mambo ya

Representing the Mambo is the ninth studio album by the American rock band Little Feat, released in 1990. It peaked at No. 45 on the Billboard 200 and was supported by a North American tour. "Texas Twister" and "Rad Gumbo" were released as singles.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Wa Mambo ya Nje Ya Tanzania: Ziara Ya Rais Samia Urussi Imeleta Mtikisiko Wa Dunia. Haijapata Kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenye Wivu ajinyonge Tu Maana habari ndio Hiyo Inayoendelea kutikisa Dunia Nzima . Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Urusi ni ziara ambayo imeleta mtikisiko...
  2. JamiiForums Tanzania China: Marufuku kwa walio chini ya Miaka 18 kushiriki Mambo ya Dini

    Dini ni sehemu kubwa sana ya maisha ya mwanadamu. Katika jamii zetu nyingi za Kiafrika, mtoto anapozaliwa tu, huanza kufundishwa misingi ya imani ya wazazi wake. Lakini je, ushawahi kujiuliza inakuwaje pale Taifa linapoamua kwamba masuala ya imani yasiwahusishe kabisa watoto mpaka wafikishe umri...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya Tanga

    Video inajieleza. Uzi tayari.
  4. JamiiForums Tanzania Updated in 2026: Jinsi ya kusajili kampuni, nyaraka zinazotakiwa, gharama za usajili, vigezo na mambo ya kuzingatia kabla na baada ya kusajili kampuni

    Elimu ya sheria kuhusu usajili wa Makampuni nchini Tanzania. (Procedures for the registration of companies, costs for registration and things to take into account before and after registration of a company in Tanzania). Mwandishi: ZECHARIAH WAKILI MSOMI (MWANASHERIA) (0612275246 📞)...
  5. JamiiForums Tanzania Tujadili mambo ya msingi

    Ni sababu zipi, zinazo kukwamisha wewe kutokuwekeza biashara, kiwanda, au uchimbaji wa madini Ulaya?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani yaomba Trilioni 2.4 kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027

  7. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya ndani yaomba kuidhinishiwa sh. Trilioni 2.44 Kwa mwaka wa fedha 2026/2027

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 2.44 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027. Matumizi ya Kawaida: Shilingi trilioni 1.95 sawa na asilimia 80% zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida...
  8. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha 😀😀 Wazee wa kupiga bao
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

    Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa, acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream, Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Iran Abbas Araghchi akutana na Putin.

    Leo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi alikutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko St. Petersburg kujadili kuongeza uratibu kati ya nchi hizo mbili, kwani mataifa yote mawili sasa yamepeana ndege zisizo na rubani, hasa ndege zisizo na rubani za Shahed-pattern, na ujasusi katika...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Waziri Mambo ya Nje wa Seychelles

    Waziri Kombo akutana na Waziri Mambo ya Nje wa Seychelles Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo(Mb), amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Jamhuri ya Seychelles Mhe. Barry Faure pembezoni mwa Mkutano wa Tisa Bahari...
  12. JamiiForums Tanzania Admini wa Page ya Polisi alipo-like mambo ya ajabu! Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

    Wakuu, Itakuwa mizimu ya Oktoba 29 imeanza kuwasalimia na Polisi😌😌 Admini wa Page ya Jeshi la Polisi kajichanganya huko, kaenda kulike mambo ya fezea, mambo ya hajabu, vitu za rikiboy na genge lake:KEKLaugh:. Imebidi nikawafolo Polisi kuhakikisha bana isijekuwa Eiai🌚 Hyyu afande amelike...
  13. JamiiForums Tanzania Mpaka siku muafrika aachane na mambo ya dini, ndio siku atakayoendelea

    Wanaosema dini ni nusu ya uchizi hawajakosea. Fikiria, kabla dini haijaletwa mtu mweusi ulikua na maisha yako na namna ya kuomba Mungu kwa dini zako za asili. Baada ya kuletewa dini leo hii wewe ndio unajikuta unaijua zaidi ile dini kuliko walioileta, Kwamba wewe ulie Maneromango ndio unamjua...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China na nchi za Afrika kushirikiana kwenye kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa Internet

    Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

    .Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
  17. JamiiForums Tanzania Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

    Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu? Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

    Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia. Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka akabidhi Sh Bilioni 7 Mwanza kwa Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…