malori

Malori is an Italian name. Notable people and fictional characters with the name include:

Adriano Malori (born 1988), Italian cyclist
Lorenzo Malori (1724–1830), Italian centenarian
Malori "Mal" Crowett, a character in Mage & Demon Queen

View More On Wikipedia.org
  1. Malori 250 ya Tanzania yashikiliwa DRC siku 45 sasa

    Malori 250 ya watanzania yaliyobeba copper yanashikiliwa nchini Congo kutokana na mgogoro wa kodi baina ya Serikali ya Congo na kampuni za madini zilizopakia mzigo huo. Malori hayo na madereva wake wamekwama kwenye mpaka wa Kalumbesa. Balozi wa Tanzania nchini Kongo, Said Mshana amethibitisha...
  2. Biden aruhusu malori 20 ya misaada kwa mateka 2 wa Marekani

    Hii leo muda mfupi kuanzia sasa malori 20 ya misaada yataanza kuvuka mpaka wa Misri na Gaza kupeleka misaada kwa Wapalestina waliozingirwa Gaza. Misaada hiyo itakuwa ni ya mwanzo na aliyoitaja raisi Biden juzi kama ni makubaliano yake na Rais Elsisi wa Misri. Jana viongozi wa Hamas waliachia...
  3. Serikali Ina mkakati gani wa kuondoa foleni ya malori Tunduma

    Takribani malori elf 10 toka nchi mbalimbali uvuka kwa mwezi mpaka wa Tanzania na Zambia mji mdogo wa Tunduma,shida kuu ni foleni sababu ya miundombinu mibovu. Unakuta foleni ya malori inafika hadi kilometers 30 sawa na kutoka Posta Dar hadi mlandizi. Yakingojea kuvuka yakiwa na mizigo ikiwemo...
  4. M

    Utitiri wa Malori umekithiri barabara ya Morogoro, hatua za haraka zahitaji kuchukuliwa, tusisubiri hadi janga litokee

    Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
  5. Waziri Wa Urusi Aikimbia Nchi Yake Na Kwenda Kuwa Dereva Wa Malori Marekani

    Ni maajabu ya Karne Kwa Waziri kuacha kazi yake ya uwaziri toka nchi kubwa, superpower ,na kwenda kuwa dereva wa Malori 🤔 ..... https://www.theguardian.com/us-news/2023/aug/18/one-big-adventure-the-russian-minister-who-fled-the-draft-to-drive-trucks-in-the-us
  6. Tabora: EWURA yakamata Malori ya mafuta yaliyofichwa kwenye Kituo cha mafuta cha GBP

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imefanikiwa kukamata malori matatu ya mafuta ya Dizeli na Petrol yaliyokuwa yamefichwa kwenye Kituo kimoja cha mafuta cha GBP Mjini Tabora. Inadaiwa kuwa yalikuwa kwenye mkakati wa kucheleweshwa wa lengo la kutengeneza...
  7. Songwe: Ajali ya Malori 2, Bajaji na Bodaboda yaua Watu 5 Momba

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea katika eneo la Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Jumatano Juni 5, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Theopista Mallya amethibitisha kutokea ajali hiyo...
  8. S

    Ujio wa DP World vikampuni uchwara vya clearing and forwarding, malori na bandari kavu njooni mlime matikiti

    Ufisadi sasa baaasi! Vikampuni uchwara vyote violivyokuwa vinachota hela kijanjajanja hapo bandarini sasa tafuteni mashamba mje mlime matikiti.. Mwarabu anakuja kuziba mianya yote ya uhuni, wizi na utapeli hapo bandarini
  9. Waiba mafuta kwenye malori na madereva lao moja

    Wakuu, Aisee muda wote nilipokuwa naona hawa watu wanaiba mafuta nilijua ni ile ya kiwiziwizi tu kumbe ni mchongo kati ua dereva na hawa vibaka. Bosi unapigwa kila siku huku watu wanajifanyia yao. Katika harakati za maisha mjini barabara ya Mandela hii kwenye foleni nikaona huyo mwamba...
  10. I

    Malori zaidi ya 100 Himo yenye shehena ya mahindi yaamuriwa kuuza mahindi yao nchini badala ya kuyasafirisha Kenya

