mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa uliyowahi kuyafanya utotoni wazazi wakasena wamepata mtoto

    Wasee mko musuri! Mada iko open, taja mambo unayoyakumbuka makubwa ya kipekee uliyowahi kuyafanya utotomi mpka wazazi au wakubwa kiujumla wakajivunia wewe. Nianze namimi. 1. Nakumbuka hili tukio lilitokea nikiwa darasa la tatu kama siyo la nne, nilikuwa chalii sana. Ilikuwa pumziko saa nne...
  2. Surya

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanya mambo yako kwa Amani, usiamini Mtu.

    Ni bora ukakaa na Mchawi kuliko kuwa na mtu ambaye sio mchawi ila muongo muongo na tapeli Nitoe ushuhuda tu wa matukio mawili yalio nikuta jana - Kuna sehemu nilikwenda kwenye pita huku na huku na kijana wangu, tukafika sehemu kupata Juice (Juice Point) Kwa amani ngoja niulize bei ya juice...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya nje limejaa machawa na wapinzani wa kisiasa!

    Raisi Samia amekuwa akiwatoa wasomi diplomasia ambao wanajua na kupendwa na kuweka machawa ambao hawasaidii nchi. Mama Mulamula alitolewa baada ya kupata umashuhuri . Makamba baada ya woga wa Mama kisiasa. Sasa mama kabaki na makada machawa na watu anaowahopa . Mkuu wa zamani wa usalama ni...
  4. Brojust

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Wizara ya Mambo ya Nje kuendelea kuongeza fursa za Kiswahili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia Balozi zake nje. Msisitizo huo umetolewa wakati akitoa salamu kwenye hafla ya ufunguzi wa...
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Pitia hapa kama uliwahi kuharibiwa mambo yako kimazingara (ulozi) na namna ulivyojinasua

    Wakuu, Maisha ni fumbo, maisha ni gumzo. Tusipende kubeza watu kutokana na wanayoyapitia na wanayoyaongelea kwa maana haujayapitia. Karibuni kwa story mbali mbali wakuu
  7. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo yanaweza kukufanya uheshimiwe

    Mosi, usiruhusu mtu yoyote yule kukusikia ukilalamika,hisia zako si chochote kwa watu wengine,kwa maana nyingine watu hawapo interested kusikia matatizo yako Pili,kubali ukweli pale unapokosea kwani hakuna mkamilifu,hii itakujengea heshima zaidi na utaonekana unawajibika kwa makosa yako...
  8. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

    Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media. they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri hivi ndivyo mambo yatakavyo kuwa kama ikitokea kwa asilimia kubwa ulimwengu ukawa chini ya influence ya Russia, China, Iran na marafiki zao

    GEOGRAPHICALLY North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100. Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR. Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
  10. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mambo sita muhimu unayopaswa kuyajua

    Mosi,wanaanza kukumiss pale wanapokosa mtu mbadala wa kuchukua nafasi yako pili, hauwezi kuwa imara siku zote,kuna siku huwa na uzuni na upweke pia,kwahiyo usiogope kulia,lia na utoe huzuni moyoni mwako Tatu,hakuna mtu ambaye yupo bize kwa mtu ampendae,itategemea umewekwa namba ngapi kwa...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano!

    Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano! (1) Sio kazi ya Mwanaume kukuhudumia hivyo acha kabisa kumuambia matatizo yako mwanaume ambaye ndiyo unakutana naye. kama akikusaidia sawa, asipokusaidia basi vumilia, msome taratibu, angalia mambo mengine katika mahusiano na si kuhusu...
  12. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Mambo Huisha,, Yawe mazuri hata kwa kiasi gani. Binadamu tukubali tu.

    Jambo lolote lile zuri, Unaloliona leo litafika mwisho tu. Tukubaliane na hali ili maisha yendelee. Wanaume tukubali tu. So usiwekeze sana nguvu na mali kwa mwanamke wako hata kama unamuona mzuri na mrembo kiasi gani.. Wanawake msiweke akili zenu na kujikita sana kwenye kuhudumiwa intensively...
  13. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania 👹Tanganyika Nimeamini kweli Mambo ya Giza yapo..

    Raia zinaroga mpaka machine ya Mzungu imetoka U German, Picha limeanzia Simiyu huko maeneo ya Nkololo Bariadi ndani ndani. Kijana wa Kisukuma kapiga mipunga yake akataka AUDI A4 akavimbe barabarani Yaliyomkuta sasa funga mkanda twende pamoja. Nikujulishe tu Nkololo ni Kijiji ktk Wilaya ya...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mambo 10 kuhusu Jenerali Robert Mboma, CDF pekee kutokea Kamandi ya Anga

    Leo nimeona niwaletee machache kuhusu Jenerali Robert Mboma, aliyepata kuwa Mkuu wa Majeshi wa Tanzania miaka ya nyuma huku akiwa na rekodi mbalimbali. Twende kazi… 1. Jenerali Robert Mboma alijiunga na Jeshi la Wananchi na kulitumikia katika nafasi mbalimbali mpaka pale alipostafu mwaka 2001...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

    Wakuu, habari za mihangaiko Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili. Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA...
  16. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mambo sita ambayo mwanaume yeyote anapaswa kuyasoma

    Jambo la kwanza, wavulana huingia kwenye uanaume pale wanapoanza kuelewa kwamba,hakuna anayewajali kama hawana mchango wowote katika maisha,kama unataka kuwa mwanaume basi onyesha thamani yako katika maisha. Jambo la pili, jifanye hauna uwezo wa kupata mkate wako wa kila siku mpaka pale...
  17. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Tangu Pogba na Diallo kuilaani Israel hadharani mambo yao yamewaendea vibaya sana

    Yeeerrreeehhh! May 2021 Hamas walianza uchokozi walirusha makombora mengi sana kwenye anga teule la Israel. Israel ikajibu kwa kuwashushia vitu vizito sana vyenye ncha butu vikigusa ardhi vinalipuka na wanaosalia kubaki kulialia hovyohovyo ooh wateule wanaua wanawake na watoto. Baadaye watu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

    Hivi kweli hawa wahamasishaji wanataka mambo yote katika kuanza na kufanikisha Biashara? Naamana yote? Mimi niache kwanza nijifunze kwako! Karibu!
  19. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Pale Shetani anapotaka tushirikiane nae katika mambo yake

    Watu wa mtandao fulani sitaki kuutaja hapa huwa wana kawaida moja pale linapokuja swala la kuangalia connection,huambiana jamani naomba mnitumie nami pm au dm tugawane dhambi Angalau hao huwa na uhuru wa kuamua kushirikiana mambo ya shetani kwa utashi wao,lkn jambo baya ni kushirikishwa mambo...
  20. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Dating Apps: Kupata Mapenzi Huko ni Rahisi au Unapoteza Muda?

    Hivi ukiingia kwenye dating apps, unatafuta mapenzi au unatafuta maumivu? Watu wengi wanajaribu bahati yao huko, na wengine wanajikuta wakipoteza muda huku wakichanganywa na maswipe right na swipe left. Inajulikana kuwa hizi apps zimejaa watu wa kila aina – wengine wanatafuta penzi la kweli...
Back
Top Bottom