majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Dhana ya PPP inapotoshwa sana na kina kafulila na serikali haiwezi kwepa majukumu yake kwa kivuli cha PPP

    Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza Kuna miradi kweli unahitaji PPP kuitekeleza sababu utekelezaji wake unahitaji fedha kubwa mfano Mradi wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Msumbiji iliwakabidhi Rwanda majukumu ya kusaidia ulinzi badala ya nchi majirani zake wa SADC?

    Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi yake katika jimbo hilo kurudisha hali ya utusalama na utulivu. Baada ya kuona ufanisi mkubwa wa kikosi...
  4. Dabil

    JamiiForums Tanzania Chalamila apewe majukumu mengine

    Ni aibu Mkuu wa mkoa kuwa mropokaji kiasi hiki,ni maajabu kama hatapigwa chini kwenye hiyo nafasi,amekuwa mropokaji kwenye jambo lolote.
  5. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Rais wa sasa akashindwa kutimiza majukumu yake, je Makamu aliyejiuzulu anayemalizia muda wake ataapishwa kuwa Rais?

    Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi. Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10. Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

    Asalaaaaamu, Britanicca hapa! Matumaini yangu ni wazima ! Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake! Kagame mnyoshee mikono! Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka...
  7. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzaa mapema ni kujiongezea majukumu yasiyokuwa ya lazima

    Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia. Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu...
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ronaldo pamoja na kuwa na hela nyingi mpaka leo hajaoa (ana mchumba tu), lakini wewe Pangu Pakavu ushajitwisha majukumu

    Nani alikuambia kuoa ni dili wewe mwanaume mlalahoi? Kipato chako cha mwezi Ronaldo anakipata kwa sekunde 1 tu, lkn mpk leo hajaoa. Sasa wewe Choka Mbaya kwann unajitafutia stress? Hebu taja faida za kuoa ambazo asiyeoa kamwe hawezi kuzipata. Huyu ndiye mchumba wa Ronaldo.
  9. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Biashara za Wanandoa: Kufanikiwa Pamoja au Kuachiana Majukumu?

    Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi. Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya kuimarisha uhusiano wa kifamilia na kifedha. Lakini wakati ndoto hiyo inaweza kuonekana kama...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyefungiwa na TFF adai hawakufuata utaratibu, kuendelea na majukumu yake

    "Hatua ninazozichukua, kesho nakaa na kamati yangu naendelea na uchaguzi kwa sababu vitu viende kwenye urasmi, hakukuwa na sababu yoyote ya mimi kushatakiwa na kamati ya maadili na hawakufuata utaratibu" "Kama hawakufuata utaratibu maana yake sio sahihi, kesho nakaa na kamati yangu tunaendelea...
  11. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Ni yapi majukumu ya Database Administrator...!?

    Wakubwa habari ya nyie, naaamini mko poa sana Nikiwa katika harakati za kuombea mtu kazi huko Uhamiaji, nikakutana na hii post Database Administrator (MSSMS, PostgreSQL and Oracle). Kibongo bongo sijawai ona hii course ila nikahisi itakua part ya Data science. Swali langu ni yapi majukumu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi yametoka kwenye majukumu yao ya msingi

    Habari wandugu, Makanisa mengi ya kisasa yamekuwa yakiwapotosha waumini wao kwasababu kubwa ya kuacha majukumu yao ya msingi na kufanya majukumu yasiowahusu. Jukumu la msingi la kanisa ni kuwasaidia waumini wao waboreshe mahusiano yao na Mungu kwa kutenda mema na kuacha mabaya. Lakini siku...
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kizazi hiki tunakibebesha majukumu mazito kabla ya ukomavu wa akili!

    Nilikuwa nafuatilia kwa ufupi baadhi ya viongozi na umri wao wa kuanza kubeba majukumu ya kitaifa nikagundua walikuwa na umri mkubwa. Kwa mfano: Juliasi. K. Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 12. Na woote viongozi wa kizazi chake walianza shule kwa umri huo. Rashid Kawawa...
  14. Brojust

    JamiiForums Tanzania Caterpillar Vs Range: Vijana mliopata pesa na hamna majukumu mengi, wekezeni huku

    Salamu kwenu. Binafsi yangu bado sijanunua gari, ila huko mbeleni nitanunua. Biashara yangu ikiwa imesimana. Nimeona sasahv vijana wengi sana mafanikio yao ni magari ya kifahari na ya kustunt kwa convoy kubwa pale wanapoenda kwenye interview pamoja na showoff nyingine. (haswa wasanii na watu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Simiyu aagiza Afisa Kilimo wa Wilaya Meatu ahamishwe kwa kushindwa kutekeleza majukumu kikamilifu

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Aidha, Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoani Simiyu kuwabadilishia vituo...
  16. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasi ya vijana wa kiume kupungua kuoa si kwajili ya kuogopa majukumu, Kuwaoa wanawake wa sasa kikristo ni kujipiga kitanzi

    Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo. Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana wanaendelea kuoa kama kawaida, Wengi wanatumia kisingizio cha majukumu lakini hakuna ukweli, kuna vijana...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ally Kamwe kuzirai, kitabibu alipaswa kubadilishiwa majukumu

    Unapomuona mtu amezimia/amezirai maana yake kulikuwa na shida kwenye kupeleka damu kwenye sehemu ya ubongo (brain). KAMA damu haifiki au ikipungua sana kufika kwenye ubongo maana yake kutakuwa na ukosefu pia wa Oxygen and glucose (chakula) kwenye ubongo. Ukosefu wa oxygen kwenye ubongo japo kwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu majukumu ya Kitchen Cabinet na jinsi inavyomsaidia Rais wa nchi katika shughuli zake

    Kitchen cabinet au "Baraza la jikoni" la rais ni kundi dogo lisilo rasmi la washauri wanaoaminika ambao hutoa ushauri na mwongozo kuhusu masuala mbalimbali, mara nyingi nje ya mifumo rasmi ya serikali. Watu hawa mara nyingi ni marafiki wa karibu, wafuasi waaminifu, au watu waliokaribu na rais...
  19. P

    JamiiForums Tanzania 25/09/2024 wafamasia na majukumu yao

    Jamii waelewe Leo wafamasia upate tiba sahihi,kwenu wafamasia
  20. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Picha: Muuza Madafu katika majukumu yake ya kiserikali.

    Na mpiga picha wetu. Muuza madafu akiwa katika vazi rasmi la ajira yake,Naaam ni yeye kabisa akiwa katika shughuli zake za kiserikali.
Back
Top Bottom