Jamaa amelenga kitu kingine kabisa 😂Ni mawe gani hayo? Mimi ndio nayaona leo!
Aje hapa aseme, huenda anajua kwanini kauliza! We deal naye tu nakuruhusu bamkali🤗Jamaa amelenga kitu kingine kabisa 😂
Nitamuumiza bure huyu kijana aisee!
Nimefurahi sababu umenipa go ahead.Aje hapa aseme, huenda anajua kwanini kauliza! We deal naye tu nakuruhusu bamkali🤗
Hongera lakini hapo kuna mawe mengine kabisa tofauti na Gold.Nilisikia some elements za mawe zina emit positive vibration... Ndo maana watu wanapenda kuvaa Gold, sio tu kuonekana wanahela, ila Kuna higher vibration kwenye gold... Ili react na energy field ya mwili mtu akakuwa awekened kwa namna moja ama nyingine
Nimejaribu kusoma nimeona linaitwa black onyx lina nguvu zake ukivaaJiwe jeusi ni moja tu.soon nitapata maana yake lakini hayo mengine ni mwonekano wa chuma kinachong’aa.