malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Who is Ekrem Imamoglu, the Turkish mayor who could challenge Erdogan?

    ISTANBUL, April 1 (Reuters) - Newly re-elected Istanbul Mayor Ekrem Imamoglu has emerged as the main challenger to Turkish President Tayyip Erdogan's reign. But in some ways, he is following in the footsteps of the Turkish leader who ran the city in the 1990s. Aside from having led the country's...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maradhi ya Masikio Kupiga Makelele(TINNITUS)

    Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele, mtu husikia sauti za makelele au kitu kinaita(ringing) ndani ya sikio moja au yote mawili na sauti hizo hazitoki nje na wala hakuna mtu mwingine anazisikia zaidi ya mhusika mwenyewe. Je unasumbuliwa sana na tatizo la Masikio kupiga kelele? haupo...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya Leo

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ukistasjabu ya Musa utayaona ya firauni tobailai Mtoto wa miaka 17 wa kiume bado ana nyonya kwa Mama yake mzazi

  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ukiokota Pete yoyote Njiani Tafadhali usije Kuivaa itakuletea madhara mwilini mwako

    Huyu kavaa pete ambayo ni pete ya mtu aliye kufa ameiacha itakuwa ni Pete ya shetani sasa kidole kimetoka hatari usivae pete ya mtu mwengine unaweza kupata shida kama hiyo.
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya leo

    Leo afadhali kimetoka kiji-Jua kidogo hali ya hewa nzuri.
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwanini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron?

    Kwa nini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron? Maelezo ya picha, Vradimir Putin Mvutano kati ya Rais wa Urusi Vladimir Putin na NATO unaonekana kuongezeka kwa mara nyingine tena huku Putin akiwa tayari amesema iwapo NATO itatuma wanajeshi kuisaidia Ukraine, hatari...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Uvimbe katika Mayai Ya Mwanamke (Ovarian Cyst)

    FAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (OVARIAN CYST ) Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama ovarian cyst...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Fibroids, uvimbe kwenye kizazi unaowatesa wanawake wengi Duniani

    FIBROIDS:UVIMBE KATIKA KIZAZI UNAOWATESA WANAWAKE Katika siku za hivi karibuni,wanawake nchini wamekuwa wakilalamika kuwa kila wanapokwenda kujifungua basi hukutwa na uvimbe katika nyumba ya uzazi. Uvimbe huo,ambao si saratani, umekuwa ni tishio kwa maelfu ya wanawake nchini jambo...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Usimchezee Mamba, atakutafuna

  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazı wa ndani awanywesha mkojo mabosi wake, wamkamata

  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia; Mwalimu Mkuu wa Kitinku awafukuza shule watoto wa Mzee Salum kwa sababu wanakwenda kuswali siku ya ijumaa

    Je Sheria ya nchi inasemaje ? soma hapo chini 👇 ASalam Alaykum, Hongera nyingi sana kwa ndugu yetu wa imani ya kiislamu kwa jihad kubwa aliejitolea wa ujasiri mkubwa kuongea hayo bila oga na hatimaye natija yake ameamsha usingizi hisiya ya siyo ya viongozi na Mashekh wetu tuu bali hata...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani?

    STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani? Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila siku. Magonjwa kutosikia matibabu ni tatizo kubwa la magonjwa ya zinaa (STDs) au (maambukizi ya zinaa)...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Umejifunza kitu gani kwa kupitia hii Video yangu?

  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akikaguwa shamba la mpunga

    Je Kuna Kiongozi wowote wa Bara la Afrika anaweza kufanya kama alivyofanya huyu Mtemi wa Korea ya Kaskazini? Thubutu yake Hakuna kiongozi wa Bara la Afrika anayeweza kufanya hivi
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee atakuwa hatari kweli Usaliti wa ndoa

  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Chui huja kila usiku kukutana na ng'ombe na ng'ombe huramba kichwa chake

    Chui huja kila usiku kukutana na ng'ombe na ng'ombe huramba kichwa chake. Mwanaume huyo alizungumza na mmiliki wa awali wa ng’ombe huyo na kugundua kuwa mama chui alifariki akiwa na umri wa siku ishirini tu na tangu wakati huo ng’ombe alimlisha chui huyo kwa maziwa yake. Kwa hivyo, chui...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kuna mlima ambao huwa unateremsha maji huko China, lakini unakua mkavu daima hautoi maji. Ila ukisomewa Aya za Qurani ndipo maji yanaanza kutoka

    Kuna mlima ambao huwa unateremsha maji huko China, lakini unakua mkavu daima hautoi maji. Ila ukisomewa Aya za Qurani ndipo maji yanaanza kutoka, wanayatumia watu halafu unarudi kuwa kama Mwanzo. Subhana Allah wa Bihamdih Subhana Allah Aladheem
Back
Top Bottom