malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM hii umasikini nchi hii tutadumu nao!

    KWA CCM HII UMASIKINI NCHI HII TUTADUMU NAO. VIONGOZI WENGI WA CCM NI WAPIGAJI WANAMUANGUSHA MAMA SAMIA HAKUNA HATA MMOJA MZURI.
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Asalalee mzungu kala mafenesi ajali haina kinga

  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Huyu mama wa kikongo anameza sio kula ugali

  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ajali haina kinga kweli hatari sana

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nay Wa Mitego Ujumbe Wako umefika Kwa Wahusika

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wabongo wanaotafuta maisha nchini Afrika ya Kusini

  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Elimu bure Kwa kila Mdanganyika Mama Samia Suluhu oyeee

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania ICC wadaiwa kufungua portal maalum kwa kila mwenye ushahidi kuthibitisha mauaji ya maangamizi ya halaiki kwa Wapalestina

    Hii ni habari kubwa na nzito. Mahakama ya Makosa ya Jinai duniani wamefungua portal maalum kwa kila mwenye ushahidi kuthibitisha mauaji ya maangamizi ya halaiki dhidi ya Wapalestina atume. Ushahidi unaweza kuwa sauti, video au nyaraka. Ingia kwenye website hii utume. ==========••••••• This is...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Majangaa kundi la nyuki wavamia nyumba ya mpwa wangu iliyopo mjini Dar mtaa wa Idrissa

    a
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Je, Israel ilichangia bila kukusudia kuunda kundi la Hamas?

    CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo kuhusu taarifa Author,Na Laith Issam Nafasi,BBC News Arabic 9 Januari 2024 Madai kwamba vuguvugu la Hamas ulikuwa mradi wa Israel yamekuwa yakisambazwa kwenye vyombo vya habari na wasomi - tangu wapiganaji hao wawaue na kuwateka nyara Waisraeli tarehe 7...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Jinsi binti yake TB Joshua alivyokabiliana na baba yake kwa kufichua maovu yake

    10 Januari 2024 Na Charlie Northcott, Helen Spooner & Tamasin Ford BBC Africa Eye BBC inafichua jinsi kiongozi wa kanisa kuu marehemu TB Joshua, ambaye anatuhumiwa kwa uhalifu wa kingono kwa wingi, alimfungia bintiye mwenyewe na kumtesa kwa miaka kadhaa kabla ya kumwacha bila makao katika mitaa...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Vyakula vya kusindika huleta saratani

    CHANZO CHA PICHA,EPA Watafiti nchini Ufaransa wanasema kuna uhusiano kati ya vyakula vilivyosindikwa na maradhi ya saratani. Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki,kuku na mikate kuwa vinasindikwa sana. Utafiti uliofanywa kwa watu 105,000 umeonyesha kuwa vyakula hivyo huliwa zaidi, hivyo...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Vinasaba DNA vya wanyama aina ya Tasmanian devil, vyaonyesha shara za kudhibiti saratani

    Share IMAGE SOURCE,MENNA JONES Image caption, Mnyama wa mwituni ajulikanae kama Tasmanian devil Uchunguzi wa geni wa Tasmanian devils umebaini uwezo wa haraka wa kutibu maambukizi ya saratani ya uso inayotishia wanyama hao. Ikiwa ni moja kati ya aina tatu za maambukizi ya saratani yanayoweza...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 unayoweza kufanya kupunguza hatari ya kuugua saratani

    Maelezo ya picha, Jitihada zinashinikizwa kung'amua mapema maradhi ya saratani na kuyashughulikia ipasavyo Kampeni kubwa imesambaa duniani wakati dunia leo inaadhimisha siku ya saratani duniani - #WorldCancerDay - kupiga vita saratani kwa kuongeza uhamasisho kuhusu umuhimu wa kutambua mapema na...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Saratani ya Ovari : Kuvimbiwa mara kwa mara inaweza kuwa dalili

    Maelezo ya picha, Laura Everley,ambaye alipatikana na saratani ya mfuko wa mayai ya uzazi(ovari) mwaka 2014, akiwa pamoja na mwanae wa kiume Harry Ni theluthi moja tu ya wanawake wanaomuona daktari licha ya kuwa na dalili kubwa, wasema utafiti shirika la kupambana saratani ya Ovari-Target...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Aspirini huenda ikasaidia kutibu saratani sugu ya matiti

    Aspirini huenda inaweza kusaidia kupambana na saratani sugu ya matiti kwa kufanya uvimbe mgumu kutibika kuitikia tiba ya dawa za kupambana na saratani, madaktari wanasema. Kundi la wataalamu wa Wakfu wa Christie NHS Trust, mjini Manchester, limeanza kufanyia majaribio wagonjwa wa saratani ya...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Jinsi tiba ya saratani ya dhahabu, ubani na manukato inavyohusishwa na Yesu Kristo

    10 Januari 2022 Maelezo ya picha, Hadithi ya dhahabu, ubani, inahusishwa na Yesu Kristo Mapambo yanayotengenezwa katika onyesho la Krismasi huonyesha vitu vitatu vikitolewa kama zawadi. Hadithi inaelezea kuwa wanaume wenye busara walikuja na kumpatia mtoto Yesu dhahabu, ubani na manukato...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Waswahili wa Uingereza Njooni Msikilize Kichambo chenu Hichoo Hahahahahaha

  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maabara feki za Watu binafsi Mganga Mkuu wa Manispaa amkamata daktari feki

  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Video: Haya ndio maisha ya Ulaya kipindi cha baridi; hakuna kulala huku, ni mwendo wa kazi tu

Back
Top Bottom