makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania. Ametoweka kuogopa kutekwa Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
  2. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Uwezekano ni mkubwa hii nafasi ya Makamu wa Rais! Ikahusu hawa watu 3 pekee

    Kutokana na uchambuzi wangu,nafasi hii naona inaenda moja kwa moja kati ya watu hawa 3. 1.Prof.Kilila Mkumbo-70% 2.Prof.Palamgamba Kabudi-10% 3.Prof.Adolf Mkenda-20% Sababu. 1.Nafasi hiyo haihitaji mtu awe maarufu kuliko bosi wake, 2.Ni lazima awe Mkristo na mwenye busara-ukiangalia baraza...
  3. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania CV ya Makamu wa Rais. Vijana/Wasomi acheni kuchunguza chunguza mambo mpeni tu Ushirikiano.

  4. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Historia ya Makamu wa Rais wa Tanzania: Kuanzia Karume hadi Ndejembi

    Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu nafasi ya Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano. Mwaka 1995 mfumo huo ukabadilika...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kisheria na kikanuni, jina la makamu mpya wa Rais hupelekewa Spika atangaze Bungeni. Mbona Samia anajiamulia?

    Miaka yote tangu uhuru, tumeona Bunge likipokea jina la mteule wa nafasi ya Makamu wa Rais na kulipigia kura ya kumuunga mkono au kumkataa. Kumbukeni kwa uteuzi unaoenda Bungeni siyo wa Mgombea Mwenza, bali Makamu wa Rais kuziba nafasi ya aliyeondoka. KItendo cha Ndejembi kutangazwa kuwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Soma Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais 📍Bungeni-Dodoma 🗓️Agosti 27, 2026
  7. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Bunge halikushiriki uteuzi wa makamu wa rais?

    Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe? Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima? Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio? Labda mie na uelewa wangu Duni Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa...
  8. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

    Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame kwann afiche majina yake? Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa...
  9. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunge mkono Ndejembi kuwa makamu wa Rais

    Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanayo nafasi ya kihistoria kumuidhinisha Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitisha jina lake tarehe 26 Agosti...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Hongera kwa Deo. Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imependekeza na kupitisha jina la Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndejembi anapendekezwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu Kwa Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi

    https://youtu.be/gxG_4KDoO5M?si=d3MdRYaigZxG9xKH
  13. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Je inakupa tafsiri gani makamu wa rais wawili wanajiuzulu ndani ya miaka miwili ?!

    honest truth, no 1 ni .....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

    1. Julius Nyerere Abeid Karume Rashidi Kawawa Aboud Jumbe Ali Hassan Mwinyi 2. Ali Hassan Mwinyi Joseph Warioba John Malecela Cleopa Msuya 3. Benjamin Mkapa Omar Ali Juma Ali Mohamed Shein 4. Jakaya Kikwete Ali Mohamed Shein Mohamed Gharib Bilal 5. John Magufuli Samia Suluhu Hassan...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Prof Adolf Mkenda anafaa kuwa Makamu wa Rais (Msomi, Msikivu, Mkatoliki & Busara)

    PhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Daaa! Mbowe kuwa Makamu wa Rais, Boni Yai kuwa personal secretary wake, baada ya miaka mitano, mbowe atagombea uraisi ccm Boni Yai Waziri mkuu ccm.

    Note my word, uo ndo utakuwa upya WA ccm na MABADILIKO makubwa yatatokea. Utakuwa ndo mwanzo wa kifo wa CHAMA cha democracia na maendeleo CHADEMA maana kila jambo lao litafanyika. Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi na mambo mengine mengiiiiiii.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Dharula: Kabudi atateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Anamuweka 1. Mtu atayeweza kumcontrol 2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030 3. Mkristo hasa awe Mkatoliki 4. Mtanganyika 5. Mwanaume 6. Mkubwa kiumri kuliko yeye 7. Muongeaji sana (Propaganda)
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  19. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hawa hawawezi kushika madaraka ya Makamu wa Rais wa JMT kwa sbb zifuatazo

    Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe.. Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini...
  20. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani la mwana JF ungepenyeza kwa nafasi ilio wazi ya makamu?

    Tag him or her
Back
Top Bottom