makali

Makali P. Aizue (born 1977) is a Papua New Guinean former professional rugby league footballer who last played as a prop for Doncaster in Kingstone Press League 1.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dotto Biteko: Makali ya umeme kupungua 2024

    Makali ya umeme yatapungua kwa kiasi kikubwa kufikia mwanzoni mwa 2024, kupitia juhudi za Serikali kupunguza upungufu wa umeme kutoka Megawati 810 na kufikia megawati 240. - Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji...
  2. JamiiForums Tanzania Pamoja na ujio wa Dotto Biteko Makali ya Mgao wa Umeme Yameongezeka

    Makamba alitolewa Tanesco kupunguza makelele tu. Ila kiuhalisia sasa hivi mgao wa umeme ni mkali kupita kiasi.. Swali linabaki pale pale bwana yule aliwezaje kutuepusha na hii dhahama...Samia is a failure. Nawashangaa sana wanaowaza kumwongezea muda.
  3. JamiiForums Tanzania Chukua hatua kwa maumivu makali ya kifua

    Historia ya kina na uchunguzi kamili unapaswa kufanywa ili kubaini sababu inayowezekana zaidi na njia ya utatuzi. Ikiwa kuna upungufu wa mtiririko wa damu kwenye moyo hali inayopelekea kuzuia misuli ya moyo kupokea oksijeni ya kutosha (myocardial ischaemia) mara nyingi maumivu yake huwa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Mguu wa kushoto una pata maumivu makali kwenye kisigino

    Naombeni msaada nina tatizo la mguu upande wa kushoto kwenye kisigino kuna maumivu makali sana hadi kukanyaga nashindwa hali imenianza toka juzi
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania kuanza uzalishaji wa Dawa za Kufubaza Makali ya VVU (ARV)

    Ziara ya kimkakati iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini India, imezaa matunda katika sekta ya afya baada ya nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuanzisha kiwanda cha dawa, huku dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi ARV ni miongoni mwa zitakazozalishwa. Makubaliano hayo ya...
  6. JamiiForums Tanzania Dunia inarudi ilipotoka, itarudi kwa maumivu makali sana

    DUNIA INARUDI ILIPOTOKA, ITARUDI KWA MAUMIVU MAKALI SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kila kitu kitarudi katika sehemu yake. Kila mtu atarudishwa katika nafasi yake. Hakuna atakayevuka mipaka yake tena. Bahari itajidhibiti mawimbi yake, wala maji hayataenda sehemu ya nchi kavu, Usiku...
  7. JamiiForums Tanzania Ukraine wafanikiwa kufanya mashambulizi makali Crimea na kuua kundi la maadui

    Vilianzia Crimea, vinaishia Crimea, hivi karibuni Urusi itaitapika Crimea..... Ukrainian defence forces, together with the Security Service of Ukraine (SSU), have launched a drone strike on the 126th Brigade of the Russian Black Sea Fleet, based in the village of Perevalne in temporarily...
  8. JamiiForums Tanzania Pakistan kumekuwa na mashambulizi makali dhidi ya makazi ya Wakiristo

    Shambulio la kundi la watu dhidi ya makazi ya Kikristo nchini Pakistan linaonyesha hitaji la mamlaka kuchukua hatua za haraka ili kulinda dini ndogo dhidi ya vurugu, Human Rights Watch ilisema leo. Serikali za shirikisho na mikoa nchini Pakistani zina wajibu wa kuchunguza na kuwashtaki ipasavyo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Busara za wazee: Mfumo wa vyama vingi uendelee lakini CCM iendelee kutawala mpaka pale...

    Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao. Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
  10. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unaweza kupunguza Makali ya UKIMWI kwa kubadilisha damu

    Wakuu mko vyede? Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo. Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa machimbo makali ya bei poa kwa ajili ya Honeymooners na wapenzi wanaohitaji faragha

    Privacy ama kujitenga ni jambo jema sana. Wengi hupenda kujitenga mara baada ya kufunga ndoa, hutafuta sehemu ya uficho kwa ajili ya kwenda kutafakari safari yao nzima ya maisha. Watahitaji sehemu nzuri yenye utulivu na kila kitu kizuri. Wengi hatuna taarifa au maarifa ya kuyafikia haya...
  12. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Carbon iliyopata Mgandamizo mkali ikawa Almasi ambayo itamkata yeyote yule akiishika kwenye makali yake imeanza na Lissu

    Iko hivi: Tundu Lissu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote yaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Madonna alazwa 'ICU' baada ya kupata Maambukizi makali ya Virusi

    Madonna ameahirisha ziara yake baada ya kuwa mgonjwa na kukaa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku kadhaa. Taarifa iliyotumwa kwenye Instagram na meneja wa mwanamuziki huyo wa Marekani, Guy Oseary, ilisema: "Siku ya Jumamosi Juni 24, Madonna alipata maambukizi makubwa ya bakteria ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania Nimepata mafua makali, homa na udhaifu wa mwili - je, ni corona?

    Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta. Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja. Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na kahoma kaanza na kukohoa kohoa na mbavu kubana. Hili ni balaa. Nimekula antibiotics na kujifukiza na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

    Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:- 1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi 2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Wenye elimu ya dini nisaidieni: Ni ipi hekima iliyojificha katika mateso makali wayapatayo wanyama?

    Habarini! Wenye ujuzi tupeane maarifa kidogo tafadhali. Msingi wa swali langu unaegemea zaidi maisha ya wanyama hawa wala nyasi. Naona maisha yao yamejaa tabu na mateso na wasiwasi mtupu. Wakikoswa kupigwa meno ya shingo na kunyonywa damu na simba au chui basi huishia kuliwa kwa kumegwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

    Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiacha Dar, kuna mji mwingine wa kula bata nzuri na machimbo makali kama Moshi?

    Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu. Pamoja na kuwapo na wageni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wale mliwahi kucheat, hivi kuna fedheha kushinda hii?

    Kwa mwanamke Unamsaliti mumeo unaenda kwa mchepuko, hapo kichwani unawaza kwamba leo naenda kupewa show ya kukata na shoka. Kufika kwenye mechi jamaa mchepuko anapiga tako tatu, halafu anamwaga wazungu nje haooo. mapaja yote yamelowa mbegu... halafu anakuambia 'thank you baby kwa kuja' kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Putin anyong'onyea, apunguza makali kwenye hotuba yake

    Hotuba za mwanzo kwenye operesheni jamaa alikua anabwatuka balaa, vitisho na mikwara, nimemshangaa kwenye hii hotuba amekua mpole na kutia huruma, alianzisha mwenyewe, hamna namna. Halafu naona anatafuta kiki kwenye masuala ya ushoga kana kwamba hayo mabomu yake yanachambua mashoga kwenye jamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…