Nchimbi ni Makamu wa Rais halali

Nchimbi ni Makamu wa Rais halali

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,951
Reaction score
6,624
Hakuna sababu mtu ashambuliwe kwa kumtetea Nchimbi. The question of the 2030 elections does not arise.

Uchaguzi huo wakati wake bado.
Tunasema kwamba sasa hivi Nchimbi ndio Makamu wa Rais.
Yule mtu ameshambuliwa bila sababu.

Ukisema Nchimbi hafai kuwa Makamu wa Rais unaleta tatizo mahali ambapo hakuna tatizo,kwa sababu itabidi utafute replacement.

Samia ndiye Rais kwa sasa,ingawa Wapinzani wanadai kwamba hakuchaguliwa kihalali. It was a disaster waiting to happen.

Watu wengi hawakujiandikisha kupiga kura kwa sababu foleni zilikuwa ndefu sana
Otherwise Uchaguzi ilikuwa halali.

Ingawa juzi tunasikia mtu kapata moong'oto Kwa sababu kavaa shati Ina picha ya Rais Samia.
Kwa hiyo tusigombane Kwa ajili ya Uchaguzi wa 2030.

Indeed,nimesikiliza lakini bado sijamsikia anasema 2030 ataachia madaraka.

But there is this minor problem of the October 29 election violence.
How minor was the problem?
Can it be swept under the carpet?
Hilo ndilo swali ambalo linatafutiwa majibu..
 
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.

Hapo kuna Rais na makamu?
 
BABA YAKO.
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE, UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya.
Tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.
Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU
JK NYERERE
 
BABA YAKO.
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE, UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya.
Tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.
Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU
JK NYERERE
Nimekipitia hiki kitabu nimejikuta nalia bila kujua.
 
But there is this minor problem of the October 29 election violence.
How minor was the problem?
Can it be swept under the carpet?
Hilo ndilo swali ambalo linatafutiwa majibu..
Asante Kaka Mkubwa katika ubara wako, enzi za Mshure wako, walikufa mahabusu 4 tuu, mikononi mwa polisi, Mzee wako alikasirika sana!, akawaadhibu kuanzia VP2 wake Rashidi Kawawa, mawaziri wa Mambo ya Ndani Ali Hassan Mwinyi na wa Usalama wa Taifa, Peter Siovelwa wakajiuzulu, akawastaafisha kwa manufaa ya umma IGP -Pundugu, DGIS -Mzena, na Kamishna Mkuu wa Magereza -Mwanguku, akawatengua ma RC wa Mwanza -Kisumo na Shinyanga -Mabawa, halafu watendaji wakuu wa vyombo vya ulimzi mkoani, ma RPC, RSO, OCD na DSO, wakafikishwa kwa Pilato kwa kupandishwa kizimbani Kesi ya Mauaji Mwanza na Shinyanga, zikarindima.

Tukio la October 29, wamekufa watu 518 tuu, ambalo kutokana na kuwa ni just a minor problem, ndio maana hakuna aliyewajibika!.

P
 
Back
Top Bottom