Putin anyong'onyea, apunguza makali kwenye hotuba yake

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,407
Hotuba za mwanzo kwenye operesheni jamaa alikua anabwatuka balaa, vitisho na mikwara, nimemshangaa kwenye hii hotuba amekua mpole na kutia huruma, alianzisha mwenyewe, hamna namna.

Halafu naona anatafuta kiki kwenye masuala ya ushoga kana kwamba hayo mabomu yake yanachambua mashoga kwenye jamii kabla kuua, huyu aliyekua anapiga hadi mbembea za watoto, alikua anang'ang'ania kuiba ardhi ya watu wa Ukraine.

================

Russia’s President Vladimir Putin has delivered a state of the nation speech in the Russian capital, Moscow, assessing the invasion of Ukraine he ordered a year ago.

Here are highlights from his address delivered on Tuesday to members of both houses of parliament, military commanders and soldiers: “I am forced to announce today that Russia is suspending its participation in the strategic offensive arms treaty.”

The New START treaty was signed in Prague in 2010. It came into force the following year and was extended in 2021 for five more years after United States President Joe Biden took office.

It caps the number of strategic nuclear warheads that the United States and Russia can deploy, and the deployment of land and submarine-based missiles and bombers to deliver them.

Russia has the largest stockpile of nuclear weapons in the world, with close to 6,000 warheads, according to experts. Together, Russia and the United States hold about 90 percent of the world’s nuclear warheads – enough to destroy the planet many times over.

“I am making this address at a time which we all know is a difficult, watershed moment for our country, a time of cardinal, irreversible changes around the world, the most important historic events that will shape the future of our country and our people, when each of us bears a colossal responsibility.”

“They just tried to use these principles of democracy and freedom to defend their totalitarian values and they tried to distract people’s attention from corruption scandals from economic-social problems.”

“The responsibility is on the West and the Ukrainian elite and government, which does not serve the national interest, but [rather serves the interest] of third countries [which] use Ukraine as a military base to fight Russia.

“The more they send weapons to Ukraine, the more we will have the responsibility of the security situation at the Russian border. This is a natural response.”

Putin said he understood how difficult it was for relatives of Russian soldiers who had died fighting in Ukraine, and promised “targeted support” with a new special fund.

“We all understand, I understand how unbearably hard it is now for the wives, sons, daughters of fallen soldiers, their parents, who raised worthy defenders of the Fatherland.”

aljazeera.com
 
Hiyo hotuba imekuwa ngumu sana kwa Dunia ijapokuwa kwa upole kwa sababu zifuatazo kwa ufupi:
  • Vita ni endelevu.
  • Kujiondoa ktk udhibiti wa siraha za Nuklia masafa mafupi na Kati.
Tafsri yake ni kuwa Dunia itaendelea kutikiswa gharama za juu za mafuta na Ukosefu wa amani kwa Mataifa yasio rafiki kwa Mwamba Putin.
 
Hiyo hotuba imekuwa ngumu sana kwa Dunia ijapokuwa kwa upole kwa sababu zifuatazo kwa ufupi:
  • Vita ni endelevu.
  • Kujiondoa ktk udhibiti wa siraha za Nuklia masafa mafupi na Kati.
Tafsri yake ni kuwa Dunia itaendelea kutikiswa gharama za juu za mafuta na Ukosefu wa amani kwa Mataifa yasio rafiki kwa Mwamba Putin.

Hamna jipya hapo, kunao tulitegemea ataiuka na kitu kipya ila kawa mpole balaa, tofauti sana na hotuba zake za mwanzo wakati anaanza kuparamia nchi ya watu, alikua anafyatuka hadi basi tu.
 
Dikteta Putin ameshakata tamaa na anafahamu fika kwamba hana msuli wa kiuchumi wa kuweza kuendeleza vita vyake vya kipumbavu kwa muda mrefu.
Ngoja tuone kama kesho ataanza mashambulizi mapya

Putin alidanganywa na FSB, alidanganywa kuwa Zelensky atakubali kukimbia, au waliowekwa kumua hawakufanikiwa.
Lengo la ule msafara mkubwa ilikuwa kuiteka Ukraine yote
 
Ngoja tuone kama kesho ataanza mashambulizi mapya

Putin alidanganywa na FSB, alidanganywa kuwa Zelensky atakubali kukimbia, au waliowekwa kumua hawakufanikiwa.
Lengo la ule msafara mkubwa ilikuwa kuiteka Ukraine yote.
Hivi Vita vitaisha kweli bila mazungumzo ?....maana ushindi wa kijeshi kwa pande zote bado ni mlima mrefu mno sana sana vifo tu kwa pande zote na uharibifu wa Ukraine vitaongezeka.
 
