DODOMA; Bunge la Tanzania leo Agosti 28, 2026 linatarajia kuthibitisha uteuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Kwa mujibu wa orodha ya shughuli za bunge iliyotolewa, inaonesha kuwa tukio hilo litafanyika baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu asubuhi.
Agosti 26, 2026 Kamati Kuu na...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu wa Rais, Balozi Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC), Brig. Jen. Nyamburi...
Jibu ni HAPANA.
Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa.
Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa.
Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Kutokana na uchambuzi wangu,nafasi hii naona inaenda moja kwa moja kati ya watu hawa 3.
1.Prof.Kilila Mkumbo-70%
2.Prof.Palamgamba Kabudi-10%
3.Prof.Adolf Mkenda-20%
Sababu.
1.Nafasi hiyo haihitaji mtu awe
maarufu kuliko bosi wake,
2.Ni lazima awe Mkristo na mwenye busara-ukiangalia baraza...
Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu nafasi ya Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano. Mwaka 1995 mfumo huo ukabadilika...
Miaka yote tangu uhuru, tumeona Bunge likipokea jina la mteule wa nafasi ya Makamu wa Rais na kulipigia kura ya kumuunga mkono au kumkataa.
Kumbukeni kwa uteuzi unaoenda Bungeni siyo wa Mgombea Mwenza, bali Makamu wa Rais kuziba nafasi ya aliyeondoka.
KItendo cha Ndejembi kutangazwa kuwa...
Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Soma Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais
📍Bungeni-Dodoma
🗓️Agosti 27, 2026
Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe?
Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima?
Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio?
Labda mie na uelewa wangu Duni
Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa...
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma
Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame
kwann afiche majina yake?
Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa...
Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa.
Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya.
Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanayo nafasi ya kihistoria kumuidhinisha Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitisha jina lake tarehe 26 Agosti...
Hongera kwa Deo.
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imependekeza na kupitisha jina la Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ndejembi anapendekezwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt...
1. Julius Nyerere
Abeid Karume
Rashidi Kawawa
Aboud Jumbe
Ali Hassan Mwinyi
2. Ali Hassan Mwinyi
Joseph Warioba
John Malecela
Cleopa Msuya
3. Benjamin Mkapa
Omar Ali Juma
Ali Mohamed Shein
4. Jakaya Kikwete
Ali Mohamed Shein
Mohamed Gharib Bilal
5. John Magufuli
Samia Suluhu Hassan...
PhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
Note my word, uo ndo utakuwa upya WA ccm na MABADILIKO makubwa yatatokea.
Utakuwa ndo mwanzo wa kifo wa CHAMA cha democracia na maendeleo CHADEMA maana kila jambo lao litafanyika.
Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi na mambo mengine mengiiiiiii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.