makundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Makundi mawili yatakayoambulia aibu 2025

    Kumekuchaa! Heri ya Mwaka Mpya 2023. Siku zinazidi kusonga mbele huku joto la kisiasa likizidi kupaa. Za chini chini zinasema hivi kuna makundi matatu yanayoenda kutifuana huko mbele 2025. A. Kundi A Hili ni lile la waliokuwa madadakani na sasa hawamo tena. Hili ni kundi la wafuasi wa Hayati...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ANC wagawanyika baada ya kibuka wanaomuunga mkono na wanaompinga Ramaphosa

    Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress kimewateua wajumbe wawili kugombea nafasi ya uongozi wa chama hicho. Mshindi wa kinyangànyiro hicho atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024. Wajumbe hao ni mwenyekiti wa sasa Cyril Ramaphosa ambaye pia ni rais wa Afrika...
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania 2025 tumuunge mkono mama Samia. Kama kuna dukuduku la mapungufu tumweleze ashughulikie. Hakuna haja ya kuwa na makundi

    Ni vyema tukubali kuwa kazi inaendelea. Miradi mikakati inakwenda vizuri. Mfano daraja la Wami limekamilika. Sgr kipande cha Dar Moro kipo tayari na na kitaleta mabadiliko ya maisha kwa wananchi. Tumuunge mkono mama ili kazi iendelee. Hakuna haja ya kuwa na makundi na na kuleta kauzibe kwa mama...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

    Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta. Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja. Pia M23 wametuma ujumbe wako...
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Jinsi Algeria walivyoibiwa - Historia ya Makundi kumaliza kwa Wakati Mmoja

    Ni Mwaka 1982, siku ya tatu iliwakutanisha Algeria na West German ambao walijua wanakwenda kutimiza wajibu. "We will Dedicate our Seventh Goal to our wives and the eighth to our dogs." Game ikachezwa na German wakapigwa 2-1 mechi ya kwanza. Ingawa Algeria alifungwa mechi ya pili na Austria...
  6. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya makundi yanayoongoza kumnyanyasa mwanamke na mtoto japo yanajua kujificha

    TAMWA wanatafsiri Ukatili wa kijinsia kuwa ni kitendo anachofanyiwa mtu yeyote mwanamke au mwanaume kwa lengo la kumdhuru au kumuumiza kisaikolojia, kimwili, kiafya, kingono na kiuchumi. Hata hivyo tafiti nyingi zimeonyesha kwamba wanawake ndiyo wahanga wakuu wa ukatili wa kijinsia. Tukimjadili...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi :Walamba Asali kuandaa makongamano, maandamo ya makundi mbalimbali , ikiwemo ya kigeni Rasimi, ili mgeni Rasimi amchambe Dkt Bashiru

    Wakuu, Msiombe Mwanafamilia kusimama aseme Ukweli na kukemea maovu yanayoendelea ndani ya familia Unaambiwa utaitwa Kila jina, mchawi wewe, huna shukran wewe, msaliti wewee n.k !! Ndiyo hayo anayopitia Mh na Dkt Bashiru !! Dkt Bashiru kaamua kutumia sauti yake kufikisha ujumbe wa...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanawake na watoto wapiga hodi nyumba kwa nyumba kuomba unga na chakula kutokana na Uhaba wa chakula

    Baadhi ya wakazi Wilaya ya Arumeru, Arusha wameomba Serikali kuingilia kati hali ya uhaba wa chakula ambayo sio ya kawaida inayoendelea katika mkoa huo. Hali hiyo imesababisha makundi ya kina mama na watoto kutembea umbali mrefu wakitafuta chakula kwa kuombaomba maeneo tofauti, ambapo mara...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

    Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia. Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado natafuta kiini cha ajali ya ndege ya watu majuzi na waliosababisha, kwani kwa ndege kama ile, tena...
  11. Championship

    JamiiForums Tanzania Simu ya Nabi kwa Mgunda leo asubuhi yaipeleka Yanga makundi ya Shirikisho Afrika

    Mpira umetembea leo kule Tunis kwasababu ya simu aliyopiga Kocha kupata ushauri kutoka kwa Guardiola Mnene. Nampongeza Kocha kwa uamuzi wa busara.
  12. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Sanduku la Agano yawezekana limefichwa na makundi ya siri kama Priory of Sion?

