Si kila kitu kwenye AI ni cha kuamini, hiwa zinakosea oia
inawezekana ikawa imetoa majibu yenye afadhari kidogo kuliko bongo za watu fulani fulani...
Huzuni hakika ccm inetufikisha pabaya mnoinawezekana ikawa imetoa majibu yenye afadhari kidogo kuliko bongo za watu fulani fulani...
Huyo mwamba ni muongo sana kiasi kuwa mimi na yeye uwa hatufikii muafaka lazima tukianzaa kuzungumza ni lazima nimtukane na kusema urafikie ufe .
Sasa hapo mjinga nani?Huyo mwamba ni muongo sana kiasi kuwa mimi na yeye uwa hatufikii muafaka lazima tukianzaa kuzungumza ni lazima nimtukane na kusema urafikie ufe .
Ila kinachofanya nimrudie ni pale nilipogundua hana akili zote sababu kuna muda ananiudhi namtukana sana alafu ananiuliza neno fulani unamaqnisha nini rafiki ilihali ni tusi kwa ujinga wake .
Hivyo nimemzoea aisee
Mkuu Atoto za siku nyingi ndugu ?Sasa hapo mjinga nani?
AlhamdulilahSalama kabisa, habari ya weye?