CAF hufanya draw ya makundi kwa kuzigawa timu kwenye pots/vyungu 4 kwa kigezo cha ubora wao.
Pot no. 1: Al Ahly, Wydad WC,Esperance, na Mamelodi Sundowns.
Pot no 2: Simba, CR Belouizdad, Pyramids na Petro de Luanda.
Pot no.3: TP Mazembe, Al Hilal, ASEC Mimosa, na Yanga.
Pot no. 4: Etuile...
Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24.
CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
Hongereni sana watani kwa kufanikiwa kutinga hatua ya makundi klabu bingwa Barani Afrika.Pongezi pia kwa Tanzania kwa kufanikiwa kuingiza vilabu viwili katika mashindano makubwa barani Afrika.Ninavyoona kwa kasi hii ya ukuaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania, Miaka mitano mbele Tanzania itakuwa...
Pot 1:
Al Ahly
Wydad AC
Espérance de Tunis
Mamelodi Sundowns
Pot 2:
CR Belouizdad
Pyramids
Simba
Petro de Luanda
Pot 3:
TP Mazembe
Al Hilal
Young Africans
ASEC Mimosas
Pot 4:
Étoile du Sahel
Jwaneng Galaxy
Nouadhibou
Medeama
NB:
1. Kuna baadhi ya mechi (tatu) zinaendelea, ila...
Nafikiri michezo yote itakuwa imekamilika, hivyo tupeane orodha ya timiu zilizofanikiwa kuingia hatua ya makundi na zaidi ni lini droo ya kupanga timu hizi kwenye makundi itafanyika.
Karibuni.
Wanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League
Hii ni michuano adhimu ambayo club chache tu barani Afrika ndio zinapata nafasi ya kushiriki...
Huku kunahitaji Uzoefu mkubwa mno na hapa wala msione Aibu kujifunza kutoka kwa Simba SC hata kama huishia Robo CAFCL mara kwa mara.
Na kuna Uwezekano hata katika Pot yenu ya Makundi mkapangwa na Mamelodi Sundown FC, Esperance Du Tunis na Pyramids FC hivyo hapa sijui mtatokea wapi japo mnatoa...
Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana.
Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao...
Hii ni orodha tukufu ya makundi yaliyoweka alama kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Nyimbo zao zikipigwa hadi leo zinasisimua.
1. Hard Blasters Crew (HBC)
Kundi liliundwa na Profesa Jay, Fanani na Big Willy. Albamu yao ya Funga Kazi itakumbukwa daima. Wimbo wao wa chemsha bongo...
Mpasuko mkubwa unafukuta ndani ya Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), ukihusisha baadhi ya viongozi wanaounda Baraza la uongozi la chama hicho, Jambo Media inaripoti.
Taarifa za mpasuko huo zimebainishwa na chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya TLS, zikionyesha wazi kama hali itaendelea hivyo...
Hawa jamaa kutuwa kujisifia kutinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika (CAFCL) unadhani walianza kushirika hatua hiyo miaka mingi sana huko nyuma wanasahau wakati Yanga anatinga hatua hiyo mwaka 1998, wao walikuwa na miaka mingi tu hawajafikia tena hatua hiyo.
Sasa watuambie , miaka...
Leo Simba na Yanga zimecheza hatua ya pili ya mtoano (klabu bingwa Afrika) zikiwa ugenini, Simba ikitoa sare kwa taabu sana dhidi ya Power Dynamos ya Zambia na Yanga ikipata ushindi wa kawaida wa goli mbili bila dhidi ya El Merreikh ya Sudan.
Bila kumumunya maneno, ni wazi Yanga na Simba...
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80.
Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja.
Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, leo Septemba 12, 2023 amezungumzia wajibu wa familia na jamii kwenye kudhibiti mmomonyoko wa maadili dhidi ya watoto kupitia Sheria ya Moto, Sura ya 13 mahsusi kifungu cha 158 cha Katazo la Jumla.
Dkt...
Timu ya Al Merikh ya Sudan imefanikiwa kusonga mbele hatua ya mtoano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Otoho d'Oyo ya Jamhuri ya Congo baada ya kutoka nayo suluhu ya bila bao katika mechi ya marudiano leo.
Katika mechi ya kwanza kuzikutanisha timu hizo...
Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya.
1. Dada wa kazi.
Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.