    Waasalam Anaandika, DaVinci XV, Naam Inajulikana na kuelezwa dhahiri katika Imaani na maandiko tofauti tofauti ya kwamba miongoni mwa vitu vikubwa na vitakatifu basi huwezi kuacha kulitaja sanduku la Agano , au Sanduku la Ushuhuda kama wengine wanavyoliita. Utakatifu wa Sanduku hili...
  13. Poker

    JamiiForums Tanzania Eng.Hersi ulituahidi wanayanga tutaingia makundi huu mwaka. Tusipoingia hiyo 9/11/2022 naomba ujiuzulu nafasi yako

    Raisi wetu wa klabu pendwa ya kihistoria hapa nchini na Africa mashariki. Yanga ni klabu kubwa yenye historia nzuri na Pana, hata pepe kalle aliwahi kuimba kuhusu ubora wa yanga. Kuwa wa Rais wa klabu kama yanga yenye mashabiki lukuki ndani ya nchi na nje ya nchi si kitu kidogo wala cha mzaha...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na haya makundi, muda wowote yanaweza kukuumiza

    Makundi makuu matatu, yanayoweza kukuumiza kwa kiwango kikubwa wakati wowote bila wewe kutarajia/kutegemea:- Marafiki wako wa karibu Hawa wakiamua kukuumiza, watakuumiza kweli;kwa sababu wanajua uimara wako pamoja na udhaifu ulionao. Wanaweza hata kuharibu familia yako kwa kutembea na mpeni...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba kufika makundi haimaanishi ubora kuliko Yanga

    Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa? Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mshabiki wa Simba ni timu gani ungependa Simba ikutane nazo katika makundi ya klabu bingwa Afrika?

    Binafsi napenda tupangiwe kundi moja na Wydad Ac Al hilal Coton sport de Garoua Je wewe ungependa tukutane na timu gani?
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Unayehoji kwanini Msudani Kafuzu kwa Kukufunga Goli Moja, Wewe Sare yako ya Dar imekuvusha Makundi CAFCL?

    Kikubwa kinachotakiwa katika Mechi za Kufuzu kutinga Makundi ya CAFCL siyo idadi ya Magoli au Umechezaji bali ni Mikakati na Mipango ya Kukupeleka huko hivyo hata kama Umefuzu kwa Goli Moja tu au Umecheza vibaya wala haijalishi ila muhimu ni Kutinga Makundi huku ukiwaacha Wengine waje...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ewe mwana Yanga SC mtaje JF Member mwana Simba SC uliyempania kumnanga mno leo Yanga SC ikifuzu Makundi

    Mimi hakyanani nimempania sana huyu Member aitwae SAGAI GALGANO, kwani anatuchukia mno sisi wana Yanga SC, na kila siku ni lazima tu aanzishe nyuzi za kuisema tu vibaya Yanga SC yetu.
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Japo Yanga siwapendi kuliko timu zote duniani lakini ninapenda Tanzania na sisi tuingize timu mbili makundi CAFCL

    Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa. Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
  20. M

    JamiiForums Tanzania 15/10/2022 wanatolewa CAF na kupata jeraha, 16/10/2022 wivu utawaua Simba huyo makundi, 23/10/2022 tunatonesha jeraha!

    Habari ndiyo hiyo! Wazee wa nusu pointi huko CAF kesho kutwa kinanuka! Poleni maana Jumapili ya tarehe 23/10/2022 hakuna jinsi, inabidi tutoneshe tu hicho kidonda toka Sudan!!
Back
Top Bottom