Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana.
Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya TCRA lakini mwishoni mtu unaona ni kama upuuzi wa aina fulani vile. Haijulikani makosa yameanzia kwa...
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Ni lile kundi la watu ambao tulisoma nao shuleni na vyuoni, walikuwa serious sana na elimu na waliweza kuwa na matokeo mazuri sana, wengi walisifika kwa kuitwa majina maarufu kama vipanga.
Katika fikra za wengi hawa walikuwa wanaonekana tayari wana future nzuri maana wakimaliza tu elimu zao...
Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
Adamoo na wenzake ni makomandoo waliohitimu. Kwa taarifa zilizopo mafunzo ya ukomandoo siyo mchezo.
Ilikuwaje wakanyong'onyezwa na mateso ya polisi yakiwemo kunyimwa chakula, kufungwa kitambaa machoni na kutishwa na bastola iliyoko kiunoni mwa polisi mpaka wakasema wasiyopaswa kusema.
Kama...
Habari za muda huu JamiiForums.
Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi.
1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime).
2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
Wanabodi,
Naomba nianze na facts:
1. Japo Tanzania, tangu tupate uhuru, tuna miradi mingi mikubwa ya uwezekazi iliyoanzishwa, na kuna makampuni mengi yamewekeza Tanzania, hakuna uwekezaji wowote mkubwa, zaidi ya uwekezaji wa kampuni ya mafuta ya TotalEnergies, kupitia mradi wake wa bomba la...
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza...
ajira
ccm
hana
hii
kauli
kudharau
makosa
makubwa
mkenda
msimamo
ndani
pabaya
prof. mkenda
profesa
rais
rais samia suluhu
uzalendo
viwanda
waziri wa kilimo
Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
Wanaharakati wanaopinga mapinduzi nchini Sudan wameitisha maandamano makubwa leo Jumapili, wakati maafisa wa afya wakisema idadi ya watu waliouwawa imefikia 40.
Marekani na Umoja wa Afrika zimelaani ukandamizaji dhidi ya waandamanaji na kuwataka viongozi wa Sudan kujizuia na matumizi ya nguvu...
Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania:
Na. M. Majaliwa, Esq.
Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na Amani ambazo kimsingi zimetajwa kama sehemu ya misingi ya katiba yetu, rejea sehemu ya Utangulizi ya...
Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania:
Na. M. Majaliwa, Esq.
Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na Amani ambazo kimsingi zimetajwa kama sehemu ya misingi ya katiba yetu, rejea sehemu ya Utangulizi ya...
Katika zunguuka yangu vijiweni Dar es salaam, Wananchi wanahasira kali sana juu ya ukosefu wa maji Jijini.
Wananchi wanasema Maji wakati mwingine yanakosekana kwa wiki nzima.
Kinachowakera zaidi ni kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa sana kununua maji na hivyo kufanya maisha yao kuwa magumu...
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.
Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.
Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua...
Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando,
Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna.
NB: Ndio utaelewa kwa...
Madhara ya ushabiki wa mpira unaoendelea kutamalaki Tanzania ni makubwa sana kuliko ulevi mwingine katika jamii(NAONGELEA “USHABIKI” SIO MAPENZI YA MICHEZO YA KAWAIDA)
Umesababisha uvivu uliokithiri hasa mikoa ya pwani na baadhi ya miji ya mikoani
Umesababisha wanafunzi, watoto wadogo kuanzia...
Kuna Mzazi (Masikini au Mnyonge) Mwenzangu Chumba cha Pili tu nimetoka kumuamlia asimchape mwanae kwakuwa hajui Kiingereza huku akimwambia kuwa ni bora Afeli masomo yote ila siyo Kiingereza ambacho kwake ndiyo Ishara Kuu ya Mtu Msomi.
Cha kushangaza sasa huyu huyu Mwanae asiyejua vyema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.