Makamu wa Rais ni Mchengerwa

Makamu wa Rais ni Mchengerwa

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,417
Reaction score
38,056
Mohamed Mchengerwa ni Waziri mwenye kifua kipana.

Ni Waziri mchapajazi kuliko mawaziri wote.

Hakika Nafasi ya Makamu wa Rais inamtosha sana.
 
Mohamed Mchengerwa ni Waziri mwenye kifua kipana.

Ni Waziri mchapajazi kuliko mawaziri wote.

Hakika Nafasi ya Makamu wa Rais inamtosha sana.
Kwa maana ya familia uongozini na weza kufikiri kama unaweza kuwa vilee🤔Ila pia sita shaangaa akiwa mwana kanisa!
 
Kuoa mke wa mtu inahitaji kifua kweli maana ukiwa roho ndogo unaweza zimia kila unapokumbuka kuwa ex husband alikuwa anachomeka hapohapo unapochomeka mwenyewe.
 
Wana ccm mshaanza ramli chonganishi kwa akili zenu zilivyo ss
FB_IMG_1787232935573.jpg
 
Kwa Tanzania unaweza kuchukulia kama mzaha ila inawezekana
 
WAtanganyika kurithishwa mavichwa bapa kama chapati yametuharibia sana nchi hadi makamu amejiuzulu.
 
Back
Top Bottom