    Amri hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Nurdin Babu kwa maelekezo ya Waziri wa Kilimo Bw. Bashe. Bila shaka amri hii inatokana na zuio la Rais Samia kuzuia kuuza chakula nje ya nchi ili kukabiliana na upungufu wa chakula nchini na duniani kwa jumla. Hoja hapa kwa nini serikali...
  11. T

    Tetesi: Tanzania imezuia malori 500 ya mahindi wakati mlisema mnachakula cha kutosha

    Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa. Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500 hayana vibali ku export mahindi while tulisema chakula kipo nawatu wauze kwa kuwa ni jasho lao...
  12. D

    Matajiri wa malori msinyanyase madereva wenu

    Kuna matajiri wa malori wanapenda kuonea madereva wao hasa wanapowapa malori kupeleka mizigo nje ya nchi, kwanza malori yanabebeshwa mzigo mzito kuliko uwezo wake. Dereva anapewa hela ya kuhonga mizani, na dereva akiishiwa diseli anashurutishwa anunue mwenyewe, na lori likiwa na overload...
  13. 'Semi Trucks' za 'TESLA' zaanza kuingia sokoni, moja itauzwa Tsh. Milioni 587 kabla ya VAT na 'Shipping'

    Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.⁠ ⁠ First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.⁠
  14. Eti unajenga bandari ya Karema Ili upunguze Malori Tunduma, kwa Jiografia ipi hiyo?

    Hawa wanaopanga na kufanya hii miradi Huwa wanajua wanachokifanya au wanakurupuka tuu? Yaani Mizigo Mingi inayopita Tunduma inaenda DRC(Lubumbashi), Zambia na Zimbabwe ambako route Yao fupi ni via Tunduma.. Sasa inawezekanaje mizigo itoke Dar iende Karema then ivuke Ziwa itafute Barabara ndio...
  15. Bravo Group Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike Wala za Kiume. Wanawake Wasichague Kazi, Wanawake Madereva Wazuri Kuliko Wanaume!, Wapongezwa!.

    Kampuni ya Usafirishaji Makontena, ya Bravo Group Limited Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike na Kiume. Madereva Wanawake wa Malori Wapongezwa na Wanawake Wahimizwa Wasichague Kazi Umetolewa mwito kwa wanawake kote nchini, wasichague kazi, na badala yake wachangamkie kazi zozote wenye uwezo nazo...
  16. Wafanyabiashara wa malori ya mizigo wamekuwa kero kwa abiria Stendi ya Kilombero

    Kituo cha magari madogo ya abiria Kilichopo kilombero jijini Arusha maarufu kama stand ya Kilombero kimezidiwa na wingi wa shughuli nyingi za kiuchumi hususani biashara tofauti na Lengo kuu la kituo hicho cha daladala. Kituo hicho ndio kitovu cha daladala karibu zote zinazoelekea sehemu...
  17. Lile nyomi la mapokezi ya Lema lililetwa na malori mangapi?

    Sisi WanaCCM tumezoea kusombwa na malori kwenda kupokea viongozi wa kitaifa wanapokuja kufanya ziara za kichama hata kiserikali. Baada ya uminywaji wa demokrasia kwa miaka zaidi ya 8, hatimaye vyama vya siasa vimeruhusiwa kuanza kufanya shughuli zao kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi...
  18. S

    Kabla hujaoa test mitambo kwanza kuiepuka aibu

    Dada wa diaspora alikuja mwaka juzi hapa Tanzania akampenda binti kisha kamuunganisha na kakake aliyeko nje ya nchi. Mambo yote ya kimahusiano yakaazia na kukamilikia kwenye simu. Mwaka jana mwezi wa 9, mkaka kaja na kufunga ndoa na binti. Wakaenda kula tunda la katikati kwa mara ya kwanza...
  19. Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  20. Malori ya cement wazo yakaguliwe yote kama school bus.. Tutaishaaa

    Tumepoteza jirani na mzazi alietegemewa na watoto wake asubuhi kisa break za haya malori ya kubebea cement kufeli. Mh RTO niwapongeze kwa zoezi zuri la kukagua mabasi ya shule wengine leo watoto wanabebwa na no ....E...Shule nyingi zimenunua mabasi mapya baada ya zoezi. Tunakuomba watu tukaao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…