Nani anahusika na mfumo wa malipo wa serikali - GEPG?

t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
6,396
14,820
Habari wakuu,

Kwa wanafanya malipo ya serikali watakubaliana nami kuwa, mfumo wa kulipia na kuhakiki malipo wa serikali " government e payment gateway" (GEPG), haufanyi kazi vizuri kwa takriban mwezi sasa! Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa kufanya na kuhakiki malipo ya serikali.

Ni Nani anahusika na matemgenezo ya mfumo huu? Mfumo unahujumiwa? Wenye kujua tatizo watujuze.
 
Back
Top Bottom