emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 682
- 918
Habari wana jamvi.
Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo.
Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta mbalimbali kumepelekea kuzaliwa kazi na ajira nyingi.
Wanaowinda kazi ni wengi ila siyo wote wanaojua zinapatikana wapi na wafanye nini wazifikie.
Lengo la uzi huu, ni kwa wote mnaojua kampuni, shirika au kiwanda ambapo mtu anaweza kwenda kutafuta kibarua/kazi/ajira.
Ukiweza toa na eneo ambapo hiyo kazi inapatika na maelekezo mengine ili kumsaidia mwingine. Hii itawasaidia wageni wa jiji na wengine waliongia kwenye kilinge cha maisha baada ya masomo. Karibu sana.
1. Wanaotafuta kazi za CUSTOMER CARE kwenye makampuni ya simu. Voda na Airtel wako chini ya ISON Bpo, peleka CV jengo la fykat towers liko Morocco. DSTV wako chini ya Erolink, peleka cv Morocco
Ongezea pengine watu wawende kujaribu bahati zao. Mishahara ni midogo lkn ukifanya kwa malengo unaweza pata kitu