Hivi Vita vitaisha kweli bila mazungumzo ?....maana ushindi wa kijeshi kwa pande zote bado ni mlima mrefu mno sana sana vifo tu kwa pande zote na uharibifu wa Ukraine vitaongezeka.
Kwa mwendo ulivyo Ukraine akimaliza mafunzo ya IFV na Tanks za Western lazima ataanza offensive kubwa sana.
Atagain sehemu kadhaa ila kuna maeneo ka Mariupol Russia hatakubali paachia,akipaacha Blacksea inaondoka, hatakuwa ma uwezo wa kupitisha meli tena
 
Hiyo hotuba imekuwa ngumu sana kwa Dunia ijapokuwa kwa upole kwa sababu zifuatazo kwa ufupi:
  • Vita ni endelevu.
  • Kujiondoa ktk udhibiti wa siraha za Nuklia masafa mafupi na Kati.
Tafsri yake ni kuwa Dunia itaendelea kutikiswa gharama za juu za mafuta na Ukosefu wa amani kwa Mataifa yasio rafiki kwa Mwamba Putin.
Putin, Magufuli, Kagame.... dugu moja
 
Ina maana Putin ametoka kwenye ndaro kwamba atatumia nuclear wakati wowote mpaka anakuwa laini kiasi hiki anatia huruma sana, wenzake wamemgeuka anakula miba za mchongoma peke yake
Watu wengine bwana!!Sasa mbona USA na NATO ndio wanampigia magoti Putin kwamba waanzishe mazungumzo ya kupunguza silaha za nuclear na kuruhusu wataalamu wa masuala ya silaha za nuklia kutembeleana kuchunguza viwanda vinavyo unda silaha za Nuclear lakini naona this time Jemedari Putin kawakatalia kata kata, hataki tena mambo ya kipuuzi na ulaghai wa USA, Putin amekwisha kata shauri kwamba na liwalo liwe.

Sasa swali ni: haya mambo ya USA/Biden kujiona wao zaidi kijeshi Duniani si waende zao na kuanza kumtunia misuli Putin for a duel ili Dunia ione nani zaidi na ni nani ni paper tiger - kwa nini kwa mfano: Biden anafanya a u-turn na kuona kumbe kuna umuhimu wa USA kuelewana kwanza na Warusi kuhusu masuala ya silaha za maangamizi kuliko US administration na NATO kijifanya ni CHIMERA wa Dunia ie wao zaidi na wana uwezo mkubwa wa kumshinda Putin kwenye vita inayo endelea huko Ukraine, huku Dunia ikijua wazi wazi kwamba mchochezi na mwanzilishi wa vita hii ni Wamerikani wenyewe lakini wanamsingizia Putin kwa kuwa aliwawahi by pre emptive strike kabla hawajafanya madhala makubwa kwenye majimbo ya Ukraine mashariki ikiwemo Crimea. Walitayarishwa Ukraine troops, Polish troops na some NATO troops kudjambulia kwa nguvu na silaha kubwa kubwa na ndege na choppers lengo likiwa ni kuwauuwa raia wote wa Ukraine wenye asili ya Urusi, kukomboa mikoa mashariki ikiwemo Crimea Operation hii ilikuwa babu kubwa ikisimamiwa na majereli wa Kimerikani na UK laki kama nilivyo sema tangu mwanzo Warusi walipata taarifa za kiitelijesia mapema wakawawahi - cha ajabu media za magharibi hilo hawalisemi badala yake yako busy ku-demonise Putin - Pitin this,Putin that ulaghai na uongo mtupu Putin wa watu hana tatizo na mtu badala yake tunaweza kusema kwamba hivi sasa Putin ana heshimika sana popote ni kama vile Rais wa Dunia save mabeberu ambao hawamtaki kabisa kutokana na msimamo wake wa kuiokoa Dunia kutoka kwenye makucha ya mabeberu wa kinyonyani wapenda vita na vurugu ili kinufahisha viwanda yao vya silaha na mabenki ie akina Rothchild,JP Morgan na mabenki mengine - genge hili ni hatari sana ni watu wachache wanao juwa ubaya wa Anglo-Saxon hapa Duniani.

Nimalizie kwa kukumbusha kwamba the World have had enough la genge hili la wapenda vita na vurugu Duniani ndio maana kiboko yao Mighty Putin anawasubiri pembezoni ili wafanye makosa ya kijinga halafu Putin na washirika wake wawape fundisho la mwaka la kuwa destroy in totality by making sure they will never rise again kuisubua tena Dunia - sijasema kwamba Urusi na washirika wake hawata pata madhara lakini wao at least walisha jiweka tayari kwa miaka mingi kujikinga na na tatizo hilo unlike arrogant Anglo-Saxon mafiosa wanao preach hata mambo ya ushoga kwanza somo hilo lifindishwe kwenye shule za sekondari kwa lazima - hawa kama sio akili fyatu tuwaiteje??
 
Kwa mwendo ulivyo Ukraine akimaliza mafunzo ya IFV na Tanks za Western lazima ataanza offensive kubwa sana.
Atagain sehemu kadhaa ila kuna maeneo ka Mariupol Russia hatakubali paachia,akipaacha Blacksea inaondoka, hatakuwa ma uwezo wa kupitisha meli tena

Ataachia tu labda adiriki kutumia nyuklia kulinda....
 
Back
Top Bottom