi kinabadilika na kusema kweli watu...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

  20. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wazo Jipya: Sema Mambo 3 CHADEMA wafanye sasa kwa Uchaguzi Mkuu 2025

    Ukiniuliza mimi ntasema mambo yangu matatu; siyo mageni sana lakini naamini yanaweza kuisadia CHADEMA kujiandaa na uchaguzi mkuu mwakani. Na wewe kama unayakwako yaweke labda katika wastani yatapatikana mambo matatu makubwa. 1. Itangaze mapema kama msimamo wa chama kuwa wagombea wote wa ubunge...
Back
Top Bottom