makampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Ndugulile: Hatutayavumilia Makampuni yatakayoshindwa kulinda Faragha za wateja

    Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo. Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio waaminifu kwenye kampuni hizo wanaoshirikiana na wahalifu kwa kutoa Siri za wateja. Waziri amesema...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nembo ya CHADEMA digital yawavutia wengi

    Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO . Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
  3. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

    Huyu anayeingilia hii mifumo kumhujumu mama Samia ni nani na anataka nini na ana nguvu kiasi gani? na lengo lake ni nini?
  4. Hazard CFC

    JamiiForums Tanzania Nayashauri makampuni ya simu yaanzishe fixed accounts kwenye huduma zao za kifedha

    Nayashauri haya makampuni makubwa ya simu kunzisha fixed account ambazo tutakua na uwezo wakuweka pesa tu bila kutoa hata iwe mvua liwake jua kwa kipindi cha mwaka na zaidi. Mteja apewe options ya kuchagua muda ambao ataweza kuitoa pesa yake. Options ziwe mbili kutoa baada ya muda flani au...
  5. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Wakenya wametupiga bao sana kwenye uwekezaji nchini

    Wakuu Kenya ina jumla ya kampuni 529 zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania ambapo zimewekeza Dola za Marekani Bilioni 1.7 na zimeajiri watu 56,260. Tanzania sisi sasa tuna kampuni 30 tu. Je, tumekwama wapi kama Nchi? Nini kifanyike? Waalimu, Wahudumu katika hoteli nyingi ni Wakenya...
  6. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nashauri makampuni ya simu yaanzishe utaratibu tuwe tunalipia huduma za simu kama kodi za nyumba

    Habari wakurugenzi..! Nilikiwa nashauri haya makampuni yaanze kukubali gharama za simu tuwe tunazilipa kama kodi ya nyumba tuwe tunalipa kila baada ya miezi au mwaka na tunaandikishiana na kuwe na mikataba kati ya mtumiaji wa huduma na kampuni husika . Hilo swala la kulipa vifurushi naona...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ex - CAG Uttoh: Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yanatoa 'Gawio' Serikalini Kimakosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza

    " Siyo sahihi kwamba kila Shirika au Kampuni Kisheria linatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali. Ni bahati mbaya mno Watu hatupendi Kusoma Sheria na Taratibu mbalimbali na tukitishwa tu tunalegea na kutoa. Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yakitoa Gawio kwa Makosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa...
  8. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kuhusu vifurushi vya simu asilaumiwe Waziri Ndugulile au makampuni ya simu bali Serikali

    Kwa maoni yangu, Makampuni haya hususan mbabe wa wababe Vodacom, huwezi kuyapa lawama wala Waziri wa Mawasiliano.. kwanini? kwasababu wangekuwa wamefanya kinyume na Serikali inavyotaka wangeshapigwa faini au hata kufukuzwa nchini! lakini kwa upande wa Ndugulile kama angekuwa ni yeye mtaabishaji...
  9. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi

    Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi Watumiaji wa simu za mkononi bado wameendelea kulia na mabadiliko ya vifurushi vya simu za mikononi ambayo yamepandisha gharama za matumizi. Mabadiliko hayo ya vifurushi ambayo yalifanyika Hivi karibuni yakihusisha makampuni mbalimbali ya simu...
  10. sammosses

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya kukopesha pesa kwa riba yamerudi rasmi

    Uchumi wa nchi umekuwa Sana na kufikia uchumi wa kati kabla ya muda ulio kusudiwa, maanake tume break event.lakini Maisha ya Watanzania hayahakisi uhalisia wa mabadiliko hayo ya uchumi. Makamu wa rais amesema kuwa Hali ya umaskini kwa Watanzania ni mbaya Sana,wananchi zaidi ya milioni 14...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makampuni 49 ya Tanzania yaruhusiwa kuuza maharage soya China

    Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima wa Tanzania kwa kuwa sasa wana soko la uhakika.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
  13. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Hesabu Zetu Vs Hesabu za Makampuni ya Simu

  14. Logikos

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya...
Back
Top Bottom