makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Shangwe la makonda mji WA rindima

    Kwa hakika watu wametapakaa kwenye shopping kubwa zote za mjini Kwa maeneo niliyotembea mpaka SASA nipo mlimani city hakuna parking kila eneo limejaa gari ndani watu ni kibao, nimetembea kariakooo hakuna sehemu ya kuweka mguu, vilevile maduka kama vunja bei yamejaa kwelikweli hakuna sehemu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Makonda atoa siku 10 kwa Wilaya ya Kigamboni kuhakikisha hospitali inaanza kufanya kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo June Mosi baada ya Majengo yote ya Hospital hiyo kukamilika. RC Makonda ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara ya kukagua...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda kabla ya kuudanganya umma kuhusu punguzo la bei ya nguo, tueleze kuhusu punguzo la kodi za nyumba kama ulivyoagiza

    Ikiwa kama watanzania wanaweza kudanganywa na mtu mmoja kama mazombie na bado wakakaa kimya , basi hii itakuwa bahati mbaya sana . Paulo Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa amri kwa wenye nyumba kuwapunguzia kodi wapangaji wao kutokana na ugumu wa maisha uliosababishwa na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tunamuhitaji Paul Makonda aje Jimbo la Nyamagana

    Tafadhali Mh Makonda kijana mchapakazi na hazina ya Tanzania, tunakukubali sana Wanamwanza njoo ugombee ubunge jimbo la Nyamagana wewe ni mtoto wa mwanza. Karibu sana kura zote ni NDIYO...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

    Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge. Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
  6. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19. Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià...
  7. JamiiForums Tanzania Pants Road Tabata Segerea na Kinyerezi Mh. Makonda amka

    Hawa watoto wamejaa mh mkuu wa mkoa weka vijana wako. Wanakata,wanapiga mapanga, wanapora, wanavunja, wanatwaa flat screen, Simu, yaan hawana huruma na korona hii wao kata funua. Jamani msaada wa patrol Error. Please correct Panya road
  8. JamiiForums Tanzania Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

    Mzee Mayalla, RSO, RPC, DSO na OCD wa Mwanza wote walistaafishwa kwa manufaa ya umma, walihamishwa usiku usiku na kurudishwa kijijini (detention fulani za Nyerere). Wakati yote haya yakifanyika, bwana Pascal Mayalla alikuwa mdogo sana, hakujua hili wala lile, hadi ilipoanza kuunguruma, Kesi ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda na Mambosasa, kwa hili la baadhi ya watu kutokuvaa barakoa DSM mnamuangusha Rais

    Wakuu amani iwe kwenu, Rais Magufuli mara nyingi amesisitiza watu kuvaa barakoa ili kujilinda na kulinda wenzao dhidi ya kuenea kwa ugonjwa hatari wa corona. Rais amesisitiza sana hili na nilitegemea viongozi wa chini akiwemo Mkuu wa Mkoa DSM, Wakuu wa wilaya zote, Kamanda wa kanda maluum ya...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

    Salamu kwenu. Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona. Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1. Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi RC Makonda ametekeleza ahadi yake ya kuwakamata wabunge wa Chadema, aliowaita wazururaji ambao aliwafananisha na changudoa?

    Jana mnamo majira ya saa 6 mchana, tulimsikia RC Makonda, akitoa amri kwa wabunge wa Chadema, ambao waliamua kutoendelea na vikao ya Bunge, kwa kile walichokiita kujiweka karantini kutokana na hofu ya ugonjwa wa COViD 19 Akawapa saa 24 wawe wamerejea kuendelea na vikao hivyo vya Bunge na kama...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize ni msanii aliyekosa ‘Focus’

    Harmonize Ni msanii mzuri aliyekosa focus ajui kipi Cha kusimamia na kipi cha kusimamia leo atakuja na hili kesho yake atakuja na lingine ataacha la mwanzo.Alivyotoka wasafi alianzisha bus la mgahawa wakutoa chakula bure lakini imeishia njiani sasa sijajua alikuwa ana Nia ya dhati au alikuwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Makonda huenda ikaibua mgogoro mkubwa wa Kikatiba

    Nipo mahali nimejichimbia nasikia zakunyapia nyapia kauli aliyo itowa mh Makonda ikiwa itatekelezwa itaibua mgogoro mkubwa wakikakatiba jambo litaisumbuwa serikal na hasa ukizingatia mh Makonda yeye sii sehem ya bunge wala sio msemaji wa Bunge. Pili mwenye Mamlaka na wabunge sio Serikal kuu...
  14. JamiiForums Tanzania RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku. RC Makonda amesema kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  16. JamiiForums Tanzania RC Makonda atangaza vita na wanaopandisha bei ya sukari, msako mkali kuanza kesho

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametangaza vita na Wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ghali tofauti na bei elekezi ya Serikali ambapo amesema ifikapo Kesho kikosi kazi kitafanya ukaguzi na watakaobainika kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu Watakamatwa na Sukari kutaifishwa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Best speech ya Makonda, tumekaribia nchi ya ahadi, hii video inanipa moyo sana

    The best speech ever kutoka kwa mkuu wa mkoa bora kabisa tangu hii nchi ipate uhuru,tumekaribia kufika nchi ya ahadi TUPO PAZURI MNOO,NARUDIA TUPO PAZURI MNOOO Watakuja hapa vibaraka wa mabeberu kupinga lakini nakuhakikishia KISHINDO CHA AWAMU YA TANO kimegonga kote duniani na heshima ya nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Mabohora Tanzania wamkabidhi RC Makonda vifaa vya kujikinga na Corona

    Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo. Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

    Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.
  20. JamiiForums Tanzania Kama mwandishi wa habari Talib Ussi amesimamishwa kazi kwa kutoa ripoti ya corona, ni kwanini Makonda anaendelea na kazi kwa kufanya kosa hilo hilo?

    Tulielezwa kuwa wenye mamlaka ya kutangaza wagonjwa wa corona nchini ni watu watatu, ambao ni waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri mkuu Kassim Majaliwa na Rais mwenyewe, John Magufuli Upande wa Zanzibar, anayeruhusiwa kutoa ripoti yoyote ya wagonjwa wa corona, ni waziri wa afya wa huko, Hamad...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…