Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.
Nadhani wafuasi wa chadema huwa Wana high expectations za kisiasa ambazo hazipo nchini.
wanajidanganya na kuamini. Nenda hapo Rwanda hakunaga siasa taka kama za chadema.
Leo mmekesha mnaandika nyuzi 🤣🤣
Nendeni mkafanyie mikutano kwa mabeberu ili mkasalimie na wake na watoto wenu
Poleni sana...
Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri
Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu,
Take care kiapo chake ni either ufe au afe.
Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba...
Sikatai na wala sipingi kuwa CCM ipo madarakani sababu ya kuwa vyombo vya dola vimeikumbatia.
Lakini nguvu ya umma ni zaidi ya bunduki na vifaru.
Heche na Lissu wamekiheshumisha chama chao. Kwanza kwa kuwa na msimamo wa kutonunulika.
Sasa kwa Chama ambacho kina viongozi kama Kihongosi na Ally...
Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime
Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara.
Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
Anonymous
Thread
afya
binafsi
makini
mamlaka
mara
mjini
mkoa
mkoa wa mara
mwenendo
sauti
tarime
tarime mjini
usimamizi
vituo
vituo vya afya
wadau
wamiliki
wilaya
Kinachofanya Chadema kukubalika na watu wengi kwa sass ni kwa sababu Watanganyika wanahitaji ukombozi dhidi ya watawala dhalimu wa CCM
Wasaliti ambao waliendekeza njaa na uroho wa madaraka wakaenda kuungana na madhalimu alafu baada ya kuona hawapati faida wameanza kurudi Chadema kwa kasi kama...
Katika ulimwengu wa ukaguzi wa hesabu forensic auditing na intelijensia ya jinai (criminal intelligence) miradi mikubwa inayohusisha wageni mashuhuri kama Wasanii na wanamichezo, matukio ya kimataifa au kampeni kubwa za kuitangaza nchi inaweza kutumika kama kichaka au mbinu ya kutakatisha fedha...
Hapa google wame suggest maoni binafsi ya bwashehe, pia wame suggest kichwa cha habari cha mada niliyoiandika professa
Fikiria kwamba ukiandika ujinga humu Jukwaani, je baadae mtoto akienda google ku search au mtu mzima anaeamini google kwa 100% akienda akakutana na ujinga fulani ulioandika...
Hivi karibuni kumeibuka wimbi jipya la kitapeli ambalo limeacha mamia ya Watanzania wakilia na kusaga meno. Ukiwa unaperuzi Facebook, unakutana na tangazo lenye mvuto wa kipekee: Ukurasa wa "Dar Expart Sales" au "Arusha Expart Sales" unatangaza kuuza bidhaa za ndani kwa bei ya "vunja bei."...
Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share
Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
Niaje waungwana
Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea.
Njia ya kwanza ni Russia.
Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha lengo wala nia ya kutaka vita hiyo isimame.
Vita hiyo iliyoanzishwa na Russia yenyewe ikiongozwa na...
Wanawake wengi hasa kuanzia miaka 25 ambao tayari wana watoto au ndoa huwa na matatizo mengi kama madeni, mambo ya kuhisi wamerogwa, kuhisi wametengwa, kuhisi mme wake anachepuka, watoto, n.k.
Na hiki ndicho kilichonibadilisha taswira yangu ya kuona wanawake wanavyopenda kwenda makanisani, huwa...
Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila ametoa kauli hiyo baada ya hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi kusema uchunguzi uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama umebaini kuwa taharuki iliyozuka nchini ya watu kuibiwa sehemu zao za siri ni uzushi wenye nia ya kuvunja amani ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.