makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mamamzungu

    JamiiForums Tanzania Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania KERO NEMC Imeshindwa Kudhibiti Kelele za Makanisa na Misikiti

    Ni wazi kuwa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kulinda mazingira na ustawi wa wananchi. Moja ya mifano ya wazi ni kushindwa kabisa kudhibiti kelele zisizokuwa na ulazima zinazotoka kwenye makanisa na misikiti, hasa katika...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wenye Makanisa kama Mwamposa muwe macho na sadaka zenu

    KIJANA ANASWA AKIBA SADAKA KANISANI KWA KUTUMIA GUNDI KWENYE KIJITI JIJINI NAIROBI Mtaa wa Githurai 45 ulijaa kicheko na mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Kevo’ kunaswa akitekeleza wizi wa aina yake ndani ya kanisa la mtaa huo. Kevo, ambaye mara nyingi huonekana akiwa wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Makanisa yabadilishwa matumizi baada ya kukosa waumini

    Nchini Ujerumani, idadi ya Wakristo inaendelea kupungua kwa kiwango kikubwa, hali inayosababisha makanisa mengi kubaki bila kutumiwa. Hivi karibuni, Kanisa la Mtakatifu Anna (St. Anna) lilijaa waumini kwa mara ya mwisho kabisa. Kwaya iliimba huku kinanda kidogo kikitoa hamasa wakati wa uimbaji...
  5. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Rwanda: Kagame ayafungia maelfu ya makanisa ya Kiinjili

    Serikali ya Rwanda imechukua hatua ya kufunga maelfu ya makanisa ya kiinjili nchini humo, kufuatia ongezeko lake la kasi ambalo limeibua wasiwasi miongoni mwa mamlaka za serikali. Mamlaka zimeyakosoa makanisa hayo kwa kuyataja kuwa yamepoteza mwelekeo wake wa msingi, yakidaiwa kugeuka kuwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tukimalizana na Wasanii, wanaofuata ni Wachungaji na Makanisa yao ya kitapeli

    Kama tumeamua kuisafisha nchi hawa watu ni hatari zaidi ya wasanii. Wasanii wao wanatafuta pesa kwa njia yeyote hata kwa kuungana na wauaji they don't care kulingana na shule zao za hapa na pale. Wachungaji wao (sio wote) wengi wamesoma ili watapeli watu, mbali ya kutafuta pesa kwa ushirikina...
  7. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi leo, hususani yanayojiita ya Kiroho yamekosa maana: Useless church

    Kanisa la leo limekosa maana, linajificha nyuma ya Mungu na kuomba badala ya kuuathiri ulimwengu kwa sheria na kanuni za Mungu. Kwa nini kanisa limekosa maana? Kulingana na uzoefu binafsi, kupitia hotuba mbalimbali za watumishi wa Mungu akiwepo Hayati Dr. Myles Munroe, Kanisa kukosa maana...
  8. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Fungueni makanisa Maandamano yapo palepale. Bado siku 16 sunami ya D9

    Mshajua mmeyakanyaga mwajikosha! Hehee! Sasa zile maiti mtazirudisha lini? Polepole na yule mudude mtamludisha lini?. Nye Nye wabaya sana. Walahi mtalipia. Mwafikiri siye manyumbu wenyu. Na bado! Mwataka kunywa damu zetu. Na bado. Nye mwajua kuzaa siye wetu mwaua. Wetu nzi wenyu watoto wa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wameanza kutembelea hadi makanisa kuwataka wananchi kutunza AmanI na Utulivu Nchini

    Wameona haitoshi kuzungumza huko mtaa wameamua waamie hadi makanisani kupelekea ujumbe wao. ==================== Mkaguzi wa Polisi Daniel Nyolobi ambaye ni Mkaguzi Kata wa Kirua Wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro ametembelea makanisa na kuzungumza nafasi ya kila Mtu katika kutunza AMANI na...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Je Kuna kipindi ambacho WAKRISTO na makanisa wamepitia nyakati ngumu kama hivi Sasa?

    Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi... Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la kufungiwa kwa makanisa na majukwaa pamoja na kuteka ni jaribio la kutaka kuiteka nchi

    Hivi vitu vyote utekaji, mauwaji, ubambikiwaji wa kesi, uhalifu kwa viongozi wa dini na kufungiwa kwa JamiiForums ni jaribio la kutaka kutoa vitisho ili waiteke nchi kila mtu hawaogope. Sasa kuna wahaini wanajaribu kujimilikisha hii nchi wanajaribu kupata control ya kila kitu, nchi bado haija...
  12. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

    Assalam alaikum Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa. Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Gwajima aliahidi makanisa yake kupiga kura

  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe kafunga Kwa kuvunja Sheria

    Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Dkt. Godwin Mollel ambaye ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya anayemaliza muda wake ameandika ujumbe huu kuhusu Askofu Josephat Gwajima: Hakuna aliyefunga Makanisa ya Gwajima ni yeye Mwenyewe Gwajima kafunga Kwa kuvunja Sheria alizo ridhia yeye mwenyewe na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa makanisa na misikiti kulipa kodi ili wapate uchungu na kusimamia HAKI

    Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake. Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za EFD kwa kila pesa wanayopokea na kwa kila shughuli watakayoendesha. Haiingiit akilini eti...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  18. MulengaMulenga

    JamiiForums Tanzania Natafuta makanisa ya zamani katika jimbo la Arusha

    Je, kuna makanisa ya zamani au ya kihistoria katika jimbo la Arusha? Nilikuwa najiuliza kwanini katika majimbo mengi nchini Tanzania unakuta makanisa mengi ya zamani na mazuri ya Kanisa Katoliki, lakini katika jimbo la Arusha sijawahi kuona hata moja. Ninaposema makanisa ya zamani...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya Lecturers na Maprofesa wa vyuo vya makanisa ipoje kwa wastani ?

    Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio Vyuo vya makanisa ni kama Saut Tumaini Mwecau Teku CuoM Ruaha Jordan Askofu Mihayo Stella Maris
  20. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Hayo makanisa 2,000 na waumini milioni 4 wa Gwajima wako wapi?

    https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali. Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama...
Back
Top Bottom