malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maneno makavu ya Rais Magufuli ambayo yametolewa Leo wakati Rais samia akiwa makamu'mimi sibembelezi

    https://www.youtube.com/watch?v=SAseTq_131k&ab_channel=Linconmedia
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya Habari Vya Miaka 10 ijayo

    TBC HABARI 2030: Ndugu Tundu Lissu aapishwa kuwa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwa rais wa kwanza kuongoza nchi hii kutoka chama cha Upinzani. GAZETI LA MWANASPOTI 2054: ujeruman yasema walistahili kutolewa na taifa stars kwenye michuano ya kombe la dunia, kwani Taifa stars...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mwaka 2022 Kauli Tatanishi za Rais Samia Suluhu Hassan Kuhusu Bei ya Umeme

    Hapa Rais Samia Suluhu awaambia Wananchi watalipa elfu 27 kuunganishiwa umeme. Hapa Rais Samia Suluhu hassan abadilisha kauli yake kuhusu kuunganisha Umeme. Mimi huwa siwaamini Wana siasa karibu wote ni wasanii.
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute haya

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Zijue Athari Za Kula Chipsi, Moja Kati Ya Chakula Pendwa Zaidi Duniani

    Chipsi ni moja kati ya chakula kinanchopendwa zaidi duniani KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi haziliki bongo tu ata ughaibuni chips zinalika sana na zinapendwa haswaa, chipsi zinaenda na vitu vingi...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Fahamu Makundi Matatu Ya Ugonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo

    KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo: 1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo. Vidonda hivi hutokea katika utumbo kwa sababu...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kukabiliana Na Tatizo La Kuvurugika Mzunguko Wa Hedhi

    TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi. Japokuwa wengine huchukulia tatizo hili kama kitu cha kawaida, kuvurugika kwa hedhi ni dalili kwamba kuna tatizo katika mfumo wako wa uzazi hivyo ni...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Baba Mtu akifa anaweza kumnunulia mtu zawadi? Jifunze kitu kutokana na hii hadithi

    Baba kwani mtu akifa anaweza kumnunulia mtu zawadi?? Lilikua ni swali kutoka kwa mwanangu wa miaka 5, nilistuka kidogo kwani alikua anazungumzia mambo ya kufa. Ndiyo kwanza tulikua tumetoka kuzunguka Mlimani City kwaajili ya kuwanunulia wanangu watatu zawadi na tulikaa kidogo ili kunywa Juice...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli

    Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli.
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania SUA wanavyotumia bundi kudhibiti viumbe hai waharibifu

    BUNDI ni jamii ya ndege anayeishi kwa kutegemea nyama kama chakula chake kikuu. Hutafuta mawindo yake nyakati za usiku na mara nyingi hutumia mchana kupumzika. Ni ndege mwenye uwezo mkubwa wa kusikia mirindimo ya sauti iliyo ndogo kiasi kwamba binadamu hawezi kuisikia. Huwasikia na kuwavamia...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Saratani ya utumbo mpana, haja kubwa tishio kwa jamii

    SARATANI ya utumbo mpana ni matokeo ya viotea au uvimbe ambao awali mtu huishi nao kama viotea vya kawaida na hatimaye hubadilika baada ya kukumbana na visababishi hatarishi. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, Hellen Makwani anasema ni saratani ambayo huanzia kwenye utumbo mpana na kazi ya...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Munir Akram, Balozi wa Pakistan kwenye Umoja wa Mataifa anazungumia kuhusu ubaya wa Israile kuwaua Rraia wa Kipalestina wasiokuwa na hatia

    Munir Akram Balozi wa Pakistan Kwenye Umoja wa Mataifa Anazungumia Kuhusu Ubaya wa israil kuwauwa Raia wa Kipalestina wasiokuwa na hatia. Kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas.
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Interactive map shows the world's most dangerous countries to visit with vacationers warned

    The map shows the world's most dangerous countries (Image: travelriskmap.com) Vacationers have been advised not to travel to the world's most dangerous countries, which are highlighted on an interactive map created by International SOS. These nations are where tourists are most likely to...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Huyo ndiye mbunge wa Turkey aliyefia Bungeni akiilaan Israeli

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Chama cha Conservative Uingereza chahitalafiana juu ya mpango wake wa kisheria kwa Rwanda

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta baada ya kutia saini mkataba mpya huko Kigali Desemba 5, 2023. Picha na Ben Birchall / POOL / AFP. Migawanyiko imeibuka katika chama cha Conservative juu ya mpango wake wa kisheria...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ishara Ya Dalili Ya Upungufu wa Vitamin B12

    SIGN OF VITAMIN B12 DIFICIENCY SYMPTOMS JICHUNGUZE KWENYE ULIMI WAKO UKITOKEA ALAMA KAMA HIZI KIMBIA HARAKA HOSPITALI KAMUONE DAKTARI UTAKUWA UNA UPUNGUFU WA VITAMIN B12 MWILINI MWAKO NI HATARI UKIPUUZA
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Manara Kwa jipu la Tanesko

    ======= Haji Manara amelalamikia shirika la umeme nchini, Tanesco kukata umeme kwa muda mrefu na kusababisha kutumia gharama kubwa kuwasha jenereta. Manara amesema wananchi wengi hawana uwezo wa kununua jenereta au kununua mafuta ya kuendesha majenereta hayo.
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mwenye Nguvu aje kupambana na mimi. Kama Utaweza Njoo

    LIKUD Mkuu LIKUD Ajiandaa kupamba na na maaduwi zake hapo kazi kweli ipo
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mbinu nzuri ya ku-save Pesa zako kwa Mwanamke Mwenye Tamaa

    Umejifunza kitu gani kwenye video hii?
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Mbuzi amekufia kwa Muuza Supu sijuwi itakuwaje atapona huyo Mbuzi?

    Ama kweli Mbuzi amekufia kwa Muuza Supu sijuwi itakuwaje atapona huyo Mbuzi?
Back
Top Bottom