majirani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

    Hamjamboni nyote? Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini Photo: President Paul Kagame === President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through. President Kagame: on the...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

    Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongereni majirani: Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

    Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe December 3, 2021 by Global Publishers Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakati "Viongozi" wakifikiria kuruka kamba, Majirani wanafikiria Biashara

    Uganda protests Kenya move to dump cargo at Malaba on old railroad MONDAY JANUARY 17 2022 A traffic gridlock at Nzoia bridge on the Eldoret-Webuye highway, as long distance trucks queue from Malaba border to enter Uganda, stretching 67km to Chimoi on January 14, 2022. The railway is the...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataifa maskini yanayozongwa na mikopo. Hivi majirani hizi hela mlizifanyia nini cha kuonekana?

    Mataifa maskini wa kutupwa yanazongwa na mikopo ya Benki kuu ya Dunia (WB), humo nimeona majirani zetu Tanzania hawajaachwa nyuma kama kawaida yao, ikikumbukwa walikua wanajenga kwa hela yao ya ndani, na hicho walikua wanakijenga sijui kiko wapi....hivi ile SGR Dar-Moro ilishaanza kazi? Uganda...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka

    Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka. Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu. 2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi. 3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali...
  8. F

    JamiiForums Tanzania CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

    Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa. Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia...
  9. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kreni ya Kujengea Ghorofa Laanguka na Kuua Kenya: Majirani Bora Muache Kujenga Maghorofa

    Kreni ya Kujengea jengo la ghorofa kwa ajili ya wanafunzi limeanguka na kuua watu 8. Wawili wakiwa raia wa kigeni na 6 wakiwa wakenya. Mkasa huo umetokea leo, ambapo wakati ujenzi ukiwa unaendelea, mara ghafla bin vuu, kreni ikaanza kuanguka huku ikiwa na mzigo na kuwaangukia watu waliokuwa...
  10. Midevu

    JamiiForums Tanzania Sio mbaya kuiga ubunifu huu wa majirani ili kupunguza tatizo la ajira

    Majirani zetu wa Kenya wameanzisha programu ya kuwafundisha na kuwawezesha vijana wao kupata skills na miundombinu ya kufanya kazi kwa kutumia mitandao. Kwenye program hiyo mamia ya vijana wamefundishwa utaalamu wa kucode, kuresearch, coprywriting na kazi nyingine kibao ambazo watu wengi wa...
  11. instagram

    JamiiForums Tanzania Nimechoka tabia ya watu kuja kwangu na kuniomba kila kitu wanachokiona nimenunua

    Kuna tabia ambao sasa hivi nimeanza kuiona mbaya sana kwangu, zamani nilikuwa nachukulia poa. Mimi ni mtu wa kusafiri sana huwa nakusanya vitu mbalimbali naweka home. Ila kuna tabia ya watu wakiwemo wana na mademu zangu wakija home utaskia naomba hiki naomba kile nawapa. Mwanzo niliona poa ila...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya miradi mikubwa ya maendeleo Tanzania kuchelewa au kukwama? Je, ni hujuma za majirani?

    Amani iwe nanyi wadau! Leo naomba niandike mada ngumu kwa wengi Ila nyepesi kwa wachache wenye akili na jicho la tatu!! Mada hii imetokana na Jarida la African Report kuandika Makala inayoelezea kwa Jinsi gani Rais Samia anaweza pata ugumu katika kushawishi Kujengwa kwa Mradi wa Bandari ya...
  13. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nizoeane na majirani?

    Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
Back
Top Bottom