makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Harvey Specter

    Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  2. Just Pray

    Dkt. Philip Mpango: Vijana kama wazazi wenu wapo hai watunzeni

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa kuwatunza, kuwalea na kuwaonyesha upendo akimtaja mzazi kama kiungo muhimu katika familia na wakili wa Mwenyezi Mungu hapa duniani. Dkt Mpango ameyasema wakati wa ibada ya misa...
  3. U

    Mtoto wa Makamu wa Rais wamarekani J.D Vance awa kivutio kwa mamilioni ya watu duniani ni baada ya kusinzia wakati babake akiapishwa!

    Wadau hamjamboni
  4. mdukuzi

    Tabata Kisiwani walipuka kwa furaha jirani yao Emmanuel Nchimbi kupitishwa kuwa Makamu wa Rais Mtarajiwa

    Mwaka 1983 Mzee wangu alihamia Tabata,kipindi hicho kikiwa ni kitongoji duni kabisa,maji shida,barabara mbovu ,kumepoa. Taratibu mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 Tabata inaanza kuchangamka,tunapata jirani ambaye ni Mzee John Alphonso Nchimbi,nyumba yake inaangaliana na nyumba yetu. Wazee hawa...
  5. Bams

    Tanzania kuna wakati vyeo vinatolewa siyo kwa sababu eneo hilo linahitaji mtu, bali kwa sababu kuna mtu fulani anatakiwa apewe uongozi

    HIi nchi tuna pesa ya kuchezea, kuna wakati vyeo vinatolewa siyo kwa sababu eneo hilo linahitaji mtu, bali kwa sababu kuna mtu fulani anatakiwa apewe uongozi, ndipo nafasi inatengenezwa. Fikiria, ni nchi gani ina Rais mtendaji, ina Makamu wa Rais mtendaji, halafu tena ikawa na Waziri Mkuu...
  6. Nyani Ngabu

    Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

    Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza. Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake. Hii ni aibu. https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb Video ndefu zaidi hii hapa…...
  7. Suley2019

    Gachagua alilazimika kukimbia baada ya kundi la wahuni kuvuruga mazishi ya Limuru, watu kadhaa wajeruhiwa

    Matukio yaliyofuata mazishi ya mpendwa Erastus Nduati huko Limuru, Kaunti ya Kiambu mnamo Novemba 28, 2024, yaligeuka kuwa machafuko baada ya wahuni kuvuruga tukio hilo. Makamu wa Rais wa zamani, Rigathi Gachagua, alilazimika kukimbia baada ya wahuni kuvuruga huduma ya mazishi ya Nduati huko...
  8. Suley2019

    LGE2024 Pwani: Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar ataka CCM wasiwachukie Wapinzani

    MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amewataka Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutowachukia wagombea wa vyama vingine waliojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani wameshiriki kukamilisha Demokrasia. Makamu huyo wa Rais ameyasema hayo alipokuwa akifunga...
  9. econonist

    Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

    Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana. Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi...
  10. Common Folk

    Sakata la Baltasar Engonga lahusishwa na mrithi wa Urais wa Equitorial Guinea, Makamu wa Rais adaiwa kuhusika

    Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya kanda ya ngono inaweza kuwa sehemu tu katika tamthilia ya maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea. Katika muda wa wiki mbili zilizopita, video kadhaa - makadirio ni kati ya 150 hadi zaidi ya 400 - zimevuja za mtumishi...
  11. Waufukweni

    Mwanamke mmoja miongoni mwa waathirika wa kashfa ya ngono ajiua kuepuka aibu ya Baltasar Engonga aliyenaswa na Video 400 za ngono na wake wa viongozi

    Wakuu Taarifa kutoka Equatorial Guinea zinaeleza Mwanamke mmoja anayedaiwa kuwa muathirika wa kashfa ya video za ngono za mwanasiasa wa Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, amejiua ili kuondokaa na aibu baada kigogo huyo kunaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mbalimbali...
  12. Snipes

    KERO Kigogo: Kiwanda cha kuyeyesha Plastiki kinazalisha moshi unaosambaa kwenye makazi ya Watu

    Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi kwenda angani, wakianza shughuli zao za uyeyushaji moshi unasambaa barabarani na majumbani kwa watu...
  13. Mstahiki Mea

    Rais Ruto ampendekeza Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa madarakani

    Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limepelekwa Bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang'ula alitangaza uteuzi huo...
  14. Moto wa volcano

    Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  15. M

    Nini tofauti ya Naibu Rais na Makamu wa Rais?

    Salamu, Kuna Misamiati hii ya Vyeo vya Kisiasa Makamu wa Rais na Naibu Rais .Je Nini tofauti yake?
  16. Pfizer

    Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  17. ChoiceVariable

    Dkt Mpango: Nimestushwa na taarifa ya kupigwa kwa fedha za wakulima wa tumbaku Takribani Bilioni 1.2

    Makamu wa Rais ameoneshwa kusikitishwa Kwa ulaji huo wa pesa za wakulima ukiofanywa na Watumishi Kwa kushirikiana na Maofisa wa NMB na watu wengine 15. Waziri wa Kilimo amesema amechukua hatua zikiwamo.kuwasimamisha kazi waliotajwa huku VP Mpango akimtaka kuchukua hatua zaidi Kwa kushirikiana...
  18. Roving Journalist

    Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia akutana na Mawaziri Nchini wazungumzia uwezekano wa kufadhili vipande vya SGR vilivyosalia

    Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa, amesafiri kwa njia ya Treni ya Kisasa-SGR kuanzia Dar es Salaam hadi Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku 3 nchini Tanzania kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Benki ya...
  19. Tlaatlaah

    Katiba ya Tanzania ni bora zaidi ya Katiba ya Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla

    Kwa mfano katiba ya Kenya ya 2010 imewatia wakenya kwenye mkwamo mkubwa mno wa maendeleo, mathalani kwenye nafasi ya urasi maana kila baada uchaguzi unapomalizika hapo hapo kampeni za uchaguzi unaofuata zinaanza hapo hapo. Mbaya zaidi, inakua ni mapambano, mipasho, mabishano na kutunishiana...
  20. Yoda

    Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

    Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi 1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu 3. Africa Kusini - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 4.Kenya - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 5.Zambia -...
Back
Top Bottom