makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba azungumzia suala la kuupiga mwingi amtaja Bashiru

    Kweli kila masika na mbu wake. Leo hii Bashiru amekuwa ni mtu wa kuumbuliwa hadaharani kiasi hiki? Sasa ndiyo ataijua CCM kuwa ina wenyewe. Msikilize Makamba akimuumbua Bashiru.
  2. J

    JamiiForums Tanzania KISONGO: Maelfu wakanyagana wakitaka kumwona Rais Samia Suluhu yeye awaombea kwa Mungu na kuwaahidi makubwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.
  3. JamiiForums Tanzania Makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

    Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa. 1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu makosa makubwa matano ya mwanzo ya kisiasa ya Rais Samia ambayo yanamgharimu sasa

    Kwenye siasa kila maamuzi yanazaa matokeo na matokeo yanaweza kuwa chanya au hasi. Hapa chini nitaweka baadhi ya matukio ya kimaamuzi yaliyofanyika kimakosa na Rais Samia mwanzoni mwa utawala wake na yanamgharimu vibaya kwa sasa. 1. Kurithi baraza la mawaziri la Magufuli. Mbali na kuwa lilikuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa Maandamano makubwa kulaani Serikali kushindwa kuleta maji ya uhakika kwa miaka 60

    Hivi hii serikali ya CCM iko madarakani kwa Uhalali upi? Miaka 60 ya Uhuru imepiga marktime na kufanya mambo mengi yasiyo ya maana na kuacha mengi ya maana. 1. Hivi Wakati Serikali ya CCM inavumilia ufisadi wa EPA , Rada Meremeta, Kagoda, Richmondi Ndege ya Rais, hizo pesa zisingeweza kusaidia...
  6. JamiiForums Tanzania Mataifa makubwa yasitupotezee wakati, tuangalie ya kwetu

    Ukisikiliza mikwara baina ya Marekani na China kuhusiana na bahari ya Pacific na vita vya kibiashara utafikiri kesho tutaamka kombora limetua Washington au Peking. Halafu ukasikiliza mikwara ya Urusi na Marekani kuhusiana na vita vya Ukraine utafikiri kesho ndio mwisho wa amani na nyuklia...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu ni nini kufa kwa matamasha makubwa ya Wasanii kama Fiesta?

    Matamasha makubwa ya wasanii tuliyokuwa tunayaona miaka ya nyuma kama Fiesta na mengine ya Vituo vya Redio naona yanazidi kupoteza mvuto, shida nini wadau? Matamasha haya mengi imekuwa kiingilio ni bure, wakati miaka kumi iliyopita matamasha mengi miezi hii yalikuwa na viingilio tena vikubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa?

    Habarini, Naomba tujadili mada hii. Hivi ni kwanini ukiajiriwa huwezi kuwa na msukumo wa kuwa na maendelo makubwa. Hivi kusingekuwa na wafanyabiashara miji yetu ingeendelea kweli? Ukifika mahali popote penye wafanyabiashara unakuta maduka au makampuni yamejipanga panapendeza na kadri siku...
  10. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

    Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku CHADEMA watamkumbuka Rais Samia na kuelewa dhamira yake ya kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo na upendo

    Ndugu zangu naweza nisieleweke haya maneno kwa Sasa kutokana na muda kuwa haujafika, nimeona niyaseme haya ili ibaki katika kumbukumbu, CHADEMA lazima wafahamu kuwa katika mazingira na siaza za kiafrika Ni ngumu Sana kumpata Rais aina ya Rais Samia, viongozi aina yake hupatikana katika nchi...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

    Katika siku za hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia maduka makubwa kadhaa yakifungwa, huku la hivi punde zaidi katika orodha likiwa ni Game Stores, ambalo kufungwa kwake kutaathiri vibaya zaidi ya kazi 100 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Kuondoka kwa Game kunaikumbusha nchi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kuwa mnene au mwenye makalio makubwa isiwe kigezo cha mwanamke kuwa mchekeshaji (comedian)

    Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya makubwa. Kwa sasa wachekeshaji nao wanaingiza pesa nyingi kama wasanii wengine tofauti na zamani...
  14. JamiiForums Tanzania Idugunde nikihamia CHADEMA nitaleta mabadiliko makubwa sana. CHADEMA wapatapa ofisi mpya na utapeli utayeyuka

    Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja. Nitahakikisha poroja za Twita...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika: Katika marais waliotumikia taifa letu ni hayati JPM pekee aliyefanya makubwa kwa muda mfupi kuliko marais wote waliotutawala

    Pamoja na hayati Julius kutawala kwa miaka 23 huwezi kulinganisha makubwa aliyofanya na yeye na hayati Magufuli. Hayati Julius aliacha nchi imechakaa kwa kila namna, miundo mbinu hovyo, ajira hovyo na hata taifa halikuwa na pesa kabisa. Huyu Mwinyi ndio alizingua maana hakuna alichofanya cha...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwepo pia kwa Mkapa Day, ameifanyia hii nchi makubwa sana, isiwe mapumziko

    Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi Mtu aliyechukua maamuzi yaliyofufua uchumi wetu ni Mkapa, mkapa...
  17. JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, haya ndiyo mafanikio makubwa kabisa niliyoyapata mwaka huu

    Watu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika. Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako. Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto...
  18. JamiiForums Tanzania Mazao yanayolimwa katika jimbo la Alaska huwa ni makubwa sana

    Mwanga wa Jua unacheza katika nafasi kubwa sana katika ukuwaji mzima wote wa mimea kuanzia nyakati za mbegu, udogo wake na mpaka nyakati zile za ukomavu wake. Katika kuhakikisha ukuwaji wa mmea ni lazima mchakato wa kisayansi unaoitwa " Photosynthesi " ufanyike ambapo ni kitendo cha mmea...
  19. JamiiForums Tanzania Kocha Ibenge: Kutoka sare na Yanga ni majuto makubwa

    "Tulikuwa na nafasi nyingi za kufunga, kutoka sare ni majuto makubwa kwangu," Kocha Ibenge. Nilichochukua: Yanga imetutia aibu, "Iwe jua iwe mvua" halafu mnaokolewa na kipa? "Katika uwanja wao wa nyumbani Al-Hilali anamuuliza Fiston Mayele mbona hujatetema leo?"
  20. JamiiForums Tanzania Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

    Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…