makamu

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani yazuia mali za Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudani Taban Deng Ga

    Serikali ya Washington imeamua kumuadhibu Makamu wa Kwanza wa Rais, Taban Deng Gai. Marekani inaendelea kuiwekea shinikizo Juba wakati mchakato wa amani unaendelea kucheleweshwa. Serikali ya Umoja imepangwa kuundwa hadi mwezi Februari. Wizara ya Fedha imeamua kuzuia mali za Taban Deng Gai...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mdhamini: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Lissu amepona ila anaogopa kurudi nchini kwa kuhofia maisha yake

    Mahakama ya Kisutu imesisitiza kuwa inamtaka Mahakamani aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uchochezi. Hata hivyo, Lissu ameieleza Mahakama kupitia Mdhamini wake Ibrahim Ahmed kuwa anahitaji kurejea ila bado anahofia usalama wake, kesi imeahirishwa hadi...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mary Mubaiwa, mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ashtakiwa kwa kujaribu kumuua mumewe

    Mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ameshtakiwa na jaribio la kutaka kumuua mumewe. Mary Mubaiwa ambaye tayari anashutumiwa kwa madai ya ufisadi, aliwasilishwa mbele ya mahakama moja ya Harare siku ya Jumatatu . Amekana mashtaka yote. Waendesha mashtaka wanasema kwamba alijaribu kumuua...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

    Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lissu. Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa...
  5. DAT BOY SU

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe arejesha fomu ya kuwania uenyekiti akimtaka Tundu Lissu kuwania Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA. Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani hana madaraka wala majukumu yoyote kama aliyonayo yule wa CCM

    Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote. Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo. Chadema kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu achukua fomu kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa

    WanaJF Habari za hivi Punde ni kwamba Jabali la kisiasa Tanzania na Afrika Tundu Antipas Lissu amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa na tayari amekwisha jaza fomu na kuzirejesha. Akihutubia mkutano mkuu wa Kanda ya Kaskazini hivi Punde,Mwenyekiti wa chama Taifa Freeman...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mvutano kati ya Rais na Makamu wake wakwamisha shughuli za kiserikali

    Imeripotiwa kuwepo mvutano wa kimadaraka kati ya Rais Muhammadu Buhari na Makamu wa Rais, ambapo licha ya Rais kwenda Uingereza kwa ziara binafsi ya siku 15, hajakabidhi madaraka kwa msaidizi wake, hivyo kulazimu nyaraka zinazohitaji saini yake kupelekwa Uingereza. Chanzo: Swahili times
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenzangu hivi tunamuelewa vyema makamu mwenyekiti wetu kwa hizi kauli zake za kushangaza na kushtua?

    Anaseme kwamba.... " Pyramids FC ni timu ya kawaida sana, haina hadhi kwa Yanga SC wala uwezo wowote wa Kuifunga Yanga SC na ni moja ya Timu nyepesi kuliko Timu zote ambazo Yanga SC imewahi Kukutana nazo tokea ianzishwe ". Na sijui kwanini anapenda mno Kuirudia hii Kauli kila anapokuwa...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 58 wa AALCO

    Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kumuwakilisha Rais Magufuli kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 58 wa mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) utakao anza Jumatatu Oktoba 21 hadi 25 jijini Dar es Salaam.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza katika viwanda ni kumuenzi Baba wa taifa-Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
  12. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa. Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi...
Back
Top Bottom