makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapata wapi Mamlaka ya kukashifu Makanisa na kuyaita Makanisa ya Kishetani?

    Yeye Makanisa yanayomsifia ndio anayapenda na kuyasifia yanafanya kazi ya Mungu Makanisa yanayokemea Utekaji ,Upoteaji na Mauaji, anayaita Makanisa yanayofanya Kazi ya Shetani !!. Kwamba anataka kuwaambia Wakristo Tanzania Kua kanisa hili msali, like msisali??.
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Makanisa na misikiti inatosha , ikiwa kuna taasisi inahitaji kutoa Msaada wa kujenga Kanisa na Msikiti hiyo pesa wajenge visima vya maji

    Kwa Tanzania tuna misikiti Mingi na makanisa mengi Sana . Na ukiangalia idadi ya watu wanaosali bado ni Chache Sana . Ikiwa tutaangalia mahitaji hasa ya jamii tunaweza kubadilisha matumizi ya hizo pesa. Mfano wafadhili ambao hujitolea kujenga misikiti na makanisa , jaribuni kufikiri hilo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Samia anataka atuchagulie wakristo hadi makanisa ya kusali!?

    Hichi kitendo cha kuwa anaya ponda baadhi ya makanisa wazi wazi akiwa kwenye hayo matamasha yake ina maana gani wakuu!? Kwamba yeye ndio anajua kanisa lipi la kweli na lipi la uongo mpaka ayaponde wazi wazi vile!?
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

    Kabla ya kuandika uzi huu, naomba kutangaza maslahi kuwa mimi ni mmojawapo wa watu waliokuwa wakiliamini kanisa katoliki 100% hadi juzi nilipogundua kuwa hata kanisa katoliki nalo kumbe ni kanisa kanjanja kama yalivyo makanisa mengine ya ovyo hapa nchini Tanganyika. Katika pitapita zangu za...
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais Samia aache kufungia makanisa

  6. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kwasababu wanapenda kuonyesha kuwa wao ni wababe, sitashangaa kuona makanisa na misikita vinaanza kutozwa kodi

    Kwa akili zao za hawa watu, sitashangaa kuona mapato katika nyumba za ibada( Misikita na Makanisa) na shughuli zote zenye kuhusisha makanisa na misikita ambazo awali zilikuwa hazitozwi kodi, sasa zikaanza kutozwa kodi. Kama itabidi kubadili sheria, kanuni au mikataba, watafanya hivyo ili tu...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole ni kero, niliwahi kuacha kodi ya miezi minne kwasababu ya makelele, nilipoenda kulalamika niliitiwa polisi naleta vurugu

    Nipo tayari niishi karibu na makanisa ya waroma, wauteri, wasabato, n.k. lakini sio ya walokole. Nakumbuka dalali alinipeleka siku ambayo kumetulia sana, nilipaelewa mahali hapo nikalipia kodi miezi 6 na dalali nikampa hela yake, maisha yakaanza. Kanisa lilipofunguliwa hakuna rangi ambayo...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

    Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka? Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Taratibu za Uanzishwaji wa Makanisa Katika Maeneo ya Makazi

    Naomba msaada kujua mwongozo au kanuni rasmi zinazohusu uanzishaji wa makanisa katika maeneo ya makazi hapa Tanzania. Mimi ni Mkristo na ninaamini kwa dhati katika uhuru wa kuabudu. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo ibada na maombi kutoka baadhi ya makanisa yanapita kiwango na kuwa KARAHA, hasa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!

    TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza kesi au onyo, Lissu kafungwa kama hata kesi yake haijasikilizwa, mshahidi mpaka leo wa siri na hakuna...
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuna makanisa mengine atulali usiku kwa kuomba

    Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuteka, Kuua, Kubaka na Kulawiti Kibiblia ni Dhambi. Kama Makanisa yanafungiwa wa kukemea dhambi basi Ukristo Umeshambuliwa na upo hatarini Tanzania

    Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi. Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania. Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

    Nadhani huyu ni mtanzania kwa lafdhi yake. Msikilize.
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'

    "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao. Akina Bagonza sijui wanasema maneno...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kuna Makanisa na Makanisa Kuanzia Makanisa,Vikanisa,Kikanisa na Vijikanisa!, Je Makanisa Yote Yanaweza Kufungiwa?au Vikanisa, Vijikanisa na Kikanisa?

    Wanabodi, Moja ya faida za mitandao ni kuelimishana, hili ni bandiko la kutoa elimu kuwa japo kisheria makanisa yote yana hadhi sawa mbele ya sheria,lakini japo ni mchungu,lakini ndio ukweli wenyewe, kuwa makanisa hayafanani, Kuna Makanisa na Makanisa!,Makanisa makubwa, ,makanisa madogo, kuna...
  16. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Swali kwa msajili wa jumuiya za kiraia Je, muanzilishi wa kanisa akifariki kanisa litafutwa?

    Baba msajili wa makanisa hebu tueleweshe kuhusu hili. Endapo mwanzilishi wa kanisa amefariki je, kanisa litafutwa?
  17. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli makanisa na misikiti ni muhimu kwa WAAFRIKA kwanini serikali wafungiww?

    Habarini, Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga? Je serikali zinazofunga makanisa na miskiti viongozi wao hawajui kuwa dini ni za Mungu na ndizo zitawapeleka Waafrika mbinguni?
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha makanisa ,misikiti na NGOs utazamwe upya

    Kwa sasa imekuwa jambo rahisi sana katika kuanzisha hizi taasisi kupitia mifumo ya kieletroniki . Ni vyema Regulatory authorities kujitathmini na kufanya mapitio ya kina namna mtu au taasisi anavyoweza kuanzisha taasisi yake. Uwepo wa mifumo ya kieletroniki usitafsiriwe kuwa ni rahisi tu...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

    Bashungwa Bashungwa Bashungwa Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo. Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole. Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu...
Back
Top Bottom