makampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata banner za makampuni ya kutengeneza simu?

    Wakuu nitapataje zile banner zinatolewa na makampuni ya simu kama tecno Samsung na Infinix.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makampuni yaliyo na mikataba na Haji Manara yaifute kwa udhalilishaji wa wanawake

    Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana. Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe. Natoa rai mikataba yake itenguliwe
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TCRA yatoa onyo kali kwa makampuni na watu binafsi wanaosambaza visimbuzi vya CANAL PLUS

    TCRA imetoa onyo kali kwa Makampuni na Watu binafsi wanaoingiza nchini vifaa vya mawasiliano vikiwemo visimbuzi vya CANAL PLUS na kufanya biashara ya kutoa huduma za Televisheni kupitia satelaiti bila kuwa na leseni, imesema visimbuzi hivyo havijaidhinishwa.
  4. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Inawezekana msimu huu wa sikukuu ndio 'High season' kwa makampuni na wauzaji wa Beer

    Salamu wakuu. Mambo yasiwe mengi, nipo sehemu napata kilaji huku nikicheki mechi ya Yanga na Azam live. Ee bwana meza zimechafuka beer kila pande watu wanamwagilia moyo ndipo wazo likaja inawezekana hawa jamaa msimu huu ndio huwa wana sales kubwa kuliko miezi yote. Uzi tayari.
  5. Desierto

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani kuwa na makampuni ya umeme kwenye nchi yetu?

    Habari za humu wana jukwaa natumaini hamjambo. Nimekuja na mada hii baada ya kulala giza kila wakati, pia kushindwa kufanya kazi zangu za kiuchumi. Yaani serikali yenyewe iwe inachimbia tu nguzo halafu kuwepo na makampuni ya kupitisha waya za umeme, naamini nguzo moja kuna uwezekano wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Swala la kupanda Bei ya data ilaumiwe Serikali na TTCL ndio wanaouzia makampuni huduma za internet kwa Bei na kutokuwa na mshindani

    Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge. Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

    Katika siku za hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia maduka makubwa kadhaa yakifungwa, huku la hivi punde zaidi katika orodha likiwa ni Game Stores, ambalo kufungwa kwake kutaathiri vibaya zaidi ya kazi 100 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Kuondoka kwa Game kunaikumbusha nchi ya...
  9. Kilangi masanja

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya upatikanaji kwa njia za mawasiliano zitolewazo na Taasisi za Umma, makampuni na sehemu zote zitoazo huduma

    Habari wadau kwa ujumLa.Naimani mu wazima wa afya. Ni jambo la kawaida kwa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia kuhakikisha tunaenda sambamba na mataifa yalioendelea kupitia nyanja hizo. Changamoto imekua kubwa na kama wahusika hawaioni au hufanya makusudi yasio na sababu yeyote ile basi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yanaweza kurekodi kila simu inayopigwa au kupiga?

    Habari wakuu, baada ya kuvutana kwa mabishano ya hoja hapa tulipo nimeona nije JF kuuliza kuhusu hili. Hivi kampuni yoyote ya simu ina uwezo wa kurekodi maongezi ya kila mteja wake kwa simu anazopiga au kupigiwa (maongezi)? Yaani hata zile simu za salam, au wanachukua hatua ya kurekodi tu pale...
  11. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa ununuaji wa hisa na makampuni ya uhakika

    Je ni makampuni gani Tanzania yanayotoa huduma ya uwekezaji mfumo wa hisa kwa wanachama kwa ufanisi na faida? Na je maelezo tajwa hapa chini Yana ukweli kuzuia kupata hasara na matatizo ya afya ya akili
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumejifunza nini kutokana na tulichofanyiwa na makampuni haya?

    Namaingo https://www.jamiiforums.com/threads/dc-aagiza-mkurugenzi-namaingo-kukamatwa-kwa-kutapeli-wananchi-4000-na-kukusanya-pesa-zaidi-ya-tzs-bilioni-moja.1438751/#post-26967657 Kijani Kibichi...
  13. Big Phil

    JamiiForums Tanzania Zijue platform zilizowahi kuibia watu

    1. BC INVESTMENT Hii ilkuwa na platform ya uwekezaji ambayo walikuwa wanatoa takribani 7% ya pesa uliyowekeza na kiwango Cha chini kuwezeza ilikuwa 14,000/= 2. QNET Hii sina experience nayo ila nasikia Ilipita na Hela pia. 3. EARNJET AGENCIES Mkurugenzi wake alidai anatoka Nairobi anakuja...
  14. Greataziz

    JamiiForums Tanzania Kama TANESCO wameshindwa kazi na wamekosa dira, kwanini wasiruhusu makampuni binafsi yagawe umeme?

    Hili huwa najiuliza mara kwa mara Sana Naombeni JamiiForums msilichanganye kule kwenye thread ya TANESCO macomment mengi sana huenda hata hawataona maana hii imekua kero sana kwa sisi Raia. Waziri na wizara kwa ujumla sijui kama Wana Mkakati wowote wa kuondokana na Tatizo La Mgao wa Umeme naona...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Maeneo muhimu ambayo wataalamu wa Serikali wanapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo zidi makampuni ya mafuta na gesi

    Uvumbuzi wa rasilimali za mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mataifa yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye rasilimali za fedha na utaalamu ili kusaidia kuzalisha mafuta na gesi iliyovumbuliwa. Mara baada ya uvumbuzi...
  16. emmarki

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kupeana connection za kazi kwenye makampuni na kupitia recruitment agency

    Habari wana jamvi. Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo. Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta mbalimbali kumepelekea kuzaliwa kazi na ajira nyingi. Wanaowinda kazi ni wengi ila siyo wote wanaojua...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Maeneo muhimu ambayo serikali zetu zinapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo yao na makampuni ya mafuta ya mafuta na gesi

    Uvumbuzi wa mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mara nyingi mataifa haya yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye rasilimali za fedha na utaalamu ili kusaidia kuzalisha na kuyauza mafuta na gesi katika mataifa hayo ili...
  18. Execute

    JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

    Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea. Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
Back
Top Bottom