makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makubwa yamkuta Miss Tanzania

    Ni yule mwenye kijungu matata. Yaelezwa kuwa hajatulia. Inasemekana amekuwa anajivunia uzuri wake. Makubwa sana yamemkuta Jionee mwenyewe
  2. B

    JamiiForums Tanzania Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

    Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa. Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa. Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

    Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Trust me, Kama Watanzania wote tungefanya hivi tungekuwa na maendeleo makubwa na matajiri sana

    Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua . Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Makampuni makubwa yaanza kuukimbia mji wa San Fransisco

    Mji wa SanFransisco kule marekani umekumbwa na tatizo la ukosefu mkubwa wa usalama kiasi cha kuyalazimu baadhi ya makampuni makubwa kufunga office zao zilizoko huko Ukosefu wa usalama kwa kiasi kikubwa umesababishwa na ongezeko kubwa la watu wasio na makazi(homeless) hali iliyochangiwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza. Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza? Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
  7. JamiiForums Tanzania Tafadhali hiki 'Kirusi' naomba kidhibitiwe upesi kwani '(ikizoeleka' huko mbeleni kitakuja kuwa na Madhara makubwa na Kitatugharimu

    Hujawa Rais ili uje Uwainue Wanawake Wenzako kwa Gharama za ama Kuwadharau au Kuwadidimiza au Kuwakomoa Wanaume bali umekuwa Rais wa Watanzania Wote tu Waume kwa Wake ( Jinsia Mbili zenye Kutengeneza Muunganiko wa Kimaendeleo ) kwa Ustawi wa Mama Tanzania na Kizazi chake. Nanyi Viongozi wa Kike...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli na legacy yake

    Kesho ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka 1 toka Raisi wa 5 wa Tanzania John Pombe Magufuli alipo fariki dunia, Magufuli alikuwa ni M-Socialist wa mlengo mkali wa Shoto na mwanamagauzi mkubwa wa uchumi. Ni yeye Magufuli ambaye ameacha legacy kubwa sana Tanzania ya vitu ambavyo ni alama ya uongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia ina majaribu makubwa, ninayopitia sasa ni mateso makali

    Habarini wana jukwaa,poleni na majukumu yenu ya kila siku katika kujiongezea mkate ,awali ya yote niwatake radhi kwa maana nakiri wazi mimi si muandishi mzuri ila nimeona vyema tu niwape kisa changu kizito juu ya niliyoyapitia, ieleweke kwamba wapo watu humu kupitia maelezo yangu watanifahamu...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makampuni Makubwa ya Gas na Madini hayapo soko la Hisa DSE tofauti na Ulaya

    Kwanini Makampuni Makubwa yaliyowekeza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Urusi, Ulaya, USA na China yameorodheshwa kwenye stock market za nchi husika Ila Tanzania Makampuni Makubwa ya Gesi na Madini hayapo, Tena mengine yanafanya kazi hapa lakini yapo kwenye masoko ya Hisa ya Ulaya. Au mi...
  11. JamiiForums Tanzania Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

    Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010? Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema. Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa. Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
  12. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

    Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano. Kwa muda wa Saa 1 Usiku...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  14. JamiiForums Tanzania Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

    Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu. Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya watumishi wa Mungu wenye majina makubwa na wanaoonekana kwenye TV, hakuna hata mmoja aliyetabiri kinagaubaga vita ya Ukraine.

    Sasa nimeamini kuwa kadri elimu inavyoongezeka basi ujinga inapungua na nafasi yake kushikwa na upumbavu. Kwenye haya makanisa ya kitapeli kuna wasomi wa level zote lakini huwaambii kitu kuhusu kiongozi wao. Kabla ya vita ya UKRAINE sijasikia mtu wa Mungu yeyote aliyetabiri kwa uwazi mahali...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Utatuzi bei ya mafuta: Serikali punguzeni matumizi ya V8. Mna matumizi makubwa sana, Afrika mpo nafasi ya pili

    Wanabodi, Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto, Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna, Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Msaada was frec za itv haya mafidh makubwa

    Wakuu Mimi fundi madish sasa apa kwa jirani ana dish lake haya ya zamani madish makubwa nlikuwa naomba msaada.kwa anayefahamu frec za itv maana naangaika signal. Sipati kuna watu wameniambia wamebadilisha frec
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa wa Dodoma

    DITOPILE :RAIS SAMIA AMEFANYA MAKUBWA MKOA WA DODOMA MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa huo ambapo Vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kwa asilimia 20 ndani ya mwaka mmoja...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja Na Samia: Kufunguliwa kwa Magazeti Makubwa manne

    "Siku chache zilizopita, niliona Mhe. Nape anatoa leseni kwa magazeti manne, magazeti ambayo yalifungiwa kifungo ambacho hakijulikana kingeisha lini. Ndani ya siku 365, tuna kumbukumbu ya kufunguliwa kwa magazeti manne." - Nevile Meena #MamaYukoKazini #MwakaMmojaNaSamia
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwenda: Waandishi andikeni makubwa yaliyofanywa na wanawake nchini

    Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaomba Waandishi wa historia kuendelea kuenzi na kuthamini mchango uliotolewa na wanawake kabla na baada ya Tanzania kupata uhuru. Mhe. Mwenda ametoa ombi hilo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati akihutubia maelfu ya wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…