majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Majukumu yanatutenga na wapendwa wetu huku usaliti ukiwa fimbo yakutuchapia hapa duniani ndoa za sasa hazina maana kabisa

    Ndugu zangu salam sana naomba sana soma polepole huku unatafakari na kulinganisha na uhalisia ili uelewe ninacho kimaanisha hapa Siwakatazi mfanye kazi maana sina chakula cha kuwapa wala hela za kuwagaia bure, siwakatazi mkatae kuhamishwa kikazi maana kaeni mkijua sitokua na msaada na nyie...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  3. JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Majukumu kwa Wanandoa Husaidia Kukua Kimaisha

    Bila kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Jamii imekuwa stuck katika swala la mwanaume kufanya hivi mwanaume kufanya vile, Sipingi upande wowote ule ila ningependa Tujifunze kitu kidogo pamoja Tuangalie namna gani tunaweza Move fast kimaisha Tuangalie aina Kuu Mbili za Mahusiano na maisha ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mahusiano au ndoa zenye majukumu ya kifamilia zimetulia sana

    Mahusiano au ndoa zenye majukumu mazito ya malezi, kwa mfano ya watoto wa3 au zaidi, huwa ziko na furaha, ziko imara na vizuri sana katika kushirikiana na kusaidiana kwa dhati na kwa upendo mkubwa, katika kutimiza msingi wa ndoto za watoto wao, mfano katika kupata haki ya mahitaji yao muhimu...
  5. JamiiForums Tanzania Mjue Cuckoo, ndege mkwepa majukumu ya ulezi, ndege mwenye roho mbaya

    Cuckoo ni jamii ya ndege wasafiri ambapo husambaa katika kipindi cha kiangazi kwenye bara la ulaya, Asia na Africa. Jamii hii ni aina ya ndege hukwepa majukumu kwa kupandikizia watoto wao kwa jamii nyingine za ndege ili walelewe tangu yakiwa bado mayai. Kwa maana kuwa hutaga kwenye viota vya...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi walioonesha wanayamudu majukumu yao

    1. Dkt. Gwajima D, Waziri wa Maendeleo ya Jamii... 2. Jerry Slaa, Waziri wa Ardhi 3. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha 4. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Hawa ndiyo niliowaona. Tutajie na wewe wa kwako.
  7. JamiiForums Tanzania Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote?

    Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote na sio kutegemea msaada kwa mwanamke?
  8. JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia zaitaka TRA kuwaondolea kodi ili Watekeleze Majukumu yao kwa Uhuru

    Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchii. Akiongea Mkoani Morogoro, leo Tarehe...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni - Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe na wenzako acheni kumzushia uongo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    JK ni International figure, ana heshimika kimataifa, tumwache aendelee na majukumu yake ya kimataifa yanagharamiwa na wahusika wanaomwalika. Nimefuatilia mitandao ya kijamii kuna baadhi ya watu wanajaribu kupotosha kuhusu safari za Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Nawakumbusha kuwa nchi yetu ina...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ex-CIA Chief Panetta: IDF hutekeleza majukumu yao kama Wenda wazimu

    1. Hili si jambo dogo kwani hata Police Tanzania (PT) ya Muliro, achilia mbali wale wengine wa kwetu au hata HAMAS hawawezi kuwa hivi: 2. Kwamba hivi hawakuanza juzi, ila ndiyo hulka yao, 3. Sasa kumbe kipi kingekuwa tofauti hapa? 4. Kwamba kwa hakika ndiyo hivyo msemaji wa IDF anavyo...
  12. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wananikumbusha majukumu yangu, waambieni ‘nayaelewa’

    Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu. Amos Makalla amesema amekuwa akisoma Mitandaoni na kuona baadhi ya Watu wanamkumbusha majukumu yake, amewaambia “Anayaelewa”. Anasema “Nayaelewea, yapo katika Katiba ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 107 Kifungu cha Pili A mpaka F...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke hakuumbiwa majukumu, ni Shida tu.....

    Mwanamke ameumbwa kuhudumiwa tu, Mwanamke ili atafutiwe na apewe atumie na ikitokea Mwanamke akatafuta na watu wakatumia basi watu hao hivyo vitu vitawatokea puani kwa masimango au kashfa yoyote watakayopewa. Mfano huu hapa baba yangu wakati anamuoa mama yangu wa pili (mama wa kambo) alikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume usiendekeze majukumu

    Mawili matatu kwavijana wenzangu: Kwenye harakati za kutafuta pesa Kwenye harakati za kutafuta ugali wa watoto Kwenye harakati za kujikwamua kimaisha Kwenye harakati za kutimiza wajibu wako kama baba Bas nawaasa msisahau kujipongeza (nini namaanisha?) Ukiendekeza sana majukumu hautakaa ununue...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali kutolipa mishahara watumishi kwa kisingizio cha kutojaza majukumu yao kwenye mfumo wa ESS ni unyang'anyi usiotumia Silaha

    Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS. Ikiwa na maana kwamba taarifa muhimu na za Msingi kuhusu Mtumishi zitakua kwenye mfumo huu. Ikiwemo Kujaza...
  16. JamiiForums Tanzania Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Habari wananzengo, Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
  17. JamiiForums Tanzania Siku 3 kabla ya kucheza na Yanga, wachezaji 7 wa Mamelodi Sundowns watakuwa Algeria kwenye majukumu ya kitaifa

    Kuna mambo Watanzania inabidi tupevuke kwenye masuala haya ya mpira. Kumekuwa na hii kasumba ya kuwachukulia wachezaji kama mayai hivi. Yaani tunataka wacheze mechi moja kwa wiki, kabla ya mechi yoyote ya kimataifa hamtaki wagusweguswe hata kwa wiki mbili mkiogopa eti watachoka au kuumia...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

    Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu, nitumie mbinu gani hichi kikombe cha majukumu kinikimbie?

    Kuna mchepuko wangu wa zamani (shepu matata) alinipigia simu mwezi uliopita, na kunijulisha nimpokee rafiki yake anakuja mkoa niliopo kwa ajili ya kushughulikia mambo yake. Ingawa alinisii, nisimsaliti kwa sababu huyo rafiki yake ni pisi kali; mi nikamwambia haina shida, mi sina madhara kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwenye majukumu, lazima tukimbiane tu

    Baada ya tarehe kumi na nne kupita, sasa ni majukumu tu; hapa lazima tukimbiane. Waswahili wanasema, ndege mjanja ukamatwa kwenye tundu bovu. Au mna maoni gani, wakuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…