Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa
Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea...
Sina mengi kama heading inavyosomeka umoja wa makanisa Tanzania CCT utoke hadharani na tamko lake ili tujuwe msimamo wa kanisa ni nini juu ya haya yanayoendelea.
Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji
Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi
Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa
Alex Malasusa naye tumemshuhudia...
Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo.
Kweli kua uyaone
Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.
Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60...
Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa!
Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini...
EATV
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Tea Ntala ameibua hoja bungeni akitaka Serikali ichukue hatua kali dhidi ya baadhi ya madhehebu ya kidini anayodai yanatoa mafundisho potofu, hasa kwa watoto.
Dk Tea ametoa hoja hiyo leo bungeni jijini Dodoma wakati wa mjadala wa...
habari wadau.
naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya Mungu usipotoa ujue unamuibia mungu.
ila sheria zingine za agano la kale wachungaji na makanisa...
Kutii Mamlaka za dunia ni Baraka.
Warumi 13:1-14, iwaongoze,
13:1 Tit 3:1; 1Pet 2:13, 14; Dan 2:21; 4:17; Yn 19:11Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu. 13:2 Kut 16:8; Tit 3:1Kwa hiyo...
Wakuu natumaini mu wazima.
Padree kapigwa na haihitaji kuwa na D2 ndio ung'amue bali inahitaji tu kuamka na kuambiwa na kuona na kusikia. Padree alikemea mambo ya kusingiziana na kunyimana haki na mambo ya chafuzi za fisiemu.
Watu wale wachafuzi wa chaguzi zetu nchini hawapo tayari kufuata...
Katika baadhi ya mataifa, makanisa, misikiti, na nyumba nyingine za ibada zilichukua nafasi muhimu katika kupigania uhuru na haki, kwa kutoa uongozi na kuhamasisha umoja wa kitaifa, na kusimama dhidi ya dhuluma zinazofanywa na watawala mbalimbali.
Hapa chini ni muktasari wa nchi saba ambazo...
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.
Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.
Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .
Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini...
Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi huo.
Mchungaji Mwasota amewataka waumini wa madhehebu yote nchini kuiombea nchi ya Tanzania, viongozi...
Tuache unafiki wa kiafrika pembeni,
Je, Waafrika bado wanahitaji wasaidiwe au wajengewe misikiti na makanisa na siyo viwanda,mashule na mahospitali kwa wakati huu?
Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi.
Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
Naipongeza Serikali ya Rwanda kuona mbali na kuweka utaratibu mzuri wa makanisa, Misikiti na taasisi za dini
Rwanda imefungia zaidi ya makanisa 600,
Kabla walipiga marufuku matumizi ya azana Kwa Misikiti kuwa unaleta usumbufu Kwa wasio kuwa wa Imani hiyo na kuweka ustaarabu wa kuitana Kwa...
kama binadamu wote wametokea Africa (Genetic Fact), Adam na Hawa wamekuaje wazungu?
https://www.instagram.com/reel/DOx5fvOkcVk/?igsh=MW43dWt5eWp5eWNvbA==
==========================
Ukweli kwa sasa umejulikana, Yesu alikuwa mweusi, look up juu ya hili kwa mtu yeyote au chanzo chochote...
Habari za muda huu wakuu,
Mimi dhehebu langu ni Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kumekua na utaratibu wetu wa kufuata taratibu na kalenda ya kanisa inavyotaka, ni kitu kizuri sana, lakini naona kuna haja ya kuendana na mabadilko ya technology ilikua kuokoa muda
Mfano
1)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.