malori

Malori is an Italian name. Notable people and fictional characters with the name include:

Adriano Malori (born 1988), Italian cyclist
Lorenzo Malori (1724–1830), Italian centenarian
Malori "Mal" Crowett, a character in Mage & Demon Queen

View More On Wikipedia.org
  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Matukio ya ajabu kwa madereva wa malori

    Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori. Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila dereva na si madereva tu mpaka mafundi,yaani kama gari yake ina shida mafundi wanastop kutengeneza...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Chata la Tai mwenye taji kwenye malori na Siri iliyojificha

    Kwema Wakuu! Kuanzia mwaka Juzi 2023 mwezi December, na mwaka Jana kukachanganya kuna ongezeko kubwa la Magari hasa malori ya Mafuta yakiwa na chata la Tai aliyevishwa Taji kichwani. Kama utakuwa mdadisi unaweza kugundua Jambo hilo kwamba Kati ya malori matatu basi Lori Moja litakuwa na chata...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori Watanzania waliokwama Kongo waomba msaada baada ya Waasi wa M23 kuteka Goma

    Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma, Pia: Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma
  4. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Karibu utiririke…
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aagiza Ujenzi wa Maegesho ya Malori na Taa Dakawa na Kibaigwa

    RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayochukua vifusi Mbutu- Kigamboni hayafuati sheria za usalama barabarani

    Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali. Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua inayochukuliwa na mamlaka husika. Moja ya madhara ambayo yamekuwa yakitokea ni kumwagika kwa vifusi...
  7. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...... Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 wamefutiwa leseni zao kuanzia Agosti hadi Novemba

    Wakuu, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani nchini limewafutia leseni madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 kuanzia mwezi Agosti hadi Novemba 2024 kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamebainishwa leo Desemba 12, 2024 na Mkuu wa Idara ya Elimu ya Usalama...
  9. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayopaki eneo la urafiki ni kero kwa watumiaji wa Barbara ya morogoro

    Wakuu salaam Kumekua na tabia ya madereva wa malori kuegesha magari yao sio pembezoni bali katikati ya hii barabara muhimu kuanzia eneo la urafiki hadi ubungo darajani. hali hii imekua kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara hii, kwani husababisha foleni kubwa hasa wakati wa jioni kwani...
  10. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Hivi ukonda wa kwenye malori ndio ukoje?

    Habari za leo, swali kwa ufupi tu kwa wazoefu au hata kwa ulivyoona Hivi ukonda wa kwenye malori ndio ukoje maana kuna mtu anatafuta vijana wa3 kufanya kazi hiyo Naombeni ufafanuzi hapa ikoje
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hizi ajali mbili za malori zilinifurahisha sana nilitamani zijirudie

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa kuwa polisi wanakuja ku search nyumba kwa nyumba, tulificha zile bia wiki nzima ilikuwani kufyonza tu...
  12. Mkwere Sumbawanga

    JamiiForums Tanzania Dereva wa basi la Mtei Express auawa na madereva wa malori kutoka Rwanda

    Kuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli? Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda... Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ni nchi nzuri lakini imejawa na Viongozi wazembe

    Tanzania ni nchi nzuri sana, Amani, Uhuru na Utulivu ni wa kutosha, Ila ni nchi iliojawa na viongozi wazembe sana japo ni wasomi sana Tumekua tukiamini sana katika Uwekezaji hasa kwa Raia na Taasisi za kigeni kuliko kuwekeza na kusimamia sisi wenyewe? Serikali haifanyi Biashara ila inatoa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  15. Janeth Thomson Mwambije

    JamiiForums Tanzania Ushiriki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha malori na tipa

    09/Mei/2024 Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni. Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Elimika na uburudike kwa misemo inayoandikwa kwenye Malori, Daladala, pikipiki, bajaji, baiskeli

  17. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanaegeshwa karibu na makazi ya watu Tabata, yanaharibu barabara na kuvamia maeneo ya wazi

    Kumekuwa na ongezeko ya idadi kubwa ya malori yanayopaki ama kuegeshwa katika mitaa ya tabata mfano; mtaa wa shule ya st.mary’s na NSSF huku malori hayo ikileta maafa yafuatayo; 1. Kuharibu barabara 2. Kuziba njia kwa kupaki vibaya au kuharibika pamoja na kuziba njia zilizokuwepo hapo awali...
  18. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Malori Mabovu kuegeshwa Barabarani, mamlaka Inawajibika kukagua Hivi Vyombo vya usafirishaji?

    Barabara ya ubungo-Mbezi mwisho inaongoza kwa Kuegeshwa malori njiani, Malori yanasababisha foleni kubwa sanaa, Nashindwa kuelewa kuwa Mamlaka Huwa haifanyi ukaguzi wa magari haya? Yanaachwa yafanye safari zake yakiwa mabovu cha ajabu yanazima njiani, inakuwa kero kwa Watumiaji wa barabara...
  19. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Dereva malori anaepita njia ya KIGOMA via UVINZA kuja Dar anahitajika

    Habari ndugu? Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100. Karibu Pm. NITALIPIA
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Malori chakavu ni chanzo kikubwa cha ajali

    Kwa watu wanaosafiri kwa magari mara kwa mara watakubaliana na mimi kuwa, madereva wa Malori ni kati ya madereva walio iva kimafunzo pengine kuliko kundi lingine lolote barabarani. Huwa wapo makini, waangalifu, na hawafanyi maamuzi ya hovyo hovyo kama hawa wengine wanao tusafirisha. TATIZO...
Back
Top Bottom