malori

Malori is an Italian name. Notable people and fictional characters with the name include:

Adriano Malori (born 1988), Italian cyclist
Lorenzo Malori (1724–1830), Italian centenarian
Malori "Mal" Crowett, a character in Mage & Demon Queen

View More On Wikipedia.org
  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Wale aliowabeba kwenye malori na kuwapa baiskeli mkweche nao wamemkataa

    Kiumbe mmoja, aliwasomba maelfu ya waTanganyika kwenye malori waende kujaza kampeni zake , akawapa baiskeli mikweche , kanga na kofia kedekede ikiwa ni pamoja nakuwapikia wali na maharage. Akatapakaza picha zenye sura yake nchi nzima ,akakamata na kufunga wapinzani wote jela , ili kujisafishia...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Malori ya kampuni za Mt. Meru Depot, HASS, Afroil na W. Oil T2 yamekuwa yakipaki barabarani eneo la Kigamboni yakisubiri kupakia mafuta

    Watajwa hapo juu nikero eneo la Kigamboni hasa mida ya asubuhi na jioni, wanapaki Malori yao barabarani na kua kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Licha ya mkuu wa mkoa kulizungumzia mwezi uliopita lakini bado hali haijabadilika. Tunafahamu wapo waliochangia chama, lakini tunaomba mamlaka...
  3. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania URUSI Yapiga Mrufuku Malori ya Kichina kwa kukosa Ubora

    Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi? https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
  4. M

    JamiiForums Tanzania Julai 31, Rais Samia kuzindua bandari kavu ya Kwala, malori kuingia mjini sasa basi

    Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala. Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Taratibu wakazi wa Kigamboni tunaanza kuzoeshwa foleni na malori

    Wasalam, Utaratibu mbovu na kukosa utaratibu kwa hizi ICD (Inland Container Depot) waswahili tunaita bandari kavu kunapelekea foleni kwa sisi tunaotoka na kuingia Kigamboni kupitia Daraja la Nyerere. Majira ya asubuhi kwa hii wiki yote, tumeanza kupata changamoto mpya hasa tunaotumia barabara...
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo, Sasa naingia kwenye malori

    Wakuu ipo hivi Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti) KAZI ya vishoka Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu. Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi. Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata...
  7. smarte_r

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

    Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china. Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya TEC kuzuia makanisa yake kutumika na wanasiasa, natamani na TABOA/TATOA nao waje na tamko kuzuia mabasi na malori yao kutumika mikutanoni

    Mabasi na malori yanatumika sana kubeba watu toka maeneo tofauti na kuwapeleka mahali ambapo mikutano ya CCM inafanyika. TABOA na TATOA nao watoe tamko la kuzuia mabasi na malori yao kubeba watu kwenye mikutano ya siasa. Hili pia likifanyika, CCM pamoja na kuwa ni chama tawala watakuwa wapweke...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watu wa CCM Wanaobebwa kwenye Malori kuitwa ng'ombe ni kuwadhalilisha

    CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi. Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya. Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Umasikini ni Mbaya sana, na unatumiwa na CCM, fikiria watu wanasombwa na Malori kwenda kuwaona watu wanao panda V8

    Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na Umasikini, huo muunganiko ni balaa. Katika moja ya maeneo ambayo elimu hata ya Uraia ni zero basi ni...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TPA yazindua zoezi la ukaguzi wa malori yanayohudumia bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini imeanza rasmi zoezi la ukaguzi wa ubora wa malori yanaingia bandarini kwa ajili ya kushusha na kupakia mizigo inayopita katika Bandari ya Dar es Salaaam. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye bandari...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel yaanza kulipua malori yanayasafirisha mizinga yakipeleka Tehran

    Sasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida..... The Israel Air Force targeted several trucks carrying weapons, including trucks transporting...
  13. Alhadj mohameid

    JamiiForums Tanzania Malori

    ⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️ (Umoja wa Madereva Tipa Dodoma) 🚛 Unamiliki Lori la TIPA? Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamiwe kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila usumbufu? ⚠️ USIKOSE FURSA HII! Chama cha UMATIDO kinakaribisha wamiliki wote wa magari ya TIPA kujiunga...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Malori

    Wakuu...naomba kujua taasisi/kampuni ambayo inakopesha malori (Malori ya kichina) kwa mfumo wa Asset Finance. Yaani unakopa Lori (kwenye kadi kunakuwa na majina mawili, la mmiliki na anayeshikilia gari) baada ya marejesho kuisha nabadili kadi na inakuwa ya Jina langu. Je kuna kampuni /taasisi...
  15. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania TENDA: Malori makubwa (Semis) yanahitajika

    Habari za mchana. Natafuta mtu anayemiliki au mwenye connection na malori makubwa ya kusafirisha bidhaa. Lori za mafuta na bidhaa mbalimbali. Malipo ni mazuri. Vigezo: Kuanzia tani 30 na kuendelea. Nicheki 0683535699
  16. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Madereva malori wa kitanzania waporwa mizigo na kunyanyaswa DRC

    Katika hali inayostajabisha walitokea wahuni wa DRC wakasimamisha malori haswa yanayoendeshwa na kutoka Tanzania na kuanza kupora vitu vyao kuwashusha kwenye malori na kuwazuia kuingia ndani ya DRC
  17. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya waislamu, Yombo Islamic imegeuzwa Yadi ya kupaki malori, Bakwata inafeli wapi? Wafadhili wa kujenga misikiti wasaidie shule pia

    habari wadau, miaka ya 1980s mwishoni katika kata ya Yombo vituka iliyopo wilaya ya temeke vilipimwa viwanja vingi sana, ambavyo wananchi walipewa na kuuziwa na manispaa ya temeke. katika viwanja hivyo waislamu walipewa eneo kubwa la kujenga shule. Wakatoliki na wao walipewa eneo kubwa la...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wadau wadai msongamano wa malori Tunduma unatengenezwa, RC Chongolo aunda kamati kubaini ukweli

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Malori yanayolete mizigo Mwanza hurudi matupu na badala yake yanabebana wenyewe

    Mkoa wa Mwanza upo kasikazini Magharibi mwa Tanzania na umekuwa kitovu kikuu Cha biashara kwa wakazi zaidi ya milioni 10 wa mikoa ya kanda ya ziwa. Kuna jambo limekuwa likinishangaza kidogo, malori yanakuja Mwanza yakiwa yamejaa mizigo kama bidhaa za viwandani, vifaa vya ujenzi, na bidhaa...
  20. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa madereva wa mabasi na malori kutoka Tanzania kufanya kazi nchini Qatar

    ✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅...
Back
Top Bottom