malipo

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi Aibana Wizara ya Ardhi Kuhusu Kutumia Fedha za Kigeni Katika Malipo ya Upangishaji Nyumba

    MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kazi ya malipo ya 5000 kwa siku?

    Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo. NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania kodi ya jengo kuweka kwenye malipo ya kununua umeme ni kumuonea mpangaji

    huku tukisubiria chuo cha uchambuzi wa michezo ,leo kwa wale tulioponga kwenye biashara ua makazi swala la mpangaji kuwajibika kodi ya jengo kwenye umeme ni kama walijifikiria wao wenye nyumba zao ambao ndio wapo bungeni na mishahara minono. mnakamua 1500
  4. R

    JamiiForums Tanzania PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

    Wekeni digital formula mstaafu aweze kukokotoa mwenyewe, aweke namba ajue mafao yake ni kiasi gani. Najua ipo ila hamtaki kuiweka ili muwapunje wastaafu (hii manual formula wazee hawaiwezi). Mbona TRA na benki kwenye mikopo formula hizo zipo? Acheni wizi/ubabaishaji.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Serikali, kuna nini?

    Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma. Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu. Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Malipo ya kodi ya viwanja kwa simu

    MSAADA: MALIPO YA KODI YA VIWANJA. Nimejaribu mara nyingi kulipia kiwanja changu kupitia namba ya mtandaoni *152*00# bila mafanikio. Kama kuna mwenye kujua njia mbadala anisaidie au tumerudia njia yetu ya zamani kwenda dirishani ofisi za ardhi na kupewa control number. Msaada tafadhali.
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Uchawa ukizidi sana ndio madhara yake haya

    Rais wetu mpendwa anatoa wapi hela za kusomesha watu wa nchi hii? Naamini Rais anachukizwa na hizi sifa mnazombebesha kila uchwao. UCHAWA UKIZIDI SANA NI AIBU!
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Bima kwa wote itaunganisha watanzania kuanzisha vita kali dhidi ya CCM

    Umoja ni nguvu na changamoto na shida ni chachu ya kuleta umoja wenye nguvu. Maisha magumu sana sana na mpango huu wa bima kwa wote ndio ccm na serikali yao ya kidhalimu itajua haiju dadadeki kudadedeki acha vita ije haraka. Wakati wa kuukataa upumbavu ushafika. Tusubiri yajayo yana heri Wadiz
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malipo kwa Dola badala ya Shilingi yanaongezeka Mitaani, Serikali iko kimya

    Niende moja kwa moja kwenye wazo langu. Licha ya kwamba biashara ni huria lakini naamini Nchi ina taratibu zake hasa kwenye masuala ya Kifedha. Na imeshatokea mara kadhaa Serikali kuagiza malipo ya ndani ya Nchi isipokuwa kwa Watalii yafanyike kwa Shilingi ya Tanzania lakini hali ni tofauti...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malipo ya watumishi wa afya Hanang kwa waliosaidia wahanga kuna upigaji mkubwa

    Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine mkurugenzi amegoma kutulipa lakini wote tumesaini karatasi za malipo kwa kazi hiyo moja ila malipo...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kwenye malipo ya serikali/Digipass

    hivi inakuwaje malipo ya serikali yanayo tumia mfumo rasmi wa Benk kama Digipass. Ikifika weekend haifanyi kazi au pengine hufanya kazi kwa 25% na kwa sikukuu kama hizi ndio kabisa sijiu wanazima kabisa. Fikiria karibia National parkfees zote Tanzania zinatumia huo mfumo halafu kwa sikukuu...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Bil 2.4 Malipo ya Wafanyakazi wa Urafiki

    CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), kimeipongeza Serikali kwa kutoa sh. bilioni 2.4 za malipo ya wanachama wao waliokuwa wanafanya kazi katika Kiwanda cha Nguo Urafiki ambapo madai yao yamedumu kwa kipindi cha miaka 10. Mball na serkali kutoa...
  14. Barackobama

    JamiiForums Tanzania Elimu bila malipo imekufa kimyakimya

    Ni miezi sasa takriban mitatu. Tangu Septemba hadi Desemba 2023, Serikali haijatuma fedha za ruzuku shuleni bila maelezo yoyote jambo ambalo limezua mjadala katika utekelezaji wa ebm kwa mujibu wa waraka wa elimu kama ulivyotolewa na Serikali. Jambo hili linapelekea Walimu viongozi kuanza...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya 500/= getini stendi ya Magufuli magari madogo yanayotoka na abiria;

    Nimeshangazwa sana na malipo yanayotozwa getini stendi ya Magufuli, kwa magari madogo yaliyobeba abiria walioshuka kwenye mabasi. Kuna jamaa getini anachukua mia tano kwa kila gari ndogo inayotoka, bila kutoa risiti, na mlipaji ni abiria. Hizo pesa zinaishia wapi na ni tozo za sababu gani?
  16. Jaquelines

    JamiiForums Tanzania Malipo ya mitihani ya kufunga muhula yameanza lini?

    Mitihani ya kufunga muhula kwa shule za msingi huwa inalipiwa na wazazi au serikali hutoa mitihani kwa gharama zake? Hii ni mara ya pili mtoto anatumwa hela ya mtihani.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema inashughulikia madai ya Wafanyakazi wa SGR wanaodai malipo ya NSSF

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile amesema Serikali inafahamu Mkandarasi Mkuu wa Mradi wa Reli ya SGR (Yapi Merkezi) anasuasua kufanya malipo kwenye Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa Watumishi na kuwa vikao vinaendelea ili awe anakamilisha malipo mara tu anapolipwa fedha...
  18. chandeka marwa

    JamiiForums Tanzania Je ni haki kwa mafundi ujenzi wanaojenga nyumba za serikali kwa force account kuzungushwa katika malipo yao??

    Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

    Government Electronic Payment Gateway (GePG) Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi? Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
  20. magabelab

    JamiiForums Tanzania Je ninaweza kutumia Daraja API kufanya malipo ya M-pesa Tanzania

    Je ninaweza kutumia Daraja API ya Safaricom kufanya malipo ya M-pesa Tanzania kwa kutumia laini ya vodacom, Nataka kutumia technologia yao ya stk push
Back
Top Bottom