majirani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ingelikuwaje Kama Tanganyika Ingelipata Uhuru Wake Kwa Kuchelewa Kuliko Majirani Zake, Tuseme 2005?

    Ukiacha Msumbiji ambayo ilipata uhuru wake mwaka 1975, nchi zingine zote zinazoizunguka "Tanganyika" zilipewa uhuru miaka ya 1960's. Sasa chukulia Tanganyika ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni hadi mwaka 2005, hali ingekuwaje? Kwamba, labda Ujerumani ingeitawala tokea mwaka 1891 hadi 1975, na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wimbi jipya la COVID 19 limethibitishwa kwa Majirani ila siyo kwetu

    Labda itakuwa ni siri ya ile dawa iliyotufikia kutokea Madagascar: Ila si Uganda: Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto Wala Kenya: New wave of Covid-19 and influenza hit Kisumu schools Huko kote kumethibitishwa uwepo wa wimbi jipya, ila siyo kwa wale vichwa ngumu, wana maombi...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wewe jamaa wa bucha soko la Samunge nakuonya acha kuwakwaza majirani zako kwa makelele ya radio

    Huyu jamaa Tania yake ni kufungulia habari za manabii tena kwa sauti kubwa baada ya kuwatazama wale wa mama pale mbele ya bucha yake niliwaona kabisa wakionyesha kukerwa na hayo makelele ya radio yako ya battery 4. Mimi si mfanyabiashara wa hilo eneo lakini Nina kuomba tu acha maana soon...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Avunja ndoa ya miaka 20 kwa tabia ya mkewe kupakulia majirani chakula

    Image: MARGARET WANJIRU Mwanamume mmoja nchini Zambia amewaacha watu kwa mshangao kubwa baada ya kumpa mkewe talaka kwa sababu ya kuwa na mazoea ya kuwapakulia majirani chakula. George Phiri mwenye umri wa miaka 49 aliamua kumuacha mkewe Tanta Zulu mwenye umri wa miaka 34 ambaye walidumu...
  5. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

    Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
  6. kwisha

    JamiiForums Tanzania Wakristo tumefundishwa hivi kuhusiana na upendo

    Wakristo sisi tumefundishwa hivi; Mathayo 5:43-44. Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na umchukie adui yako; 44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi. Ila sijui wenzetu wa upande wa pili wamefundishwa nini kuhusiana na upendo?!
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ukisikia taarifa za tabia za mwanao kutoka kwa watoto wenzake au majirani zako usipuuze wala usiziamini papo hapo

    Katika malezi ya watoto si kila wakati wote awe mkubwa au mdogo kuna wakati watoto wanafanya mambo wakiwa mbali na wazazi wao na huficha yasijulikane nyumbani. Ukisikia lawama juu ya mtoto wako au kuwa anatabia ya aina fulani ambayo wewe huijui usikimbilie kumuadhibu/ kumuonya au kumtetea...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Majirani wazuia jeneza la kijana kuingia kwa wazazi wake

    Wananchi wa Mtaa wa Maganga, maeneo ya Nurulyakini, Temeke, Dar es Salaam wamezuia mwili wa marehemu Pius Beda maarufu Stahimili (32) kuingia nyumbani kwa wazazi wake, kuonesha hasira zao kwamba wazazi hao walishindwa kumhudumia alipokuwa hai. Kijana huyo alikutwa amekufa kwa kujinyonga...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi Kwanini Wanaume Madaktari, Mapolisi, Wanasheria, Wajeshi wanaogopeka Kwa wake wa Majirani Zao. Umwamba wao ni nini?

    Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya. Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake. Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Kaka mkubwa USA awa mpatanishi wa majirani wa Urusi waliokuwa wananyukana

    Kwa sasa Urusi hana ushawishi wowote ukanda huo, hiyo ni baada ya kuvurugwa na kataifa kadogo Ukraine.... The US-organized peace talks between Armenia and Azerbaijan in Washington come only a week after a summit hosted by Russian President Vladimir Putin in Moscow. The foreign ministers of...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani inapata faida gani kugombanisha majirani?

    Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao. Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo hivyo na ukienda Korea Kaskazini na Korea kusini hali ni hiyo hiyo. Vivyo hivyo ukienda Palestina na...
  12. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania uko inclusive ukilinganisha na majirani zetu

    Nyerere mim simkubali kwenye mambo kadhaa Ila kwenye swala la ardhi nampongeza sana alicheza kama pele Tanzania hata maskin wa kutupwa unauwezo wa kumiliki ardhi hiki kitu huwezi kukikuta kenya Jiji kama Nairobi upper middle class kumiliki ardhi ni ishu sana lakin Hali ni tofauti sana Kwa Dar...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko kwa watoto imefutwa Zambia

    Sheria pana ya mabadiliko ya watoto inayoendana na binadamu aliyestaarabika kwa kiwango cha juu katika karne ya 21 imesainiwa na Rais Hakainde Hichilema. Mojawapo ya mambo katika sheria hiyo imepiga marufuku viboko kwa watoto katika mazingira yoyote na pia imepiga marufuku ndoa za watoto chini...
  14. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. Je, ni mfumo unaotufaa?

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi...
  15. Surya

    JamiiForums Tanzania Majirani wanao jishtukia na kuvikana tabia zisizo na ukweli

    Tupo mwanzo wa wiki na mwezi nao ndio unayoyoma.. kwa wenye mishahara mwisho wa mwezi vibunda vimekaribia Mwaisa, unyama mwingi, hapa kazi tu, tuendelee kuupiga mwingi In every day, enjoy to the Maximum. Fight to complete 💪🏿 what you plan to do, as early as possible. Niseme mawili matatu.. Kuna...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani huwa mnakwama wapi kwenye masuala ya teknolojia, hamskiki kwenye start up zozote

    Hapa Afrika, mataifa manne tu ndio mambo yao yanaongoza kwenye ulingo huu. ======= Kenya ranks among Africa’ four biggest destinations for tech start-up funding after Nigeria, Egypt and South Africa. The African Tech Startups Funding Report (2021) shows that last year in the African tech...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumezungukwa na majirani wanaotuangusha sana, yaani uchumi wa EAC yote ukijumuishwa haukaribii wa Nigeria

    Sijui shida nini haswa, ilhali raslimali nyingi tu za kumwaga....
  19. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani Wakenya, bei za mafuta Tanzania zimepanda 157.6 - 168.3 petrol & 163.2 - 169.7 diesel. Kwenu vipi?

    hizi bei zimeanza kutuchoma kama pasi wenye vipato vya kawaida hali ipo vipi kwa Kenyatta huko? Petrol 3,148 tshs / 157.66 kshs >>> 3,361 tshs / 168.3 kshs Disel 3,258 tshs / 163.2 kshs >>> 3,390 tshs / 169.78 kshs
  20. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya uache kula kwa majirani

    Mda mwingine unaona njaa itaniua unaamua kugusa gusa (kula) kwa majirani, baada ya hapo masimango ya kuwa "mpaka hapo ulipofikia bila sisi ungekuwa umeshakufa uwe unatushukuru kila kukicha😬" na kadhalika. Binafsi masimango ndio sababu iliyonifanya niache kula kwa majirani
Back
Top Bottom