https://www.youtube.com/watch?v=j1UH7Yn6gSg
Hii ni makala ya pili inozungumzia nchi ambazo zina wizara kamili inoshughulikia Usalama wa taifa.
Wiki ilopita nilizungumzia umuhimu wa raisi ajae kufikiria kuanzisha wizara ya Usalama wa taifa ambayo itashughulikia usalama wa nchi na mipaka yake na...
Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli.
Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku.
Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na...
n mda sasa leo nimewakumbuka wazee wa tigoo
walikuwa wanakamata pikpik na wengine walijilimikisha kabisa mishahara vs bodaboda yaan wakifika kijiweni boda incharge anakuwa ashakusanya mafao wanawapa
haitoshi wakanza kuvamia na magari yetu Mungu fundi walifanya matukio kadhaa machafu wakapigwa...
Wakuu asalaam !
Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe.
Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje?
Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
"Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir.
Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
“Umekwama Kwenye Windows? Njia ya Kisomi, Kisheria na Kiufundi ya Kurejesha Password
Kusahau nenosiri (password) ya kuingia kwenye kompyuta ya Windows ni moja kati ya changamoto zinazoathiri watumiaji wengi — iwe ni nyumbani, kazini, au katika mazingira ya kielimu.
Wengine huingia kwenye hofu...
Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo
Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia...
Baba ni baba tu
Baba ni kichwa cha familia, na mama ni shingo katika familia.
Kichwa kazi yake ni kuongoza, na shingo kazi yake ni kuzungusha kichwa kutazama kulia, kushoto, mbele na nyuma.
Kuwa na watoto katika familia ni jambo la muhimu sana, na linaimarisha uwepo wa uzao wako hapa duniani...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw.Juma Mkomi ameipongeza Sekretarieti ya Ajira kwa kuendesha mchakato wa ajira kwa ufanisi.
Bw.Mkomi ametoa pongezi hizo jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha Sekretarieti ya Ajira pamoja na wadau...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
Sijui kama tafsiri yangu ni sahihi lakini the take home message ni hii kama nilivyoinakiri kutoka Tweeter kutoka kwa Olengurumwa
Asante timu y’a mawakili na jomo la Majaji
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi.
Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo
Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani
Majukumu ya timu mwenyeji
1.kuandaa uwanja na vifaa
Timu mwenyeji (Yanga) ana jukumu la kimuandalia Simba vifaa vya mchezo kama mipira na cones za...
Nalipongeza jeshi la polisi kuwa na CCM sana sababu mnakadi za ccm ndio mpate vyeo.
Watu wengi wamekuwa wakitoa ushaidi kuhusu nyie na tabia zenu sehemu nyingi kwenye matukio.
Swali langu tu:kwa nini kwenye maswala ya kisiasa mnakataa ila mkivamiwa mnakuja juu kusema mnaingiliwa majukumu yenu...
Katika nchi inayohitaji maendeleo ya haraka kama Tanzania, kila sekunde ya ufanisi ni hazina, na kila senti ya umma ni dhamana ya kizazi kijacho.
Walipafedha wa taasisi za serikali wamewekwa kwa dhima ya kuhakikisha rasilimali hizi zinasimamiwa kwa weledi, kwa mujibu wa sheria.
Lakini leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.