Mhe. Rais makamu wa Rais ni John Mongela

Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.
Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
John unamfahamu wewe???? Huko CCM alikotoka ni madudu matupu!
Isitoshe,ulio wataja wote ni Kanda ya Ziwa ,CCM haitakaa ifanye hilo kosa baada ya JPM!
 
Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.
Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
John unamfahamu wewe???? Huko CCM alikotoka ni madudu matupu!
Isitoshe,ulio wataja wote ni Kanda ys Ziwa ,CCMhaitakaa ifanye hilo kosa baada ya JPM!
 
Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.
Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
Waganga wote Leo najua ni siku ya ramli,hata ramli chonganishi Leo zinahusika,😭
 
Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.
Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
Sawa Mama John. Tutazifikisha hizi salamu zako kwa mhusika mkuu wa huo uteuzi. Hakika unafanya kazi kubwa sana ya kumpigia chapuo mume wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom