makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama tunataka matokeo makubwa TAZARA tupafumue pale kiutendaji

    Ukifika Ofisi za Tazara unaweza kukuta nusu ya wafanyakaza hawapo kazini hata wiki nzima na kwao hiyo ni normal kabisa. Mkurugenzi akitoka tu na wao hupanga lini niende ofisini lini nisiende nitoke saa ngapi, kama kweli tunataka matokeo yenye tija na hizi reli tulizozijenga kwa hela nyingi za...
  2. JamiiForums Tanzania Mwambieni asithubutu kukata Rufaa au kuitisha Press Conference ya kufanya 'Counter' kwani yatamkuta Makubwa zaidi

    Miezi 24 siyo mingi sana kama ukiwa Unakunywa sana Bia au Unavuta Bangi au Unabwia mno Ugolo wa Mwarabu Buguruni Malapa na Ilala Bungoni au pale katika Balcony Ghorofani Masaki jirani na Slip Way.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa manne ya kutafakari baada ya uteuzi wa leo 20/7/022 wa Camillus Wambura, Sirro na Kingai

    Kufuatia uteuzi wa leo binafsi nimeona kuna mambo Makuu manne ya kutafakari kwa kina na kuanza kufuatilia kwa kina sababu kulikuwa na sintofahamu kuhusu mambo haya . Sitatoa Maelezo ila kila Great Thinker atatumia akili yake kuona kama kuna ukweli au la Maana watu hawa walihulisika moja kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Vitu vidogo vinaweza maanisha mambo makubwa kwa wengine

    Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake. Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru. Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoleta wenzenu tukiwa out mjitathmini! ukaribu mnaotujengea nao hutupa majaribu makubwa ya kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi

    Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali, Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe.. Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k Hivi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tusitarajie makubwa toka kwa wachezaji wapya, huwezi kutenganisha mpira na ushirikina, wachezaji watapigana misumari

    Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asifu utendaji wenye mafanikio makubwa wilayani Iramba - Singida

    📸WAZIRI MKUU ASIFU UTENDAJI WENYE MAFANIKIO MAKUBWA WILAYANI IRAMBA- SINGIDA. Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema anaridhishwa na kazi kubwa yenye mafanikio kwenye miradi na shughuli za maendeleo Wilayani Iramba Mkoani Singida. Waziri Mkuu ameyasema hayo Jana Jumamosi Julai...
  8. JamiiForums Tanzania Kumruhusu binti akajitafutie maisha ni kumfanya awe Malaya

    KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA! Anaandika, Robert Heriel. Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Makubwa! Kanisa lawapima ubikira wanawake, lawapa vyeti

    Kanisa moja la Afrika Kusini linafanya vipimo vya ubikira kwa waumini wa kike wa kanisa hilo wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Inaripotiwa kwamba Kanisa la Nazareth Baptist mjini Durban, Afrika Kusini lilianza mazoezi hayo ili kuwahimiza wanawake wachanga kanisani kutunza ubikira wao...
  10. JamiiForums Tanzania Unaweza kuita bajeti ya 2022/2023 ni bajeti ya wananchi kutokana na mambo sita makubwa yaliyozingatiwa

    Tuseme tu ukweli mama ameupiga mwingi kwenye swala la bajeti. Kwa ushauri zaidi. PM au Email: menejawamakampuni@gmail.com Let be smart in seriously issues.
  11. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

    Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha. Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
  12. JamiiForums Tanzania 2022: Naliona Jeshi la Polisi Tanzania likifanyiwa marekebisho makubwa

    Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata kidogo! jamii ambayo inaweza kukimbilia polisi ni wezi wanapokuwa wamebananishwa kipigo kikaanza...
  13. JamiiForums Tanzania Kusudi la Mungu linaweza kusababisha matatizo makubwa kwa wengine wakauawa au wakapoteza vitu vya thamani

    “Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV. Jaribio la...
  14. JamiiForums Tanzania Kombora la Urusi latua sehemu ya maduka makubwa Ukraine

    Kombora la Urusi limelipua sehemu yenye maduka makubwa katika Mji wa Kremenchuk Nchini Ukraine na kusababisha vifo vya tu kadhaa na uharibifu wa majengo. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema kulikuwa na watu 1,000 kabla ya taarifa za kombora hilo, wengi walitoka lakini baadhi...
  15. JamiiForums Tanzania Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

    Haka kainchi kamekua kero, kameua Warusi hadi basi na bado hakakua kameanzisha shughuli ya haya makombora, sasa kameanza kuyarusha na kufanya maangamizi makubwa kwa wavamizi na wadhulumaji wa kutokea Urusi....takbirrrr!!!! ========================= Ukrainian forces fired three large tactical...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni ujinga. Kuvaa mipira hii ya makalio kuna madhara makubwa sana. Hizo kitu zinataka hewa

    Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana. Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za...
  17. JamiiForums Tanzania Maafisa wa Luhansk wamesema kuwa vikosi vya Urusi vimeingia katika eneo la viwanda la Sievierodonetsk baada ya kuanzisha mashambulizi makubwa

    Akizungumza Jumanne, Meya wa Mji wa Luhansk, Serhiy Haidai amesema mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki wakati ambapo vikosi vya Urusi vinajipanga upya baada ya kuongeza shinikizo na kusonga mbele kwenye miji miwili. Haidai amesema kiwanda cha kemikali cha Azot ndiyo pekee katika eneo...
  18. JamiiForums Tanzania Sio Uchawi, hii ndio mbinu wanayotumia wakinga kuteka biashara kwa spidi kali na mfanikio makubwa, mbinu rahisi ambayo kabila lolote linaweza kutumia

    Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Ngorongoro; Dola fanyeni jambo msichelewe kabla ya maafa makubwa!

    Wakuu, Najua mpo na milango yote ya fahamu inafanya KAZI! Mimi ninawaamini nyie Ndio Taasisi pekee kimbilio isiyotiliwa shaka!nyie Ndio tumaini pekee lililobaki hapa nchini! Ujumbe wangu ni kwenu nyie na wala sio KWA CCM wala Rais aliepo madarakani kwasababu nimepoteza imani nao kabisa ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…